Nina Maswali kuhusu Matibabu kwa kutumia Bima Ya Afya

Hiyo Bima ya aina gani kisukari kinakuja na risks za neuropathy (low blood supply kwenye miguu), nephropathy (kidney failure), Cardiovascular diseases (magonjwa ya moyo), Retinopathy (matatizo ya macho), Skin damage, High blood pressure na Hyperglycaemia.

Na si ajabu kabisa mgonjwa mmoja kuwa na multiple above conditions; sasa unawezaje kumwambia kwa siku aonane na mtaalamu mmoja tu na asirudi tena mpaka zipite week mbili; hiyo ndio medical intervention ya aina gani.

Doesn’t make sense at all kitibabu
 
Doesn't make sense na haiwezekani hayo ni majibu ya Hospitali zinazoona BIMA kwao ni mzigo kwa sbabu wanataka CASH
 
Ndio mimi nimejaribu kuuliza hii inakuaje kwanini inakua hivi maana yake watu wafe?
 
nimempelek mtoto hospitali ya Mkapa dodoma,hospitali kubwa ya kanda ina toa huduma ya rigid bronchoscopy nikiwa na bima ya standard NHIF ya mtumishi na nikalipishwa laki 3 na nusu nikaambiwa huduma haipo kwenye bima .Nina akili timamu na ninaelewa ninachokiongea na nilienda na mke wangu naye ni muuguzi nesi,na mimi nimesoma sayansi naelewa ninachokisema na imenitokea mimi sio yakusimuliwa .na ilikuwa mwezi ulipit tu .

LEVEL ya hospitali nakataa hiyo kwa sababu hospitali ya mkapa dodoma ni hospitali kubwa kanda ya kati.

ni kwamba BIMA ya afya HIF standard hizi za watumishi zinalipia huduma ndogo ndogo watumishi wenzangu ,wafahamu wasiweke matumaini kwa nima zao wasije wakastaajabishwa luambiwa walipie laki 3 na nusu ya haraka haraka kwenye dharura kamaa yaliyonikuta mimi.
 
No hapana ipo hivi tumefika hospital tukasema sisi tunatumia Bima wakafungua lile daftari lenye kuandika kwenda kwa daktari wakaingia kwenye mfumo wakaonyesha kwamba mgonjwa ametibiwa muda sio mrefu yaan hazijapita Wiki 2 wakasema wewe umetibiwa siku sio nyingi tangu utibiwe leo ni siku ya 3 hivyo huwezi kutumia hii Bima mfumo utakataa kwa hio unatakiwa ulipie gharama mwenyewe kuonana na daktari ni bure kufungua jalada ni bure kweli wakafungua akaonana daktari sababu ni ugonjwa wa ghafla na tumeshikwa na taharuki hio ikabidi mifuko itoboke dawa sindano ikabidi zilipiwe wakati Bima ipo, hii maana yake nini?
 
Ni sawa na kuwaambia wagonjwa wa diabetes bima yako inakava partial of the condition sio ugonjwa wote. Hiyo Bima au uzushi tu.

Hiyo sio sawa kabisa
Wengi wanafanya hivyo na mimi kuna mmoja aliwahi kunijibu hivyo akijua mimi sio mtu wa afya wala sijui chochote ila kiustaraabu kabisa nikaomba kuonana na Katibu wa Hospitali na mwakilishi wa uongozi nilipofika nikamweleza kuhusu nilichojibiwa na nikampa uhalisia na impact ya udanganyifu wao mbona walifanya hiyo huduma..

halafu watu wasichokijua kuwa anaweza kukwambia kuwa huduma haipo kwa bima halafu ukashangaa akaiclaim huduma amekupatia kwenye mfumo wa bima huku umeilipia so akapata pesa mara mbili...Tuwe wachunguzi na tuwe makini sana
 
hapana mkuu ntawatetea huduma za BIMA zina level ya kimatibabu..
hii unajua kila huduma na dawa zina level zake?
dawa zinaweza zikawa hospitali ya mkoa au ya wilaya lakini level yake ni S yaani hospitali ya kanda na Taifa..
au kipimo/huduma inaweza kuwa hospitali ya wilaya au dispensary au Kituo cha afya lakini levl yake ni hospitali ya mkoa??

kwa mfano ukiweka CT scan hospitali ya Wilaya au ukiweka MRI hospitali ya mkoa au hospitalizenye hadhi sawa itakughrimu sana kuwaambia wagonjwa kuwa haimo kwenye bima kwa sababu level ya kimatibabu unayotoa iko juu kuliko hadhi yako kwahyo itabidi walipie tu..

kwa mfano nikutonye tu Dispensary na Health centre ni level A na B lakini wana dawa mpaka za level D vipi mgonjwa akienda na akaandikiwa dawa za level D unafikiri BIma itawalipa dispensarya na kituo cha afya?
kwahyo lazima waweke visingizio kuwa huduma au dawa hizo hazipo kwenye bima..

ila kiuhalisia hakuna dawa wala huduma ambayo haipo kwenye bima its depends na level ya huduma...

