AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Wakuu nina maswali kuhusu Bima ya Afya na ningeomba haya maswali yajibiwe na wahusika.
Swali la kwanza:
Kwanini mgonjwa akitibiwa anatakiwa kukaa Wiki 2 au Mwezi ndio aende kutibiwa tena?
Yaan wanasema kwamba mgonjwa akitibiwa leo kisha akaugua tena kabla ya Wiki 2 kupita au Mwezi kupita na akahitaji matibabu basi hawatomtibia kwa kutumia Bima bali mgonjwa ataamua aidha atagharamikia matibabu yake mwenyewe maana Bima hatoweza kutumia au la sivyo afe.
Kwanini?
Swali la pili:
Kwa sasa hivi mgonjwa hatakiwi kuonana na madaktari tofauti tofauti kwa siku moja kwa kutumia Bima. Kwanini?
Yaan ni hivi tufanye mfano mgonjwa anaugua sukari, presha, figo, macho, nk sasa akasema leo nataka nikaonane na daktari wa macho, daktari wa figo, daktari wa presha, daktari wa kisukari, zamani hio ilikua inaruhusiwa ila sasa hivi hawaruhusu ni unaruhusiwa kuonana na daktari mmoja tu kwa siku moja, ukihitaji kuonana na daktari mwingine itakubidi usubirie zipite Wiki 2 mpaka Mwezi.
Kwanini?
Nina Maswali mengine ya kuuliza ila naomba nijibiwe hayo maswali kwanza.
Nawasilisha wakuu.