Nina Mgogoro kwenye ndoa, kila pesa anayopata Mke wangu anaenda kujenga kwao. Naomba msaada

Nina Mgogoro kwenye ndoa, kila pesa anayopata Mke wangu anaenda kujenga kwao. Naomba msaada

Kosa la mke wako ni kukwambia matumizi ya pesa yake. Wazazi wake wamemsomesha uliwakopesha? Kwanini na yeye ashindwe kujenga kwao
 
Kosa la mke wako ni kukwambia matumizi ya pesa yake. Wazazi wake wamemsomesha uliwakopesha? Kwanini na yeye ashindwe kujenga kwao

Mkuu kwa point hii, basi kila mtu aliepo kwenye ndoa ajenge kwao na hizo mali zisihesabiwe kma za familia (ndoa), basi kulikuwa hakuna maana ya ndoa maana hapo ndoa ipo kwaajili ya kuzalishana au kufanya mapenzi tu. Na mbaya sheria ya ndoa uwa vyote vilivyovunwa ndani ya ndoa ni vyenu wote hata kma ni mwanaume ulifanya hvyo. It’s not fair, hata mm nilisomeshwa na wazazi kama yy alivyosomeshwa.
 
Uwa nawashauri wanandoa, kama mke anafanya kazi na anaingiza kiwango kikubwa cha pesa yaani mnakaribiana au amekuzidi, basi mfungue account za benki nne, account mbili, ni account binafsi za kila mtu, account ya tatu ni kwaajili ya bill za ndani na matumizi ya kawaida pamoja na emergency (afya), na account ya nne ni ya maendeleo ambapo mnakubaliana kila mtu asilimia za kuweka umo kulingana na kipato binafsi (source: steve Harvey).

fedha zile nyingine zinazobakia kwnye account zenu binafsi basi utafanya matumizi yako binafsi na ikiwa utachukua mkopo mkubwa basi mnajadiliana na kukubaliana zinaenda wapi, hii itasaidia kuepusha mzozo wa kifedha kwenye familia. (Source: pulex)
 
Pole mkuu, nakushauri tu muache mkeo ajenge kwao! Na wewe Jenga kwako! Mwanaume hudumia familia yako kwa kuhakikisha wanaishi pahala pazuri na panapofaa!

Acha na hela ya mkeo maana SIYO YAKO

Mimi nilikopa fedha nikajazia ujenzi wa nyumba anayojenga mume wangu maana ni familia moja, matokeo yake amekuja kunitemgenezea maneno ya kashfa machafu yasiyo faa!

Mkopo ukiisha, nachukua mwingine na NITAJENGA KWETU ili siku tukiachana niende kwetu kwa raha! Wanaume mna matatizo sana ACHA MKEO AJENGE KWAO, wewe Jenga KWAKO.

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Ingekuwa heri mwanaume na hasioe!! Lakini kwa ajili ya kuwaka tamaa miili yenu basi mwanaume na aoe mke mmoja! Pigia mstari INGEKUWA HERI ASIOE. Sio maneno yangu ni ya Mtume Paulo kwa Wakolintho.
 
Wewe unaGombana na mkeo kwa jambo la kijinga sana,unataka asijenge kwao!? Ishini na wake zenu kwa akili,mimi mke wangu juzi kakopa milioni 10 akaenda kukarabati nyumbani kwao ilikhali sisi tuko katika nyumba ya kupanga.
Pigia mstari neno ishini nao kwa akili.
Duuh aisee ni hatari sana
 
huyo dawa yake mtoe marinda tena kwa mate sio mafuta,hatakusahau.
 
Nyumba anayojenga ni yake yeye, hayo maneno ulioambiwa ni ujanja tu wa kuweka uhalali kinachofanyika.

Wanawake si watu wa kutegemea, mara zote hufikiria kuwa na maisha mengine nje ya maisha ya ndoa
Hakuna mwanamke anaweza kopa milioni 47 eti akajengwe kwa wazazi wake, hiyo haipo. Ni nyumba yake hiyo
 
Huyu ni mmoja tu ambaye ni member JF,ni wangapi wanaopitia hali hizi ambao sio member wa JF,tuishi nao kwa akili,haya maneno yamo kwenye maandiko matakatifu,sio dhambi kutumia akili kuishi nao...
 
Kabla ujaoa jua kabisa hela ya mwanamke si yako, kama atakushirikisha kwenye fedha zake, basi jua umepata mke.
 
Iko hivi wife na mimi tulifahamiana Kijijini. Nilikuwa F6 yeye akiwa F4 leaver. Nilimsaidia akapata Chuo cha Takwimu akaenda akafanya akapata cheti. Wakati akiwa chuo tulioana, mimi nilikuwa nafanya kazi. Miaka mitatu baadae tulijaaliwa watoto wazuri.

