Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Hua akiingia Jf akasoma matukio basi mwisho wa siku ananisimulia kama hadithi, na kwapamoja tunamshukuru Mungu.Mshike vizuri tumebaki mimi yeye na wengine 7 nchi nzima🤩🤩
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hua akiingia Jf akasoma matukio basi mwisho wa siku ananisimulia kama hadithi, na kwapamoja tunamshukuru Mungu.Mshike vizuri tumebaki mimi yeye na wengine 7 nchi nzima🤩🤩
Ona hii takataka nayo? Kaa hivyo hivyo maana umezoea kupumuliwa kisogoni!WANAWAKE NI WABINAFSI
KATAA NDOA
NDOA NI GEREZA KWA ME
NDOA NI UPUMBAVU
NDOA NI UTAPELI
Hawakukosea waliosema ukipata mke au mume aliye sahihi basi umepata pepo,, mwenzetu uko peponi unaenjoy tuHua akiingia Jf akasoma matukio basi mwisho wa siku ananisimulia kama hadithi, na kwapamoja tunamshukuru Mungu.
Naunga mkono hoja hiiKwa sababu wewe unaona ambacho yeye haoni...wewe tulia Tu ...subiri mda ufike ajifunze mwenyewe.
Nenda nae taratibu...ukifika wakati anagombea nyumba na ndugu zake ndo umwambie nilikuonya Sana unaona?
Kwa sasa subiri Tu mda utatoa majibu
Amesema nyumba na sio kibandaChai
"akakopa banki 27M lakini nyumba haijaisha"
MmmmhLet me put my advice in english may be you will understand
She simply does not care about you. I have more than ten years experience, so i know whereof i speak.You need to save yourself from yourself
Life is too short, there is no reason for you to be unhappy with a partner that doesn't want to cooperate when there a hundreds of women that will appreciate and cooperate with you on your goals. Dump her ASAP[emoji23]
Una akili sanaChukua ninachokwambiaa! Hiyo nyumba ni ya mkeooooo anakupiga changalamacho kwa kigezo anamjengea mzazi! Jaribu kuulizia jina la hati.
Kaomba ushauri! UsimsemeWakuu, mmeoa wanawake wa hovyo sana, hilo tu.
Hiyo kichwa yako imejaa maji ya mvua mkuu, fanya upasuajiTafuta hela.
We unaumia na 20M aliyokopa serikalini, si na wewe ukakope benki au kwingineko ili kuwatengezea future watoto wenu?
Kumbuka, pesa zake ni zake. Pesa zako ni zenu.
Hivi? Hajui ile nyumba hawataishi watoto wake? Hivi hajui ile nyumba watagombea vidume?
Ndani ni kuchuniana. Najuta sana kuoa mwanamke huyu.
Niko puzzled. Epuka kusomesha mchumba.
Mkuu hujasoma ukamaliza? Amekopa mara ya kwanza ujenzi haukuisha mume akamwambia mke ujenzi ni polepole ikabidi mke akope tena M20 akapeleka kumalizia.Una uhakika ujenzi hautaisha Kwa huyo mkewe??,,sababu amekopa??au ni fikra,,Maono,,na mitazamo yako ya kwamba kila anae kopa kwa ajili ya kujenga hamalizi kujenga??
Nyumba anayojenga ni yake yeye, hayo maneno ulioambiwa ni ujanja tu wa kuweka uhalali kinachofanyika.Nipo kwenye ndoa nimekuwa nikisoma tu lakini naona na mimi limenikuta.
Iko hivi wife na mimi tulifahamiana kijijini. Nilikuwa f6 yeye akiwa f4 leaver. Nilimsaidia akapata chuo cha takwimu akaenda akafanya akapata cheti. Wakati akiwa chuo nliamua kudate nae tukaoana (marriage) nikiwa nafanya kazi na yeye akiwa chuo.
Miaka mitatu baadae tulijaaliwa watoto wazuri. Maisha yaliendelea nikiwa kazini na yeye akiwa ofisi moja masuala ya takwimu nchini.
Mambo ya ndoa yalikuwa safi sana nilii injoi ndoa labda kwa sababu ilikuwa ya kusafiria. Maana yeye mkoa mimi mkoani.
Nilifanikiwa kumuhamishia mkoani kwangu yeye na watoto. Tuliishi vizuri kwa wastani wa miaka 5. Baadae mzazi wake yaani mkwe aka experience wakati mgumu (code). Tukashauriana tumjengee kibanda. Kwa kuwa wapo watoto wakubwa wakaona washirikiane wote. Kwa kuwa wife nde mwenye kipato kizuri akakopa banki 27M lakini nyumba haijaisha.
Kero ikaanza sasa. Kila wakati anataka pesa ya ujenzi kwa mama mkwe. Kumbuka yule ni mzee ile nyumba watakuja kugombana watoto nikamwambia ujenzi hauishi siku moja. Buy time.
Majuzi alipata bingo ofisini kwao 20 Mil ni pesa ya offer ya Serikali yenye riba kidogo.
Lahaulaaa si akaipeleka yote kwenye ule ujenzi.
Wana JF wenzangu, kumbuka si kwamba sisi na watoto wetu hatuna mahitaji, hapa ada, nyumba haijaisha asilimia Mia. Why apeleke 20 kwao? Mwanamke kiumbe wa ajabu sana.
Hivi? Hajui ile nyumba hawataishi watoto wake? Hivi hajui ile nyumba watagombea vidume?
Ndani ni kuchuniana. Najuta sana kuoa mwanamke huyu.
Niko puzzled. Epuka kusomesha mchumba.
huo ndo ukweli hata wao wenyewe wanajua....mimi ki umri ni chalii sana ila nimekaa na wanawake wengi na huwa wanakiri wao wenyew.Duu umewachoka haswa wanawake
Aendelee kusubiria ilihali hali anayopitia haihimiliki hata kwa sekunde tu, au unataka alazimishe furaha hatimaye afe kwa BP, Kisukari, Vidonda vya tumbo na Stroke tokana na excessive family stress?Kwa sababu wewe unaona ambacho yeye haoni...wewe tulia Tu ...subiri mda ufike ajifunze mwenyewe.
Nenda nae taratibu...ukifika wakati anagombea nyumba na ndugu zake ndo umwambie nilikuonya Sana unaona?
Kwa sasa subiri Tu mda utatoa majibu
Tatizo alimsomesha Mchumba (Ke) kwa mategemeo makubwa ya "kusaidiana kifamilia".Kama anajenga kwa pesa yake ni sawa,huo mkopo atalipa yeye..wewe pesa yako jenga hiyo yako,ingekua ni mimi ningemwacha ajenge kiroho safi
ID zako nyingi sana wewe popoma.Mkeo atakuwa na tabia kama za Shangingi MZURI SANA a.k.a GENTAMYCINE