Nina miaka 27, bado nina ndoto ya kuwa Daktari (Médical Doctor)

Pcb ninayo ijua mm ,mm nikihisi ungekuwa serious more than. Kuandika huu uzi
 
It's note about money mkuu, It's about dream
Dreams nyingine ni illusion unapambana unakipata alaf unakuja kugundua ni scam...
Tuna Chase dream Ili tue na maisha Bora hayo mengine nikujidanganya tu..
May be tungekua first world countries sawa ila sisi Tupo third world countries 😊

Nenda kasome

1 Wakorinto 11;23-29
 
Umri bado mkuu pambania ndoto yako, usikubali kukatishwa tamaa.
 
Miez mitano? Hivi unaijua pcb kweli?
 
Oya mzazi kapige certificate na madplo tu mwisho utaendea degree , achana na PCB najua kwasasa una vimajukumu changanya na vile mkeo ni msumbufu nakuambia utakufa [emoji3]

Karibu sana udaktari ni mzuri sana hasa ukiupenda ila ni mbaya kama yalikuwa ni maoni na mavision ya wazazi wako sio yako .

Oya niko zangu hapa mochwari napunga upepo najiandaa kumkata utepe mwanakijiji mmoja namsikia yuko analia tu ndani huko .
Wacha nimalizie bapa langu kutoa wenge kwanza

Ma assistant wangu nawasikia wanavyommwagia mitusi kama yote .
 
Kusoma sidhani age kama ni tatizo.Kikubwa ni malengo yako.Ukibahatika kuingia chuoni utakutana na watu wazima wenye age sawa au kuwazidi wazazi wako,wanapiga book.Timiza ndoto yako,age doesn't matter at all...!
 
Watz bwana mpo too negative mnaamini katika umri na Muda bila kujua time and age is ILLUSION 5 months inatosha mtu ku-chase dream yake ya kufanya paper la six kwa Mtu aliyesoma shule Kama Feza au Kemebos anaelewa what I mean kuwa kufaulu na Muda ni vitu viwili tofauti


We are all strive for success
 
PCB sio mchezo ndugu yangu labda tafuta mchepuo mwingine au nenda diploma utaanza msingi wa udaktari tofauti na PCB utakaririshwa na kusoma vitu vingi visivyo na msaada
 
Ingia college chukua certificate au diploma ya pharmacy then Focus kwenye business kijana fungua maduka ya dawa , laboratories dispensaries etc
 
Ifikie hatua muwe mnaheshimu haya mawazo ya Watz, maana kuna muda yana uhalisia kuliko hayo mawazo yenu ambao sio Watz

Wewe ambae sio mtz, hebu tupe hesabu kidogo ya kumpa moyo ndugu yetu hapo juu, kuwa katika hiyo miezi 5 ambayo anayo ya kusoma PCB na kupiga pepa

Atatumia muda gani kufundishwa Physics+kujisomea+kusolve, atatumia muda gani kufundishwa Chemistry+kujisomea+kusolve, atatumia muda gani kufundishwa Biology+kujisomea+kusolve

Na mbaya zaidi sio kwamba ni Fresh from O-level, amekaa kitaa zaidi ya miaka 7, it means kuna basics kibao tu kichwani hazipo tena kichwani

Hapo tufanye hatuongelei BAM na GS, tulet X kuwa jamaa hayo masomo anayajua na hatohitaji kufundishwa
 
Kwakuwa serikali imeweka miaka mowili kusoma na wewe umekariri bila kujua kusoma na kufaulu ni mbinu
 
Kwakuwa serikali imeweka miaka mowili kusoma na wewe umekariri bila kujua kusoma na kufaulu ni mbinu
Kweli kusoma na kufaulu ni mbinu.
Sio lazima usome topic zote, unaangalia examination format, unachagua zile unazozielewa unakomaa nazo consistently basi.
Hakuna uchawi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…