To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Sawasawa,idea nzuriDawa ni moja tu kuwazalisha halafu unamwambia ndoa itafungua tukizeeka!!Kwa sasa tuna nguvu tutasumbuana!!
Unamuacha njia panda TU!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawasawa,idea nzuriDawa ni moja tu kuwazalisha halafu unamwambia ndoa itafungua tukizeeka!!Kwa sasa tuna nguvu tutasumbuana!!
Unamuacha njia panda TU!!
Kwahiyo mwanamke akikwambia saa hizi ni mchana usimwamini inatakiwa utoke nje uhakiki kama ni kweli mchana?.wanawake sio watu wakuwaamini..Dead woman is the one to be trusted...
Ewaa yaani toka ukaangalie usimuamini kabisa.Kwahiyo mwanamke akikwambia saa hizi ni mchana usimwamini inatakiwa utoke nje uhakiki kama ni kweli mchana?.
Sikia soma mwanzo upate kuelewa Mungu alimweka mwanaume kuwa kichwa cha familia sio mkia, kuna up and downs za kimaisha msaada unapewa pale unahitaji ila sio kila saa. Nainawezekana isiwe mke ndio anakupa pesa ni washkaji familia sio lazima mke ndio maana maisha bila baba hayasongi kabisa .Usifundishe wanao wa kike hii tabia.
Maisha yalivyo changamoto ndo maana mabinti wanadanga kutafuta kulelew...
Wemwache jibu lipo usoni mwake. A jela B umauti.Hamna ndoa hapo!
Sheria ya Tanzania mke anaweza kukopa kwa dhamana hata ya msharaha wa mumuwe😂😂.Madeni yanaua, hapo deni ni zaidi ya Tsh.50m, tafuta namna ya kujikwamua kwenye huo mzigo (si kulipa bali kujiweka safe side). Wakati anakopa ulimuuliza mortgage aliyoweka ni ipi? Isije ikawa mnaishi kwenye nyumba ya madeni
Acha ushamba we mzee. Mkewe aliyemuanika humu unamfahamu jina? Mleta mada umemtambua? Wanaodhalilishwa umewatambua?Wazee hawapo? Je hao washenga huna habari nao? Vipi kuhusu wazazi wenu? Usimweke mkeo humu ni sawa na wewe kuvua nguo mbele ya mkweo wa kike. Futa hii kitu ulio weka.
Sigara ngumu sibishani na wewe.Acha ushamba we mzee. Mkewe aliyemuanika humu unamfahamu jina? Mleta mada umemtambua? Wanaodhalilishwa umewatambua?
Hii sio Facebook kwamba unatumia real name, hizi fake ID.
Kunywa maji kwanza upunguze presha maana maneno yanakutoka hata kilichoandikwa hujaelewa.Sikia soma mwanzo upate kuelewa Mungu alimweka mwanaume kuwa kichwa cha familia sio mkia...
Kwa sababu wewe unaona ambacho yeye haoni...wewe tulia Tu ...subiri mda ufike ajifunze mwenyewe...
Mkuu mm ni mtu tofauti sana spending kusubiri yeye atatangulia keenye nyumba akawasubiri ndg zake, my takni kuwa she will go.. dintaish nayeKwa sababu wewe unaona ambacho yeye haoni...wewe tulia Tu ...subiri mda ufike ajifunze mwenyewe....
Nenda nae taratibu...ukifika wakati anagombea nyumba na ndugu zake ndo umwambie nilikuonya Sana ...unaona??..
Kwa sasa subiri Tu mda utatoa majibu
Rudi kasome tena uziKama anajenga kwa pesa yake ni sawa,huo mkopo atalipa yeye..wewe pesa yako jenga hiyo yako,ingekua ni mimi ningemwacha ajenge kiroho safi
Mkuu mkopo huwa hatujengei kabisa. Ila hii ya kutapika kamasi umenichekesha asee🤣🤣🤣Chukua mkopo na wewe Jenga kwenu na kwako pia wewe endelea kuzubaa tuu Utakuja utapike kamasi!!
😄😄Pole sana chief wew apo akili mkichwa hauna mke apo chakufanya wapambanie wanaoNipo kwenye ndoa nimekuwa nikisoma tu lakini naona na mimi limenikuta.
Iko hivi wife na mimi tulifahamiana kijijini. Nilikuwa f6 yeye akiwa f4 leaver. Nilimsaidia akapata chuo cha takwimu akaenda akafanya akapata cheti. Wakati akiwa chuo nliamua kudate nae tukaoana (marriage) nikiwa nafanya kazi na yeye akiwa chuo.
Miaka mitatu baadae tulijaaliwa watoto wazuri. Maisha yaliendelea nikiwa kazini na yeye akiwa ofisi moja masuala ya takwimu nchini.
Mambo ya ndoa yalikuwa safi sana nilii injoi ndoa labda kwa sababu ilikuwa ya kusafiria. Maana yeye mkoa mimi mkoani.
Nilifanikiwa kumuhamishia mkoani kwangu yeye na watoto. Tuliishi vizuri kwa wastani wa miaka 5. Baadae mzazi wake yaani mkwe aka experience wakati mgumu (code). Tukashauriana tumjengee kibanda. Kwa kuwa wapo watoto wakubwa wakaona washirikiane wote. Kwa kuwa wife nde mwenye kipato kizuri akakopa banki 27M lakini nyumba haijaisha.
Kero ikaanza sasa. Kila wakati anataka pesa ya ujenzi kwa mama mkwe. Kumbuka yule ni mzee ile nyumba watakuja kugombana watoto nikamwambia ujenzi hauishi siku moja. Buy time.
Majuzi alipata bingo ofisini kwao 20 Mil ni pesa ya offer ya Serikali yenye riba kidogo.
Lahaulaaa si akaipeleka yote kwenye ule ujenzi.
Wana JF wenzangu, kumbuka si kwamba sisi na watoto wetu hatuna mahitaji, hapa ada, nyumba haijaisha asilimia Mia. Why apeleke 20 kwao? Mwanamke kiumbe wa ajabu sana.
Hivi? Hajui ile nyumba hawataishi watoto wake? Hivi hajui ile nyumba watagombea vidume?
Ndani ni kuchuniana. Najuta sana kuoa mwanamke huyu.
Niko puzzled. Epuka kusomesha mchumba.