Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ya Mkewe shida nini si ya watoto wakeChukua ninachokwambiaa! Hiyo nyumba ni ya mkeooooo anakupiga changalamacho kwa kigezo anamjengea mzazi! Jaribu kuulizia jina la hati.
Kaskazini mlimani huendaMkeo mama huruma
Kwasababu hakuna mtu mwenye akili timamu achukue mkopo 27M, 20M aweke kwenye nyumba ya familia huku akijua mzazi ni mzee na watoto wapo wengi watataka nyumba pasu kwa pasuHii ina ukweli kwa 95%
100%Chukua ninachokwambiaa! Hiyo nyumba ni ya mkeooooo anakupiga changalamacho kwa kigezo anamjengea mzazi! Jaribu kuulizia jina la hati.
Nakazia kiroho safi kabisaWANAWAKE NI WABINAFSI
KATAA NDOA
NDOA NI GEREZA KWA ME
NDOA NI UPUMBAVU
NDOA NI UTAPELI
Umesema nilichotaka kumwambia mimiKwa sababu wewe unaona ambacho yeye haoni...wewe tulia Tu ...subiri mda ufike ajifunze mwenyewe....
Nenda nae taratibu...ukifika wakati anagombea nyumba na ndugu zake ndo umwambie nilikuonya Sana ...unaona??..
Kwa sasa subiri Tu mda utatoa majibu
Hivyo anamnyonya jamaa! Ikitokea wakiachana vya jamaa wagawane pasu kwa pasuKama ya Mkewe shida nini si ya watoto wake
Ungekuwa karibu tupate japo bia mbili mbili. Hapa kikubwa ulee. Maana hata hizo mbimba utaambiwa yako kumbe hamna kitu. Sasa,watu wengine nawashangaa. Una chumba kimoja,mnalala mnapakaana makalio. Dhalau zitakosa? Kila mmoja alale kivyake. Kubinuana,mnapangiana siku. Haijafika,no kutembeleana vyumbani. Ukijisikia,huko wanakukudanganya nako pigaI can't imagine kuishi na mtoto wa mtu for the rest of my life, hell NO. Kwa akili zangu ninavyoziona nikioa sidhani kama ndoa yangu itamaliza mwaka.
ILa mkuu si amepeleka hela yake?? Na huo mkopo kama ataulipa yeye mwenyewe hakuna tatizo.
Anataka kumtapeli jamaa na ili kulinda status ya kwao mikopo yenyewe miaka kibao mpaka akija kulipa siku zimeenda sana ..Hivyo anamnyonya jamaa! Ikitokea wakiachana vya jamaa wagawane pasu kwa pasu
Halafu vya kwake achukue vyote.
Mimi ni mwanamke lkn sipendi tabia ya ubinafsi jinsia yetu waliyonayo!
Kama anataka kujenga kwako angetoa nusu ya pesa ibaki ndani ya ndoa.
Bora hata angebalance kwao na kwenye ndoa!Anataka kumtapeli jamaa na ili kulinda status ya kwao mikopo yenyewe miaka kibao mpaka akija kulipa siku zimeenda sana ..
Kama kweny ndoa kila mtu akisema ajenge kwao hakika hapotokuwa na maendeleo kabisa ..
Tafuta hela.Nipo kwenye ndoa nimekuwa nikisoma tu lakoni naona na mimi limenikuta.
Iko hivi wife na mimi tulifahamiana kijijini. Nilikuwa f6 yeye akiwa f4 leaver. Nilimsaidia akapata chuo cha takwimu akaenda akafanya akapata cheti. Wakati akiwa chuo nliamua kudate nae tukaoana (marriage) nikiwa nafanya kazi na yeye akiwa chuo.
Miaka mitatu baadae tulijaaliwa watoto wazuri. Maisha yaliendelea nikiwa kazini na yeye akiwa ofisi moja masuala ya takwimu nchini.
Mambo ya ndoa yalikuwa safi sana nilii injoi ndoa labda kwa sababu ilikuwa ya kusafiria. Maana yeye mkoa mimi mkoani.
Nilifanikiwa kumuhamishia mkoani kwangu yeye na watoto. Tuliishi vizuri kwa wastani wa miaka 5. Baadae mzazi wake yaani mkwe aka experience wakati mgumu (code). Tukashauriana tumjengee kibanda. Kwa kuwa wapo watoto wakubwa wakaona washirikiane wote. Kwa kuwa wife nde mwenye kipato kizuri akakopa banki 27M lakini nyumba haijaisha.
Kero ikaanza sasa. Kila wakati anataka pesa ya ujenzi kwa mama mkwe. Kumbuka yule ni mzee ile nyumba watakuja kugombana watoto nikamwambia ujenzi hauishi siku moja. Buy time.
Majuzi alipata bingo ofisini kwao 20 Mil ni pesa ya offer ya Serikali yenye riba kidogo.
Lahaulaaa si akaipeleka yote kwenye ule ujenzi.
Wana JF wenzangu, kumbuka si kwamba sisi na watoto wetu hatuna mahitaji, hapa ada, nyumba haijaisha asilimia Mia. Why apeleke 20 kwao? Mwanamke kiumbe wa ajabu sana.
Hivi? Hajui ile nyumba hawataishi watoto wake? Hivi hajui ile nyumba watagombea vidume?
Ndani ni kuchuniana. Najuta sana kuoa mwanamke huyu.
Niko puzzled. Epuka kusomesha mchumba.
Maisha haya bora kujijenga hao wazazi kama walishindwa kujenga basi maana milion 47 hiyo wanakuja shangaa mpaka wanamaliza mikopo ni mda kustaafu hawana cha maana na wazazi wamekufa..Bora hata angebalance kwao na kwenye ndoa!