JamiiForums
Habari na Hoja mchanganyiko
Nina Maswali kuhusu Matibabu kwa kutumia Bima Ya Afya
Thread starterVERBOSE Start date54 minutes ago Tagsafya bima kuhusu kutumia maswali matibabu
First
Prev
2 of 2
Jump to new
Unsubscribe

•••
Eugene Krabs
Member
6 minutes ago
New
Add bookmark
#21
Hiyo Bima ya aina gani kisukari kinakuja na risks za neuropathy (low blood supply kwenye miguu), nephropathy (kidney failure), Cardiovascular diseases (magonjwa ya moyo), Retinopathy (matatizo ya macho), Skin damage, High blood pressure na Hyperglycaemia.

Na si ajabu kabisa mgonjwa mmoja kuwa na multiple above conditions; sasa unawezaje kumwambia kwa siku aonane na mtaalamu mmoja tu na asirudi tena mpaka zipite week mbili; hiyo ndio medical intervention ya aina gani.

Doesn’t make sense at all kitibabu
Thanks
Reactions:
VERBOSE and DR Mambo Jambo
DR Mambo Jambo
DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
3 minutes ago
New
Add bookmark
#22
Eugene Krabs said:

Click to expand...
Doesn't make sense na haiwezekani hayo ni majibu ya Hospitali zinazoona BIMA kwao ni mzigo kwa sbabu wanataka CASH
Thanks
Reactions:
VERBOSE
VERBOSE
VERBOSE
JF-Expert Member
3 minutes ago
New
Add bookmark
#23
Eugene Krabs said:
Hiyo Bima ya aina gani kisukari kinakuja na risks za neuropathy (low blood supply kwenye miguu), nephropathy (kidney failure), Cardiovascular diseases (magonjwa ya moyo), Retinopathy (matatizo ya macho), Skin damage, High blood pressure na Hyperglycaemia.

Na si ajabu kabisa mgonjwa mmoja kuwa na multiple above conditions; sasa unawezaje kumwambia kwa siku aonane na mtaalamu mmoja tu na asirudi tena mpaka zipite week mbili; hiyo ndio medical intervention ya aina gani.

Doesn’t make sense at all kitibabu
Click to expand...
Ndio mimi nimejaribu kuuliza hii inakuaje kwanini inakua hivi maana yake watu wafe?
a sinner saved by Christ
a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
A moment ago
New
Add bookmark
#24
nimempelek mtoto hospitali ya Mkapa dodoma,hospitali kubwa ya kanda ina toa huduma ya rigid bronchoscopy nikiwa na bima ya standard NHIF ya mtumishi na nikalipishwa laki 3 na nusu nikaambiwa huduma haipo kwenye bima .Nina akili timamu na ninaelewa ninachokiongea na nilienda na mke wangu naye ni muuguzi nesi,na mimi nimesoma sayansi naelewa ninachokisema na imenitokea mimi sio yakusimuliwa .na ilikuwa mwezi ulipit tu .

LEVEL ya hospitali nakataa hiyo kwa sababu hospitali ya mkapa dodoma ni hospitali kubwa kanda ya kati.

ni kwamba BIMA ya afya HIF standard hizi za watumishi zinalipia huduma ndogo ndogo watumishi wenzangu ,wafahamu wasiweke matumaini kwa nima zao wasije wakastaajabishwa luambiwa walipie laki 3 na nusu ya haraka haraka kwenye dharura kamaa yaliyonikuta mimi.

UTETEZI WAKO NAUKATAA NI UONGO
usiwatetee mfuko wa bima kwa utetezi wa uongo...nipo literate kwenye fact ninazo andika hapa ,sio layman.
 
usiwatetee mfuko wa bima kwa utetezi wa uongo...nipo literate kwenye fact ninazo andika hapa ,sio layman
 
