Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
What a selfish human beingTafuta hela.
We unaumia na 20M aliyokopa serikalini, si na wewe ukakope benki au kwingineko ili kuwatengezea future watoto wenu?
Kumbuka, pesa zake ni zake. Pesa zako ni zenu.
Unajenga tuu,,Mbona watu wanatengeneza na kujenga biashara zao hata nchi inakopa Kwa ajili ya maendeleo katika sekta mbalimbali na ni nchi zote duniani zina mikopo piaMkuu mkopo huwa hatujengei kabisa. Ila hii ya kutapika kamasi umenichekesha asee🤣🤣🤣
Mkuu mkopo huwa hatujengei kabisa. Ila hii ya kutapika kamasi umenichekesha asee🤣🤣🤣
Mkuu wewe unazungumzia watu wanaofanya biashara ya real estates which lazima afanye ujenzi ili biashara iende. Mimi nimemzungumzia mtu binafsi hana haja ya kukopa halafu akajenge utapoteza pesa bure na ujenzi hautaisha kama kilichotokea kwa mke wa jamaaUnajenga tuu,,Mbona watu wanatengeneza na kujenga biashara zao hata nchi inakopa Kwa ajili ya maendeleo katika sekta mbalimbali na ni nchi zote duniani zina mikopo pia
Duuh bado mpo wafuga ngedere hongera sanaNipo kwenye ndoa nimekuwa nikisoma tu lakini naona na mimi limenikuta.
Iko hivi wife na mimi tulifahamiana kijijini. Nilikuwa f6 yeye akiwa f4 leaver. Nilimsaidia akapata chuo cha takwimu akaenda akafanya akapata cheti. Wakati akiwa chuo nliamua kudate nae tukaoana (marriage) nikiwa nafanya kazi na yeye akiwa chuo.
Miaka mitatu baadae tulijaaliwa watoto wazuri. Maisha yaliendelea nikiwa kazini na yeye akiwa ofisi moja masuala ya takwimu nchini.
Mambo ya ndoa yalikuwa safi sana nilii injoi ndoa labda kwa sababu ilikuwa ya kusafiria. Maana yeye mkoa mimi mkoani.
Nilifanikiwa kumuhamishia mkoani kwangu yeye na watoto. Tuliishi vizuri kwa wastani wa miaka 5. Baadae mzazi wake yaani mkwe aka experience wakati mgumu (code). Tukashauriana tumjengee kibanda. Kwa kuwa wapo watoto wakubwa wakaona washirikiane wote. Kwa kuwa wife nde mwenye kipato kizuri akakopa banki 27M lakini nyumba haijaisha.
Kero ikaanza sasa. Kila wakati anataka pesa ya ujenzi kwa mama mkwe. Kumbuka yule ni mzee ile nyumba watakuja kugombana watoto nikamwambia ujenzi hauishi siku moja. Buy time.
Majuzi alipata bingo ofisini kwao 20 Mil ni pesa ya offer ya Serikali yenye riba kidogo.
Lahaulaaa si akaipeleka yote kwenye ule ujenzi.
Wana JF wenzangu, kumbuka si kwamba sisi na watoto wetu hatuna mahitaji, hapa ada, nyumba haijaisha asilimia Mia. Why apeleke 20 kwao? Mwanamke kiumbe wa ajabu sana.
Hivi? Hajui ile nyumba hawataishi watoto wake? Hivi hajui ile nyumba watagombea vidume?
Ndani ni kuchuniana. Najuta sana kuoa mwanamke huyu.
Niko puzzled. Epuka kusomesha mchumba.
Mbona hakuna mgogoro hapo? Usikuze tatizo, Mambo ya familia ni ya Kwako ACHA kutaka mwanamke akusaidie.Hivi? Hajui ile nyumba hawataishi watoto wake? Hivi hajui ile nyumba watagombea vidume?
Ndani ni kuchuniana. Najuta sana kuoa mwanamke huyu.
You are so bright headed hongera sana ❤️❤️❤️Kunywa maji kwanza upunguze presha maana maneno yanakutoka hata kilichoandikwa hujaelewa.
1. Acha kukariri mimi wala sio mwanaume ni mama tena mwenye watoto wengi wa kiume na wa kike.
2. Baba ni nguzo ya kiuchumi ya familia among other things, lakini mfumo wa maisha umebadilika baba huyo huyo alipe ada, anunue chakula, ajenge nyumba, awekeze kwaajili ya watoto, akupe mama hela ya mahitaji ya kike, bado hamjatoka out wazazi na muda mwingine kama familia.... bado majukumu ya kijamii ya hapa na pale.
Muda huo mama upo tu MY MONEY IS MY MONEY huyo baba si atatembea anaongea njiani?
Na atajikuta anaishia kubangaiza, ila penye ushirikiano na mgawanyo wa majukumu hata kufikia uhuru wa kifedha ni rahisi, watoto wenu hawatokua na haja ya kusaidiana majukumu na wake zao maana familia imeshatoka huko.
