Nina Mgogoro kwenye ndoa, kila pesa anayopata Mke wangu anaenda kujenga kwao. Naomba msaada

Nina Mgogoro kwenye ndoa, kila pesa anayopata Mke wangu anaenda kujenga kwao. Naomba msaada

Pesa yake? Unamaanisha nini?
Hiyo mikopo ya Milioni 27 & milioni 20 mumewe anahusika haswa hivyo ni lazima ashirikishwe.
Ngoja mkeo ashindwe kulipa hiyo mikopo ndio utajua hujui....
Kimsingi hiyo hela lazima wakubaliane kabla ya kukopa na matumizi yake.....
Ukijifanya mpuuzi wa kutofuatilia mienendo ya mikopo ya mkeo, jua tu huna tofauti na Mangungo wa Msovero aliyeuziwa mbuzi kwenye gunia....
Mwaka jana tu jirani yangu karibia afe kwa presha; Katoka zake kwenye mihangaiko kakutana na bango kubwa nyumbani kwake; Nyumba hii inauzwa!!! kumbe mkeo alikopa....
😂😂😂😂
 
Mambo ya financial yasikuumize sana bro, nilijua amekucheat kumbe ishu ni kwamba mambo ya pesa yake acha awe na uhuru na pesa yake, vinginevyo naona mnaenda kuachana kisa fedha

Ukitaka ugomvi ulizia matumizi na fedha ya mwanamke hata kama unafanya kila kitu wewe, pambana mzee acha kuwa na moyo soft hivyo,
Mwanamke kama huyo mbinafsi! Ashindwi kukuwekea sumu ufe kisa mali
 
Ndiyo maana watu wanawashauri muoe wanawake wasio na kaz ili muwadhibiti mtakavyo....sasa wewe mwanamke anatumia pesa zake tayari unataka ziwe zako....aisee kwa manzi wa kibongo ndoa lazima ikushinde
Tatizo ni kuwa jamaa analipa mkopi indirect
 
Back
Top Bottom