No hapana ipo hivi tumefika hospital tukasema sisi tunatumia Bima wakafungua lile daftari lenye kuandika kwenda kwa daktari basi wakaingia kwenye mfumo wakaonyesha kwamba mgonjwa ametibiwa muda sio mrefu basi wakasema wewe umetibiwa siku sio nyingi hivyo huwezi kutumia hii Bima mfumo utakataa kwa hio unatakiwa ulipe gharama mwenyewe kuonana na daktari ni bure kufungua jalada wakafungua kweli akaonana daktari sababu ni ugonjwa wa ghafla na tumeshikwa na taharuki hio ikabidi mifuko itoboke dawa sindano ikabidi zilipiwe wakati Bima ipo, hii maana yake nini?
Hapana walienda kinyume na hawakuwa sahihi hata kama umetibiwa sasa hivi ukipata ugonjwa wa dharula lazima utibiwe tena full consultation...Normal visit na Emmergency visit ziko tofauti kabisa.... na walichoogopa ni kupata half consulation kwa kuwa ulishatibiwa na si vinginevyo...
ni level gani ya Huduma ni dispensary,Health centre, Hospital ??
 
halafu watu wasichokijua kuwa anaweza kukwambia kuwa huduma haipo kwa bima halafu ukashangaa akaiclaim huduma amekupatia kwenye mfumo wa bima huku umeilipia so akapata pesa mara mbili...Tuwe wachunguzi na tuwe makini sana
Ndicho walichokosea sasa ni hapa mkuu, huku meseji ya Bima imerudi kwamba mgonjwa ametibiwa leo hospital fulani fulani ila na gharama tumelipa hivi wanatuchukuliaje hawa watu?
 
Ndio mimi nimejaribu kuuliza hii inakuaje kwanini inakua hivi maana yake watu wafe?
Probably

Lakini Tanzania sijui tunashida gani yaani leo unaweza msikiliza mtaalamu tena wa serikali aka make sense.

Kesho serikali ikafanya mambo tofauti kabisa. Ni hivi Ummy Mwalimu mara ya mwisho kwenye sakata mgogoro wa malipo ya Bima private alikuja na mtaalamu kutoa ufafanuzi japo hayupo wizarani wala NHIF.

Yule jamaa alitoa maelezo ya kitaalamu sana kuhusu cost analysis ya Bima kwa kuzingatia operation costs za hospitali; better still jamaa ni medical doctor.

Wale wanaopikwa kuiva ambao wangefaa kwenye senior strategic posts za wizara au taasisi zake hawateuliwi wawe wa hovyo ndio wanapewa nafasi.

Kinachoendelea huko sio sawa serikali inabidi iingilie kati.
 
JamiiForums
Habari na Hoja mchanganyiko
Nina Maswali kuhusu Matibabu kwa kutumia Bima Ya Afya
Thread starterVERBOSE Start date54 minutes ago Tagsafya bima kuhusu kutumia maswali matibabu
First
Prev
2 of 2
Jump to new
Unsubscribe

•••
Eugene Krabs
Member
6 minutes ago
New
Add bookmark
#21
Hiyo Bima ya aina gani kisukari kinakuja na risks za neuropathy (low blood supply kwenye miguu), nephropathy (kidney failure), Cardiovascular diseases (magonjwa ya moyo), Retinopathy (matatizo ya macho), Skin damage, High blood pressure na Hyperglycaemia.

Na si ajabu kabisa mgonjwa mmoja kuwa na multiple above conditions; sasa unawezaje kumwambia kwa siku aonane na mtaalamu mmoja tu na asirudi tena mpaka zipite week mbili; hiyo ndio medical intervention ya aina gani.

Doesn’t make sense at all kitibabu
Thanks
Reactions:
VERBOSE and DR Mambo Jambo
DR Mambo Jambo
DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
3 minutes ago
New
Add bookmark
#22
Eugene Krabs said:
Hiyo Bima ya aina gani kisukari kinakuja na risks za neuropathy (low blood supply kwenye miguu), nephropathy (kidney failure), Cardiovascular diseases (magonjwa ya moyo), Retinopathy (matatizo ya macho), Skin damage, High blood pressure na Hyperglycaemia.

Na si ajabu kabisa mgonjwa mmoja kuwa na multiple above conditions; sasa unawezaje kumwambia kwa siku aonane na mtaalamu mmoja tu na asirudi tena mpaka zipite week mbili; hiyo ndio medical intervention ya aina gani.

Doesn’t make sense at all kitibabu
Click to expand...
Doesn't make sense na haiwezekani hayo ni majibu ya Hospitali zinazoona BIMA kwao ni mzigo kwa sbabu wanataka CASH
Thanks
Reactions:
VERBOSE
VERBOSE
VERBOSE
JF-Expert Member
3 minutes ago
New
Add bookmark
#23
Eugene Krabs said:
Hiyo Bima ya aina gani kisukari kinakuja na risks za neuropathy (low blood supply kwenye miguu), nephropathy (kidney failure), Cardiovascular diseases (magonjwa ya moyo), Retinopathy (matatizo ya macho), Skin damage, High blood pressure na Hyperglycaemia.

