a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 4,014
- 4,600
350,000=nimeiona risiti kwenye risit inasomeka OESOPHAGOSCOPY/RIGID
350,000=nimeiona risiti kwenye risit inasomeka OESOPHAGOSCOPY/RIGID
we nihakikishie kama hii huduma ukiwa na bima ya NHIF STANDARD hutakiwi kulipia,ili niende nikadai wanirudishie hela yangu,utakuwa umenidaidia na hii siku kuu ,dr mambo jambo,nakutegemea mkuu,nitumie evidence.350,000=
OESOPHAGOSCOPY(RIGID) "350,000/=*we nihakikishie kama hii huduma ukiwa na bima ya NHIF STANDARD hutakiwi kulipia,ili niende nikadai wanirudishie hela yangu,utakuwa umenidaidia na hii siku kuu ,dr mambo jambo,nakutegemea mkuu,nitumie evidence.
Huu km sio wizi ni nini? kumbe ndicho mnachofanya huko mnaibia watu si ndio?halafu watu wasichokijua kuwa anaweza kukwambia kuwa huduma haipo kwa bima halafu ukashangaa akaiclaim huduma amekupatia kwenye mfumo wa bima huku umeilipia so akapata pesa mara mbili...Tuwe wachunguzi na tuwe makini sana
hii huduma Ipo kwenye Bima na ipo hata kwenye Standard scheme tena kwa code namba 6264..rigid bronchoscopy foreign body removal
Duuuh kwa hio jamaa kaibiwa na yeye? Aiseehii huduma Ipo kwenye Bima na ipo hata kwenye Standard scheme tena kwa code namba 6264..
Removal of Foreign Body Under GA (Broncoscopy) (6264)
nimebisha kwa sababu MNH-muhimbili zinafanyika sana na wanalipa kwa BIma na ndivyo ilivyo...unaweza ukahakikisha kwa kwenda bima na kuwauliza item code namba 6264
View attachment 3567706
😀 😀 😀 😀 mkuu kwenye ile meseji ya NHIF huwa kuna namba unaambiwa upige unaweza ukapiga zile namba ukaomba ufafanuzi wanakupa au unaweza ukajiunga Huduma ya NHIF self services utaweza kuona kila huduma walioclaim kwamba wamekufanyiaHuu km sio wizi ni nini? kumbe ndicho mnachofanya huko mnaibia watu si ndio?
sijasema kaibiwa ila aende bima apate uhakika kuwa kwanini standard scheme inaruhusu huduma ila hajapata aombe sababu na akipata uhakika aende hospitali aulize kwanini wamemchaji pesaDuuuh kwa hio jamaa kaibiwa na yeye? Aisee
niliyolipia mimi tisiti yangu imeandikwa ambayo ndiyo iliyotumwa kwenye mfumo na niliyolipia risiti imeandikwa EOSOPAHAGOSCOPY(RIGID) 350,000/=hii huduma Ipo kwenye Bima na ipo hata kwenye Standard scheme tena kwa code namba 6264..
Removal of Foreign Body Under GA (Broncoscopy) (6264)
nimebisha kwa sababu MNH-muhimbili zinafanyika sana na wanalipa kwa BIma na ndivyo ilivyo...unaweza ukahakikisha kwa kwenda bima na kuwauliza item code namba 6264
View attachment 3567706
*eosophagoscopy (rigid) cost 350,000/= *niliyolipia mimi tisiti yangu imeandikwa ambayo ndiyo iliyotumwa kwenye mfumo na niliyolipia risiti imeandikwa EOSOPAHAGOSCOPY(RIGID) 350,000/=
Hapana hapa kesho asubuhi tunawaibukia mgonjwa kasema ngoja apumzike kwanza ila kesho watatueleza kwanini waliamua kutuibia hivi hivi tunawaona, kwanini watupe yale maelezo na kwanini wagome kutoa matibabu mpaka tulipe na kwanini pamoja kwamba tumelipa wamejaza kwenye mfumo kwamba tumetibiwa kwa Bima hiki nini km sio Wizi?😀 😀 😀 😀 mkuu kwenye ile meseji ya NHIF huwa kuna namba unaambiwa upige unaweza ukapiga zile namba ukaomba ufafanuzi wanakupa au unaweza ukajiunga Huduma ya NHIF self services utaweza kuona kila huduma walioclaim kwamba wamekufanyia
siamini hospitali kubwa kama mkapa,na mke wangu ni muugizi angenisanua kuwa nisilipie kama ipo kwenye bima NHIF standard.Duuuh kwa hio jamaa kaibiwa na yeye? Aisee
No no no wewe umethibitisha kwamba hio huduma ipo kwenye Bima si ndio? Je walijaza kwenye mfumo km ilivyotokea upande huu kwamba mtu katibiwa kalipia gharama na wale wasivyo na akili eti wakajaza tena kwenye mfumo kwamba ametibiwa kwa Bima na huku waligoma kwamba hii Bima imetumika mda mfupi tu hazijapita Wiki 2 kwaa hio mgonjwa hawawezi kumtibu labda tulipie na baada ya kulipia na wenyewe wakajaza kwenye mfumo wa Bima kwamba mgonjwa ametibiwa kwa Bima kwanini hivi? Huu km sio WIZI ni nini?sijasema kaibiwa ila aende bima apate uhakika kuwa kwanini standard scheme inaruhusu huduma ila hajapata aombe sababu na akipata uhakika aende hospitali aulize kwanini wamemchaji pesa
hahaha IPO mkuu*eosophagoscopy (rigid) cost 350,000/= *
niangalizie hii kama ipo kwenye bima nikadai wani refund
Mkuu evidence amekuwekea hapo juu kwamba hio huduma ipo kwenye Bima kwa hio hukutakiwa kulipia ingekatwa kwenye Bima hujaelewa nini?siamini hospitali kubwa kama mkapa,na mke wangu ni muugizi angenisanua kuwa nisilipie kama ipo kwenye bima NHIF standard.