Maisha yaliendelea nikiwa kazini na yeye akiwa ofisi moja masuala ya takwimu nchini. Mambo ya ndoa yalikuwa safi sana nili enjoy ndoa labda kwa sababu ilikuwa ya kusafiria. Maana yeye mkoa mimi mkoani. Nilifanikiwa kumuhamishia mkoani kwangu yeye na watoto. Tuliishi vizuri kwa wastani wa miaka 5.

Baadae Mama yake akapitia wakati mgumu, tukashauriana tumjengee kibanda. Kwa kuwa wapo watoto wakubwa wakaona washirikiane wote. Kwa kuwa wife ndiye mwenye kipato kizuri akakopa Benki Milioni 27 lakini nyumba haikuisha.

Kero ikaanza sasa. Kila wakati anataka pesa ya Ujenzi kwa Mama Mkwe. Majuzi alipata bingo Ofisini kwao (Milioni 20) ni pesa ya offer ya Serikali yenye riba kidogo. Lahaulaaa!! Si akaipeleka yote kwenye ule ujenzi.

Wana JF wenzangu, kumbuka si kwamba sisi na Watoto wetu hatuna mahitaji, hapa ada, nyumba haijaisha asilimia Mia. Why apeleke Milioni 20 kwao? Hivi? Hajui ile nyumba hawataishi watoto wake? Ndani ni kuchuniana.

Najuta sana kuoa mwanamke huyu.
Daa! Pole sana baba ester,,,mama ester anachokifanya sio kizuri ila saiz hapa wameshusha mchanga nahis wanataka kuweka marumaru
 
Si bora huyo anajenga kwao! Kuna mwenzake huku anakopa benki anaporomosha mahekalu huko alikoolewa kwenye uiwanja vya mume wake. Watu washaongea wamechoka yeye anajitetea eti anajenga kwa ajili ya watoto.

Inafika muda akipokea mshahara unakaa siku 10 hana mia. Ashukuru kazini anaenda kwa mguu tu sio mbali na anakaa kwenye nyumba za sirikali.

Hatoamini siku moja macho yake
 
Iko hivi wife na mimi tulifahamiana Kijijini. Nilikuwa F6 yeye akiwa F4 leaver. Nilimsaidia akapata Chuo cha Takwimu akaenda akafanya akapata cheti. Wakati akiwa chuo tulioana, mimi nilikuwa nafanya kazi. Miaka mitatu baadae tulijaaliwa watoto wazuri.

Maisha yaliendelea nikiwa kazini na yeye akiwa ofisi moja masuala ya takwimu nchini. Mambo ya ndoa yalikuwa safi sana nili enjoy ndoa labda kwa sababu ilikuwa ya kusafiria. Maana yeye mkoa mimi mkoani. Nilifanikiwa kumuhamishia mkoani kwangu yeye na watoto. Tuliishi vizuri kwa wastani wa miaka 5.

Baadae Mama yake akapitia wakati mgumu, tukashauriana tumjengee kibanda. Kwa kuwa wapo watoto wakubwa wakaona washirikiane wote. Kwa kuwa wife ndiye mwenye kipato kizuri akakopa Benki Milioni 27 lakini nyumba haikuisha.

Kero ikaanza sasa. Kila wakati anataka pesa ya Ujenzi kwa Mama Mkwe. Majuzi alipata bingo Ofisini kwao (Milioni 20) ni pesa ya offer ya Serikali yenye riba kidogo. Lahaulaaa!! Si akaipeleka yote kwenye ule ujenzi.

Wana JF wenzangu, kumbuka si kwamba sisi na Watoto wetu hatuna mahitaji, hapa ada, nyumba haijaisha asilimia Mia. Why apeleke Milioni 20 kwao? Hivi? Hajui ile nyumba hawataishi watoto wake? Ndani ni kuchuniana.

Najuta sana kuoa mwanamke huyu.
Nilidhani ulisema mliamua kumjengea mama mkwe kibanda? Kibanda gani hicho kilichogharimu mil 27 na hakijakamilika na kinahitaji another 20 mil? Na kama mkeo alikopa mil 27 hao ndugu zake wamechangia kiasi gani? Una hakika wanajenga kibanda kweli?
 
Mkuu kwa point hii, basi kila mtu aliepo kwenye ndoa ajenge kwao na hizo mali zisihesabiwe kma za familia (ndoa), basi kulikuwa hakuna maana ya ndoa maana hapo ndoa ipo kwaajili ya kuzalishana au kufanya mapenzi tu. Na mbaya sheria ya ndoa uwa vyote vilivyovunwa ndani ya ndoa ni vyenu wote hata kma ni mwanaume ulifanya hvyo. It’s not fair, hata mm nilisomeshwa na wazazi kama yy alivyosomeshwa.
Mwache mkeo aheshimishe kwao. Kwasababu hata wewe mwanaume lazima ujenge kwenu. Utazikwa wapi? Na yeye asipoendeleza kwao familia yake itamwonaje. Msingi ni kwamba asiiosahau familia yake ya sasa.
 
