Nina Maswali kuhusu Matibabu kwa kutumia Bima Ya Afya

Pole sana kwa kuibwa 350,000/- mkuu maana hio sio pesa kidogo unajua kwanini waliamua kukufanya hivyo? na umesema mkeo ni nurse au na yeye pia hakujua kabisa kwamba hio haitakiwi kulipiwa cash ila ipo kwenye Bima? Una uhakika mkuu?
hata risiti ninayo hapa ningeweza kupiga picha niitume hapa ila nimeona siyo busara,siwezi kudanganya kwa faida ya nani nasema iliyo kweli...nitafuatilia kwa imakini nitawaletea mrejesho next week baada ya siku kuu.nitajua mbivu na mbichi.

nitaleta mrejesho hapa,
 
sijasema kaibiwa ila aende bima apate uhakika kuwa kwanini standard scheme inaruhusu huduma ila hajapata aombe sababu na akipata uhakika aende hospitali aulize kwanini wamemchaji pesa

Ahsante sana chief,

Afuatilie kwa sababu hata ukiangalia miongozo ya packages za NHIF inaonesha bronchoscopy inalipiwa kuanzia Level II hospital (hospital za mikoa) mpaka za zonal and national hospitals, NHIF wanalipa bronchoscopy Tsh.150,000/-

1775338043250.jpg
 
Sawa mkuu tuna subiri mrejesho na mimi kesho nikirudi kuchukua maelezo ya hawa waliotupiga hela za matibabu halafu wakajaza kwenye mfumo kwamba tumetibiwa kwa Bima wakati waligoma kutoa matibabu kwa kutumia Bima nitaleta mrejesho
 
Ahsante sana chief,

Afuatilie kwa sababu hata ukiangalia miongozo ya packages za NHIF inaonesha bronchoscopy inalipiwa kuanzia Level II hospital (hospital za mikoa) mpaka za zonal and national hospitals, NHIF wanalipa bronchoscopy Tsh.150,000/-

View attachment 3567720
Kabisa chief ndo nilichowaambia kuwa pengine hospitali inaona haifaidiki na gharama inayolipwa na NHIF kwahyo wanaona ni bora wasipokee wagonjwa au wawatoze ila hakuna huduma ambayo hailipwi na BIMA
 
Na km ni hivyo kuna umuhimu gani wa kua na Bima wakati haitokupa msaada pindi utapougua ghafla wakati umetibiwa na Wiki 2 au Mwezi haujapita?
bima ilishambuliwa ikawa haina hela ndo ukawa mwanzo wa mbanano huo
 
Duuuh kumbe chanzo ni zile kurupushani za kipindi kile?
wanasema toka "hapa kazi tu" mambo yakawa yanaenda kwa tabu, plus hospitali hizo nazo ukienda na mafua tu, wakiangalia umri wanakushauri na vipimo vingine vingi mzigo usome juu
 
sijasema kaibiwa ila aende bima apate uhakika kuwa kwanini standard scheme inaruhusu huduma ila hajapata aombe sababu na akipata uhakika aende hospitali aulize kwanini wamemchaji pesa
Nimefuatilia Mkapa hospitali nikaongea na daktari wa bima akanijibu..hii procedure ya oesophagoscopy(rigid) haipo kwenye BIMA NHIF za watumishi. wa serikali wa kawaida...labda zile bima kubwa kama za wabunge na wengine wenye option one.

yani hiyo haipo kabisa hata kwenye mfumo wa bima haisomi...

iliyopo ni OESOPHAGOSCOPY FOR DILATATION hiyo uliyoionesha wewe ambayo ni tofauti na hiyo niliyolipia.

na akanijibu ni sahihi kulipia nilitakiwa nilipie 350,000 niliyolipa ndivyo ilivyotakiwa nilipe pamoja na kuwa na NHIF bima ya mtumishi.
 
Vizuri kwa kutuletea mrejesho mkuu
 
nenda ofisi ya Bima ya Afya yoyote kawaambie wakupe Maelezo na uwaambie walichokuambia Mkapa...Halafu njoo na jibu..

Nakuhakikishia kuwa Huuduma hii ipo kwenye Standard scheme...ile system niliyokuwa nimeifungua ilikuwa Standard scheme...UKIPATA MUDA TEMBELEA BIMA MAKAO MAKUU YA MKOA Hapo dodoma
 
Kuna daktari mmoja aliniambia kwamba dawa yoyote nzuri haipatikani kwenye bima (nhif)
 
Back
Top Bottom