nitumie evidence ili nifuatilie haoo mkapa hospitali bitawaletea mrejesho,japo ngumu kuamini
EOSOPHAGOSCOPY(RIGID) 350,000/=
lengo sio kuwafata huenda wanamaana yao kwanini hawakufanya hivyo ni bora kuwauliza na kuwaambia kama unafahamau huduma hiyo inakuwa fund na bima...ila mnapoiga story kishkaji watakuambia..siamini hospitali kubwa kama mkapa,na mke wangu ni muugizi angenisanua kuwa nisilipie kama ipo kwenye bima NHIF standard.
nitumie evidence ili nifuatilie haoo mkapa hospitali bitawaletea mrejesho,japo ngumu kuamini
EOSOPHAGOSCOPY(RIGID) 350,000/=
NASHUKURU kwa ELIMU ,ujinga umenitoka ,nitafuatilia ,wanirudishie laki tatu na nusu niliyolipia,naahidi kuwaletea mrejeshoMkuu evidence amekuwekea hapo juu kwamba hio huduma ipo kwenye Bima kwa hio hukutakiwa kulipia ingekatwa kwenye Bima hujaelewa nini?
Pole sana kwa kuibwa 350,000/- mkuu maana hio sio pesa kidogo unajua kwanini waliamua kukufanya hivyo? na umesema mkeo ni nurse au na yeye pia hakujua kabisa kwamba hio haitakiwi kulipiwa cash ila ipo kwenye Bima? Una uhakika mkuu?NASHUKURU kwa ELIMU ,ujinga umenitoka ,nitafuatilia ,wanirudishie laki tatu na nusu niliyolipia,naahidi kuwaletea mrejesho
ok sawa nitafanya hivyo.lengo sio kuwafata huenda wanamaana yao kwanini hawakufanya hivyo ni bora kuwauliza na kuwaambia kama unafahamau huduma hiyo inakuwa fund na bima...ila mnapoiga story kishkaji watakuambia..
huenda bima inalipa pesa kidogo kwa huduma hiyo na ndo maana hawakutaka kuitoa kwa bima na wengi hufanya hivyo,.... unakuta bima inalipa 100k kwa hiyo procedure wakati matumizi ya vifaa mpaka huduma zinacost 250k lazima nitakujibu hivyo hata kama ni mimi..
sometimes ukweli usemwe kitita kipya kinaumiza sana Wamiliki wa hospitali wengi hawasemi kwa sabau ni serkali ila bima zingine kama Strategies na za Jeshi zinalipa vizuri sana
Kwa hio mkuu ndio mishe mishe zenu hivyo yaan huku unang'ata huku unapuliza maana yake mtoto kameza shilingi kwa sababu Bima inalipa 100,000 na nyinyi mnataka 250,000 basi mgonjwa alipe 350,000 ili kusudi nyinyi mnachukua 250,000 na Bima inakatwa 100,000 si ndio na asipolipia basi afe au sio?lengo sio kuwafata huenda wanamaana yao kwanini hawakufanya hivyo ni bora kuwauliza na kuwaambia kama unafahamau huduma hiyo inakuwa fund na bima...ila mnapoiga story kishkaji watakuambia..
huenda bima inalipa pesa kidogo kwa huduma hiyo na ndo maana hawakutaka kuitoa kwa bima na wengi hufanya hivyo,.... unakuta bima inalipa 100k kwa hiyo procedure wakati matumizi ya vifaa mpaka huduma zinacost 250k lazima nitakujibu hivyo hata kama ni mimi..
sometimes ukweli usemwe kitita kipya kinaumiza sana Wamiliki wa hospitali wengi hawasemi kwa sabau ni serkali ila bima zingine kama Strategies na za Jeshi zinalipa vizuri sana