Nina maswali kadhaa kuhusu mwenge

Halafu mbona km kiongozi wa wakimbiza mwenge mara nyingi naonaga muislamu
 
Chukulia kuwa mwenge ni fursa tu ya watu kupiga pesa.

Wajinga ndiyo waliwao.
Katika hili bibie tuko pamoja. Jumamosi ijayo hebu fanya uje huku Lushoto tuje tupate kinywaji pamoja. Yaani umenifurahisha sana. Gharama zote juu yangu.

Kiukweli mbio za mwenge kwa sasa zimegeuka kuwa kichaka cha watu wachache kuchezea hela za walipa kodi. Maana hazina faida/tija yoyote ile.
 
Umenena vema mkuu
 
Kinachotakiwa, kama unatumika Kiserikali usitumike au kutumia bajaeti za kiserikali, kama unatumika kichama, watabaki wajinga ndiyo waliwao.
 
Mkuu Hongera kwa kuwa mtu wa kwanza kujibu maswali yangu tena kwa ufasaha
 
muislam siyo Uislam. Kuna Waislam jina wengi sana tu.
Sawa nakubaliana na Hilo lakini ndio swali langu mbona Mara nyingi mwenge unakimbizwa na wenye majina ya kiislamu. Fuatilia viongozi wa wakimbiza mwenge kwa miaka kumi nyuma sidhani kama utakuta wenye majina ya kikristo zaidi ya wawili
 
Najibu swali la 4.
Siyo kweli kwamba mwenge hauzimwi.
Mwenge hauwezi kumaliza masaa 7 bila kuzimwa na kusafishwa alaf unawashwa tena ila kazi hiyo haifanywi hadharan unaingizwa kwenye chumba kilichoandaliwa kwa kazi hiyo.
Ukienda kwenye mkesha wa mwenge usiku utaona kila baada ya masaa mawili unabebwa na kuondolewa alaf baada ya muda mfupi unarudishwa hadharani.

Hata kwenye kuzindua miradi tu wakiona utambi umeamza kukauka unaweza kuzimika kinatafutwa chumba chap unapelekwa kusafishwa

Ni lazima usafishwe na kuwekewa mafuta na kubadilishiwa utambi mara kwa mara
 
Ni nafuta gani wanatumia
 
Vipi haijawahi kutokea ukazimika na upepo,kuna gari landcruiser pickup niliiona ina kile kimbao cha kuwekea mwenge na ina bango la mwenge,je mwenge unapopakizwa kwenye ile gari na kwenyewe huwa wanaukinga vipi usizimike maana gari ikiwa inasonga lazima ikate upepo
 
Uchawi wa kuzindika nchi ulianza mapangoni bagamoyo baada ya wazee kumuomba shetani awasaidie kuwafukuza wakoloni.
Shetani akawaambia wakoloni wataondoka lakini mtakuwa masikini.,wazee wakaona sawa bora wananchi wawe masikini lakini wakoloni waondoke.
Wakapewa mwenge baada ya kukubali masharti ili kuwapumbaza watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…