To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
😂😂😂😂Pesa yake? Unamaanisha nini?
Hiyo mikopo ya Milioni 27 & milioni 20 mumewe anahusika haswa hivyo ni lazima ashirikishwe.
Ngoja mkeo ashindwe kulipa hiyo mikopo ndio utajua hujui....
Kimsingi hiyo hela lazima wakubaliane kabla ya kukopa na matumizi yake.....
Ukijifanya mpuuzi wa kutofuatilia mienendo ya mikopo ya mkeo, jua tu huna tofauti na Mangungo wa Msovero aliyeuziwa mbuzi kwenye gunia....
Mwaka jana tu jirani yangu karibia afe kwa presha; Katoka zake kwenye mihangaiko kakutana na bango kubwa nyumbani kwake; Nyumba hii inauzwa!!! kumbe mkeo alikopa....