Nina Mgogoro kwenye ndoa, kila pesa anayopata Mke wangu anaenda kujenga kwao. Naomba msaada

Mkuu mkopo huwa hatujengei kabisa. Ila hii ya kutapika kamasi umenichekesha asee🤣🤣🤣
Unajenga tuu,,Mbona watu wanatengeneza na kujenga biashara zao hata nchi inakopa Kwa ajili ya maendeleo katika sekta mbalimbali na ni nchi zote duniani zina mikopo pia
Mkuu mkopo huwa hatujengei kabisa. Ila hii ya kutapika kamasi umenichekesha asee🤣🤣🤣
 
Masikitiko yangu ni kwamba, wanaume mkioa tu au mwanzo wa mapenzi huwa mnazidiwa akili na wanawake, wanawake wengi ni manipulators, usipotembea na akili zako kila sehemu umeliwa!

Inashangaza mtu anaolewa akiwa mke, baada ya ndoa yeye ndiye anageuka mume 🗑️🚮

Kwenye ndoa kuna majukumu ya mke, na ya mume kifedha, shughuli yeyote ya kimaendeleo inayohitaji nguvu kubwa ya kifedha inatakiwa kufanywa na wote, unless kuna wanaume wanajijua kabisa wamewazidi wake zao kipato zaidi ya mara 5 wanaamua mke asichangie chochote. Mathalani mume analipwa 5M , mke analipwa 600k.

Huwa mnawahiwa wapi? Kwasababu kama hamkuwahiwa msingekaa muone tofauti na kusingekuwa na Malalamiko, malalamiko yanakuja baada ya utambuzi kuja.
 
Kuna uzi niliuona humu unahamasisha vijana waoe yatima 😁 nadhani hii ndo sababu kuu, Mwanamke hupambana kupajenga kwao kwa kuwa anajua kwamba siku ukizingua yeye ana pa kwenda kupolea hivyo haoni kama anapoteza bali anaweka akiba.... Ndo maana watoto wa kiume huonekana kama hupasahau nyumbani hata kuacha kuhudumu ila sivyo bali mwanaume hanaga msamiati wala wazo la kurudi nyuma kama mwanamke kwamba kuna siku nyumbani kwao patamsaidia zaidi ya kutengeneza himaya yake.
 
Unajenga tuu,,Mbona watu wanatengeneza na kujenga biashara zao hata nchi inakopa Kwa ajili ya maendeleo katika sekta mbalimbali na ni nchi zote duniani zina mikopo pia
Mkuu wewe unazungumzia watu wanaofanya biashara ya real estates which lazima afanye ujenzi ili biashara iende. Mimi nimemzungumzia mtu binafsi hana haja ya kukopa halafu akajenge utapoteza pesa bure na ujenzi hautaisha kama kilichotokea kwa mke wa jamaa
 
Duuh bado mpo wafuga ngedere hongera sana
 
Hivi? Hajui ile nyumba hawataishi watoto wake? Hivi hajui ile nyumba watagombea vidume?

Ndani ni kuchuniana. Najuta sana kuoa mwanamke huyu.
Mbona hakuna mgogoro hapo? Usikuze tatizo, Mambo ya familia ni ya Kwako ACHA kutaka mwanamke akusaidie.

Ndugu yangu, Kuna migogoro inatishaa
 
You are so bright headed hongera sana ❤️❤️❤️
 
Una uhakika ujenzi hautaisha Kwa huyo mkewe??,,sababu amekopa??au ni fikra,,Maono,,na mitazamo yako ya kwamba kila anae kopa kwa ajili ya kujenga hamalizi kujenga??
 
Kipato kipi wakati wanaume wengi huanza na ndugu zake na mke anakuwa wa mwisho na mwisho wasiku utasikia nimejenga mimi na ndugu zake wakiwa juu kuliko mke
 
Most of the things in life are fundamentally social construct, societies are different, different families, different cultures, different mentors. My friend una haki zote za kulalamika na una haki zote za kujutia.

Unless people don't subscribe to religious marriages. I see things from a wider perspective marriage being a unification.

I hate marriage and I will never marry never shall I even dream or dare imagine of it.

She got the formula now she has got a bigger and vibrant self esteem ahead of you, she has had a successful take over with vividly example
 
Jana mtu kaja na code mpya hapa JF kuwa oweni YATIMA ..mtamshukuru baadae
Hata kuolewa na YATIMA ni nzuri maana hao dada zao ndiyo wazalishwa hovyo hovyo tu kisa kaka zao watawasidia kulea huku wanawasumbua wake zao ili waonekane wabaya,
 
Naogopa hata kutoa ushauri

Nikikumba BAN ya 2016 mpaka Leo hawanifungulia naumia mno

Ila hivi kwanini unakuwa bwege namna hiyo?

Huwa mmerogwa na Nani?

Yani hili jambo ka kutaka ushauri humu?

Sema chukua hii

.....Sometimes problems is needed for developments....

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Mama wa nyumbani ndiyo wanakuja kunyanyasika na watoto wa mawifi na mama zao kwa kujitanua mjomba ndiye mwenye kazi mkewe mama wanyumbani.
 
Chilumendo cha wapi hiki
 
wanawake sio watu wakuwaamini..Dead woman is the one to be trusted.

Women can change anytime.
kwenye hii dunia ni vitu vitatu vinabadilika wakati wowote

1.wanawake
2. Wanasiasa
3. Hali ya hewa
Duu umewachoka haswa wanawake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…