Sehemu ya 2.

Pesa ya ujenzi imekata mamilioni yamekwisha kazi bado hata hatua ya usafi haijafikia robo. Hapa naamisha baada ya kupandisha kuta zote, gebo kuezeka, plasta nje na ndani, kujaza vifusi, kupiga floor(rough) blundering, zungushia fishaboard nyumba nzima mwisho skimming ndani hapo ndio kazi imeishia, madirisha bado ikiwa ni pamoja na milango.

Wakuu, haya mambo ni ile inaitwa tumia haina mwenyewe, wajenzi na wasimamizi hapo hawana maumivu ya matumizi ya pesa. Kias hiki cha pesa ni kikubwa sana. Ramani ya nyumba ni master 1, nyumba vingine vitatu vya kawaida, stoo, public toilet, jiko na stud room, hii nyumba ni ya kawaida.

Ilifikia hatua ndani hakuna sh mia mpaka niingie mfukoni. Okay kama mwanaume ni wajibu wangu, lakini ni nani amesema mwanamke asisaidie? Haya maneno kwenye komenti mbalimbali siyaafiki ukiwa mwanaume ni lazima usimamie kila kitu, style ya maisha yake, vaa yake, mashoga zake, nk nk. Kila pale inapobidi, vinginevo sio ndoa hiyo.

Kwa sasa utaratibu umegeuka, ni lazima kutii. Upikaji, muda wa kulala, kuamka, kutoka, kurudi nyumbani, ratiba za watoto, kuoga, uvaaji, ulaji, content za menu. Yaani kiufupi nyumba ina ratiba mpya na mamlaka.

Miaka 5 iliyopita wakuu, kama mwanaume nilijiona mume. Hata baada ya tunda mwenzio anasema asante. Miaka Michache ya ndoa nilipata tunda kwa shida njia ilikuwa ndogo(virgin), nilipata shida na yeye akilalamika kuumia sana. niliamua miaka hii kuepukana na michepuko. Na kwa sisi wanaume hatupendi vilivyokufa, tunapenda rough sex. Na ndio maana tunapenda mwanamke akikataa kataa au akikupa kwa kumlazimisha. Kwa hili namshukuru Mungu, nilikata utepe mwenyewe.

Nimeresha hali ya hewa na mashart yanafatwa, anatii japo naona kuna ukiburi upo bado,.... zamani nilitegemea maneno kama nisamehe mume wangu. Hiyo kitu sasa hiv hakuna. Kwa kuwa ndio nimesha komaa nimejiwazia kujishusha, niwe down, lkn sijajua madhara yake yatakuwaje najua kuna madhara makubwa kwenye ndoa ila yatanikosti, nimeamua nijishushe kwa tahadhari kubwa.

Hii ni mara yangu ya kwanza naona nina mlima mrefu sana kuupanda. Kuna sababu nyingi za mwenza wangu kujenga tabia hii. Lazima nikubali, kuchokana kupo, kuupeleka moto sina hakika kama hii ni factor japo nina midundo minene japo haifikii ya wakati ule 26th 27th to 35 huko. Ila najua labda kama wapo wanaojilia.

Nimepata na wazo muhim sana wkt huu umri ukiwa bado niandike usia. Usia nitauandika na kwa umakini mkubwa sana.

Wkt mwingine tunafanya haya mambo kutokana na matukio. Kwa mwanamke kama huyu ambaye akili yake haijakomaa inatakiwa umakini sana. Anaonekana kuwakubali kaka zake, si ajabu siku wakilala kwangu sipp nyumbani wakalala karib na watoto wa kike. Ni hatari sana, na hili soma la hatari kwa mtoto wa kike nalifundisha sana kwa familia yangu.

Kwa ufupi nina sheria mpya nyumbani na kwa akili
 
Wewe unaGombana na mkeo kwa jambo la kijinga sana,unataka asijenge kwao!? Ishini na wake zenu kwa akili,mimi mke wangu juzi kakopa milioni 10 akaenda kukarabati nyumbani kwao ilikhali sisi tuko katika nyumba ya kupanga.
Pigia mstari neno ishini nao kwa akili.
Okay
 
Mwache mkeo aheshimishe kwao. Kwasababu hata wewe mwanaume lazima ujenge kwenu. Utazikwa wapi? Na yeye asipoendeleza kwao familia yake itamwonaje. Msingi ni kwamba asiiosahau familia yake ya sasa.
Mwanaume ndiyo anatakiwa kuendeleza kwao na siyo mwanamke, Kaka zake ndiyo wanatakiwa kuendeleza kwao , yeye anatakiwa kuwatunza wazazi wake, Mtoto wa kike akiolewa anaondoka kwao na kujiunga kwenye familia ya Mwanaume we kwa akili yako huyo mke wake alifariki leo unafikiri watoto wake wata rithi sehemu ya mali za Mama yao alizo wekeza kwao?
 
Back
Top Bottom