Na si ajabu kabisa mgonjwa mmoja kuwa na multiple above conditions; sasa unawezaje kumwambia kwa siku aonane na mtaalamu mmoja tu na asirudi tena mpaka zipite week mbili; hiyo ndio medical intervention ya aina gani.

Doesn’t make sense at all kitibabu
Click to expand...
Ndio mimi nimejaribu kuuliza hii inakuaje kwanini inakua hivi maana yake watu wafe?
a sinner saved by Christ
a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
A moment ago
New
Add bookmark
#24
nimempelek mtoto hospitali ya Mkapa dodoma,hospitali kubwa ya kanda ina toa huduma ya rigid bronchoscopy nikiwa na bima ya standard NHIF ya mtumishi na nikalipishwa laki 3 na nusu nikaambiwa huduma haipo kwenye bima .Nina akili timamu na ninaelewa ninachokiongea na nilienda na mke wangu naye ni muuguzi nesi,na mimi nimesoma sayansi naelewa ninachokisema na imenitokea mimi sio yakusimuliwa .na ilikuwa mwezi ulipit tu .

LEVEL ya hospitali nakataa hiyo kwa sababu hospitali ya mkapa dodoma ni hospitali kubwa kanda ya kati.

ni kwamba BIMA ya afya HIF standard hizi za watumishi zinalipia huduma ndogo ndogo watumishi wenzangu ,wafahamu wasiweke matumaini kwa nima zao wasije wakastaajabishwa luambiwa walipie laki 3 na nusu ya haraka haraka kwenye dharura kamaa yaliyonikuta mimi.

UTETEZI WAKO NAUKATAA NI UONGO
usiwatetee mfuko wa bima kwa utetezi wa uongo...nipo literate kwenye fact ninazo andika hapa ,sio layman.
ni Huduma gani ambayo ilikataliwa mkapa Mkuu ili nikuwekee ushahidi wa kimaandishi kuwa inatolewa na BIma
 
Hapana walienda kinyume na hawakuwa sahihi hata kama umetibiwa sasa hivi ukipata ugonjwa wa dharula lazima utibiwe tena full consultation...Normal visit na Emmergency visit ziko tofauti kabisa.... na walichoogopa ni kupata half consulation kwa kuwa ulishatibiwa na si vinginevyo...
ni level gani ya Huduma ni dispensary,Health centre, Hospital ??
Nimeelewaa mkuu, hawa watu wanachofanya km ulivyoelezea huo ni wizi ni hospital km nilivyoelezea ni hospital, sasa hiki nini huku meseji inasoma Bima leo mtu katibiwa halafu kule tumelipa what is this?
 
Wengi wanafanya hivyo na mimi kuna mmoja aliwahi kunijibu hivyo akijua mimi sio mtu wa afya wala sijui chochote ila kiustaraabu kabisa nikaomba kuonana na Katibu wa Hospitali na mwakilishi wa uongozi nilipofika nikamweleza kuhusu nilichojibiwa na nikampa uhalisia na impact ya udanganyifu wao mbona walifanya hiyo huduma..

halafu watu wasichokijua kuwa anaweza kukwambia kuwa huduma haipo kwa bima halafu ukashangaa akaiclaim huduma amekupatia kwenye mfumo wa bima huku umeilipia so akapata pesa mara mbili...Tuwe wachunguzi na tuwe makini sana
Waziri yupo busy kumtafutia tuzo mama mkwe; wakati kwenye service level hakuna usimamizi.

Kaazi kweli kweli
 
Ndicho walichokosea sasa ni hapa mkuu, huku meseji ya Bima imerudi kwamba mgonjwa ametibiwa leo hospital fulani fulani ila na gharama tumelipa hivi wanatuchukuliaje hawa watu?
ndicho nilchotoka kusema hapa kuwa unaweza ukawalaumu bima lakini kumbe watumishi wa Hospitali ndo wamekosa weredi, umeona sasa Kama ulilipia matibabu kwa gaharama zako,ilikuwaje waclaim matibabu bima tea? kama sio kwamba kwenye taarifa wameandika umetibiwa na bima na hela wakaweka kwapani?? na wakakuandikia kwenye bima matibabu yako?
 
Nimewahoji sana maswali pale wakagoma kabisa hawataki kumtibu bila malipo inabidi tulipie sasa tumelipia kwanini wameingiza kwenye Bima? Huu sio Wizi huu?
 
Back
Top Bottom