3. Mtoto ni zao la starehe siku hizi vijana hawaoi kwa sababu mbalimbali lakini sababu moja wapo ni ndoa kuwa kama mzigo majukumu ni mengi so bora mtu apige mechi za hapa na pale mimba ikitokea anakula kona au anatoa tu matunzo
Nawahurumia vijana wanaojitafuta na wanatoka familia za kawaida, kuoa itawachukua muda sana maana nayo imekua ni uwanja wa vita na kujiongezea majukumu
Una uhakika ujenzi hautaisha Kwa huyo mkewe??,,sababu amekopa??au ni fikra,,Maono,,na mitazamo yako ya kwamba kila anae kopa kwa ajili ya kujenga hamalizi kujenga??Mkuu wewe unazungumzia watu wanaofanya biashara ya real estates which lazima afanye ujenzi ili biashara iende. Mimi nimemzungumzia mtu binafsi hana haja ya kukopa halafu akajenge utapoteza pesa bure na ujenzi hautaisha kama kilichotokea kwa mke wa jamaa
Kipato kipi wakati wanaume wengi huanza na ndugu zake na mke anakuwa wa mwisho na mwisho wasiku utasikia nimejenga mimi na ndugu zake wakiwa juu kuliko mkeNimeona wengine wakimtetea mke wengine mume
Iko hivi kipato cha mke na mume ni cha familia au wanandoa sio cha wazazi, ndugu au wanaukoo
Kihalisi pesa yoyote ya familia (ya mke au mume) hasa kiasi kikubwa kabla hakijatoka na kufanyiwa matumizi lazima mume na mke wakae washauriane na kukubaliana
Hii ndio silaha pekee ya kuepuka migogoro ya pesa kwenye ndoa
Hata kuolewa na YATIMA ni nzuri maana hao dada zao ndiyo wazalishwa hovyo hovyo tu kisa kaka zao watawasidia kulea huku wanawasumbua wake zao ili waonekane wabaya,Jana mtu kaja na code mpya hapa JF kuwa oweni YATIMA ..mtamshukuru baadae
Naogopa hata kutoa ushauriNipo kwenye ndoa nimekuwa nikisoma tu lakini naona na mimi limenikuta.
Iko hivi wife na mimi tulifahamiana kijijini. Nilikuwa f6 yeye akiwa f4 leaver. Nilimsaidia akapata chuo cha takwimu akaenda akafanya akapata cheti. Wakati akiwa chuo nliamua kudate nae tukaoana (marriage) nikiwa nafanya kazi na yeye akiwa chuo.
Miaka mitatu baadae tulijaaliwa watoto wazuri. Maisha yaliendelea nikiwa kazini na yeye akiwa ofisi moja masuala ya takwimu nchini.
Mambo ya ndoa yalikuwa safi sana nilii injoi ndoa labda kwa sababu ilikuwa ya kusafiria. Maana yeye mkoa mimi mkoani.
Nilifanikiwa kumuhamishia mkoani kwangu yeye na watoto. Tuliishi vizuri kwa wastani wa miaka 5. Baadae mzazi wake yaani mkwe aka experience wakati mgumu (code). Tukashauriana tumjengee kibanda. Kwa kuwa wapo watoto wakubwa wakaona washirikiane wote. Kwa kuwa wife nde mwenye kipato kizuri akakopa banki 27M lakini nyumba haijaisha.
Kero ikaanza sasa. Kila wakati anataka pesa ya ujenzi kwa mama mkwe. Kumbuka yule ni mzee ile nyumba watakuja kugombana watoto nikamwambia ujenzi hauishi siku moja. Buy time.
Majuzi alipata bingo ofisini kwao 20 Mil ni pesa ya offer ya Serikali yenye riba kidogo.
Lahaulaaa si akaipeleka yote kwenye ule ujenzi.
Wana JF wenzangu, kumbuka si kwamba sisi na watoto wetu hatuna mahitaji, hapa ada, nyumba haijaisha asilimia Mia. Why apeleke 20 kwao? Mwanamke kiumbe wa ajabu sana.
Hivi? Hajui ile nyumba hawataishi watoto wake? Hivi hajui ile nyumba watagombea vidume?
Ndani ni kuchuniana. Najuta sana kuoa mwanamke huyu.
Niko puzzled. Epuka kusomesha mchumba.
Mama wa nyumbani ndiyo wanakuja kunyanyasika na watoto wa mawifi na mama zao kwa kujitanua mjomba ndiye mwenye kazi mkewe mama wanyumbani.Usifundishe wanao wa kike hii tabia.
Maisha yalivyo changamoto ndo maana mabinti wanadanga kutafuta kulelewa
Na vijana hawaoi sababu majukumu ni mengi wanaishia kuzalisha single mothers
Ndoa ni ushirikiano, mara mia kuoa mama wa nyumbani kuliko mke mfanyakazi asiye na mchango kwa familia
Tena mateso haswaa[emoji23][emoji23][emoji23]pole Mkuu,ndoa nyingi zimegeuka msiba sikuhizi....wanaume kwa wanawake wapo katika mateso makali sana
Chilumendo cha wapi hikiNami nakuunga mkono ktk hili nashangaa kuona wanaomuunga mkono mwanamke.
Kwa hili wanaume tumebaki wachache. Sikatai mwanamke kutuma fedha kwao lakini si kwa kiasi kikubwa kama alivyotuma mke wa mtoa mada.
Kwangu binafsi siwezi kukaa na mwanamke wa namna hiyo ni bora na kutokuwa na mke
Duu umewachoka haswa wanawakewanawake sio watu wakuwaamini..Dead woman is the one to be trusted.
Women can change anytime.
kwenye hii dunia ni vitu vitatu vinabadilika wakati wowote
1.wanawake
2. Wanasiasa
3. Hali ya hewa