Nina mawazo mazuri kuisaidia nchi ila sijui nimfikishie nani

Faida yako ni nchi ikifanikiwa. Vizazi na vizazi watakukumbuka.
Unadhani kina Newton walifaidika nini walipotuambia g=9.8Kgm/SΒ²
Umenikumbusha histΓ³ria ya Issac Newton kuhusu Ureka, alopokuwa anaoga alipogundua alitoka nje na kukimbia uchi na kupiga kelele urekaaa, urekaaa, (ureka), when a body is partially or totally immersed in a fluid it displaces the amout of fluid equals to it own wheight, nilijifunza, 1978
 
Inua uchumi wako kwanza, ukifanikiwa serikali itakufuata.
 
Halafu mkuu dunia ya sasa ni ngumu kuuza mawazo...
Nakumbuka kuna kipindi tulikuwa mimi na rafiki tuna mawazo fulani, so katika kuhangaika jinsi ya kuyatekeleza nikaamua nimtafte Kelvin Twissa. Nikamueleza na nikamwomba kama anaweza kuniconnect na wahusika. Nakumbuka alinijibu, kwa sasa ideas ni ngumu kuuza walau uje na prototype au uwe umeanz akuitekeleza ila sio idea just as idea.
So, safari ikawa imebuma maana we had no money ya kusonga mbele.
 
Hauko peke yako Mkuu, anzisha kwanza huo mchakato wako halafu ndio uombe support lasivyo kama haujauanzisha huo mchakato na ukauweka kwa maandishi mitandaoni utakuwa umepoteza kila kitu. Nakumbuka kuna siku nadhani ilikuwa Twitter (X) Mo Dewji alikuwa anatangaza dau la milion 2 kwa mwenye wazo zuri la biashara, na watu wasivyo jielewa walikuwa wanaandika mawazo yao tu. Hapo waliliwa tu. Anza mwenyewe kutekeleza wazo lako mambo mengine yatakuja tu.
 
Nashukuru Sana .

Ila wazo hili sio la kutekeleza MTU mmoja au kikundi cha watu .

Ni wazo ambalo litakuwa zaidi katika mfumo wa uendeshaji wa nchi .

Binafsi sio wazo la kibiashara Ila ni la kimfumo zaidi .
 
Nashukuru Sana .

Ila wazo hili sio la kutekeleza MTU mmoja au kikundi cha watu .

Ni wazo ambalo litakuwa zaidi katika mfumo wa uendeshaji wa nchi .

Binafsi sio wazo la kibiashara Ila ni la kimfumo zaidi .
Hawawezi kukubali kwasababu mfumo uliopo ni wa kujizima data, yaani kuahirisha kufikiri kwa nafsi, mimi mwenyewe ninadhana ambayo ikitumika biashara nyingi zinatakuwa zinafanikiwa lakini kwa mfumo wa utawala wa CCM haiwezekani
 
Hakuna wa kukusikiliza, labda utangaze kuwa una mbinu za kuwateka na kuwaua wapinzani wote ili CCM na Samia washinde kwa 100%, hapo watakutafuta haraka sana ili uwamegee huo ujuzi.
 
Kama wewe ni mtu mwenye mawazo mazuri na yenye kuleta impact iwe katika uchumi au sayansi tuwasiliane PM.
 
Hakuna wa kukusikiliza, labda utangaze kuwa una mbinu za kuwateka na kuwaua wapinzani wote ili CCM na Samia washinde kwa 100%, hapo watakutafuta haraka sana ili uwamegee huo ujuzi.
Sawa Ila Mimi nitasikilizwa na Mawazo yangu yatafanyiwa Kazi .

Wewe ni MTU mzima ambaye huwa tunakutazama Kama kioo Ila unachokosea ni kuamini katika siasa .
Na wanasiasa na kusahau kuwa nchi haiongozwi na wanasiasa peke yake.

Tumetembea wote nje sijui Kama unakumbuka na uliwahi kutafuta kuonana na kiongozi Fulani ukashindwa .

Sasa sijui Kama unakumbuka.
 
Peleka kwenye ofisi yako ya CCM na namba ya kadi yako, kama si mwanaccm basi asante kaa nayo hayo mawazo mazuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…