Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,893
- 47,768
[emoji4][emoji4][emoji4] Ndiyo hivyo mkuu, its a suicide mission acha kabisaHatari sana, watu wanaji commit kwenye mateso
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji4][emoji4][emoji4] Ndiyo hivyo mkuu, its a suicide mission acha kabisaHatari sana, watu wanaji commit kwenye mateso
Hakuna kupoteza mudaMmmmh
It's not too hard, the divorce can go as smoothly or as roughly as you want. The choice is yoursNot easy as you suggested! Divorce is something very complex, it has some ambiguities that no one want it
Mtu anajenga kwao kuwasitiri wazazi ni jambo zuri,mana hata wanao wakiende kusalimia watalala hapo...ndio ndoa zetu zilivyo,mimi hata angesema anakopa IMF ni sawa si mkopo analipa yeyeUmeona ee kama pesa ni yake amwache ajenge tu
Pole best....mimi sijui hata mia yake mana natoa matumizi ya wiki,ada zote nalipa kwahiyo pesa yake yeye atajua anafanyia nini,ada za watoto anakusanya yeye bt zinatoka kwenye apartment zanguIla nyie wanaume hamueleweki, wakati ule nikipata kale ka mshahara ka miaka ile nilikuwa naweka mezani hela inapangiwa bajeti,
Kuja kushtuka mtaa wa tatu keshazaa watoto wawili.
Sometimes mnaboa
Toka lini hata ukaweka nyumbani kwa hawa wanawake zetu wenye vikoba 10...kwa maelezo yke mke kakopa kma yeye labda kupitia kazi yake.istoshe huyo jirani yako hiyo kesi nyepesi sana.Pesa yake? Unamaanisha nini?
Hiyo mikopo ya Milioni 27 & milioni 20 mumewe anahusika moja kwa moja hivyo ni lazima ashirikishwe.
Kimsingi hiyo hela lazima wakubaliane kabla ya kukopa na matumizi yake.....
Ngoja mkeo ashindwe kulipa hiyo mikopo ndio utajua hujui....
Ukijifanya mpuuzi wa kutofuatilia mienendo ya mikopo ya mkeo, jua tu huna tofauti na Mangungo wa Msovero aliyeuziwa mbuzi kwenye gunia....
Mwaka jana tu jirani yangu karibia afe kwa presha; Katoka zake kwenye mihangaiko kakutana na bango kubwa nje ya nyumbani yake; Nyumba hii inauzwa!!! kumbe mkewe alikopa....NMB walitaka kufanya yao
Hakuna namna mwanaume tunakula kwa jasho ...pesa ya mke hata bure siitaki afanye maendeleo yakeNi kweli anajenga kwa pesa yake. Lakini mwenzetu ndiye anayeiangalia familia kwani mama pesa yake inalipia madeni aliyokopa. Mzigo umemzidi uzito.
Mkeo mama huruma
Kwaio unaona mkeo ana akili timamu kweli? Na wewe ukamshauri hivyoWewe unaGombana na mkeo kwa jambo la kijinga sana,unataka asijenge kwao!? Ishini na wake zenu kwa akili,mimi mke wangu juzi kakopa milioni 10 akaenda kukarabati nyumbani kwao ilikhali sisi tuko katika nyumba ya kupanga.
Pigia mstari neno ishini nao kwa akili.
Kama huu ndio upendo bora[emoji23][emoji23][emoji23], basi nimeamini ndoa kwamiaka tuliyofikia sasa hatuziitaji. Boss unajua kujitoa kumjenga mtu maana mimi ilinitokea na tuliachana. Basi heri nusu shari kulilo shari kamili. Wanawake waache kulazimisha ndoa maana majukumu hawayawezi. Kwakuwa sitaki kuumia hivyo sitaki kuumizwa basi ndoa sijawabu sahihi kwakijana wakizazi cha sasa.sijaona unacho lalamika, kwanza mkeo anakupenda ndiyo mana amekushirikisha kuna wengine wanakopa kimya kimya na wanawapa wanawowafanyia masagi kimya kimya!
Kuna vita kubwa inaenda kuibuka natabiri mkuuMkeo atakuwa na tabia kama za Shangingi MZURI SANA a.k.a GENTAMYCINE
Kakutana na mwanaume falaaa hela za mkeoo ukishamuoa ni zakooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyu ni mke wa kichagaaa walahiii