Nina milioni 100 naweza jenga motel yenye room 20, swimming pool , na vifaa vyake vyote?

Motel za tembe kama za wapiga kura wa CCM inawezekana kabisa na chenchi kubaki kama milioni 90.
 
Na swimming nayo itakuwa ya maturubai?
 
1.AC zipo kuanzia 500,000/-
2.Kitanda sio lazima 600,000/-
3.Heater......
4.Vyoo vya kukaa Hotel nyingi za kati wanaweka vya 180,000
5.....
6.TV zipo hadi 300,000/-

Wenye hotels wengi furniture wanaenda kununua wenyewe China.....sooooooo cheap!
ni kweli. Point yangu ni kuwa kwa mradi anaousema hawezi kuutekeleza kwa milioni 100 ikatosha. Nilikuwa najaribu kujenga hoja kuwa hiyo 100 inaweza kuishia kwenye vitu tu na sio jengo/majengo yenyewe. AC si tu laki tano hata laki tatu unapata, issue ni quality gani.

Nimemshauri atafute mtalaamu wa ujenzi amsaidie kufikiri/kuplan kabla hajaamua kuingia. Magofu mengi yanasababishwa na watu kuwa na ndoto kubwa kuliko uwezo wao. Wanajikuta pesa imeishia kwenye msingi au lenta tu.

Binafsi nimejenga na kusimamia ujenzi. Najua gharama zake na magumu yake. Si vibaya kumpa moyo mtu lakini ni vizuri zaidi kumsaidia awe realistic.
 
Nilitaka niandike kitu hapa,ila nmeona bas,..ila nauhakika hata kibanda huna,sisi ambao tumejenga tunafaham vzur kua 100mil unajenga tena ua dream house,tatzo jf watoto ni weng sana na stor zao za vijiwen.
Andika tu. Hii jukwaa huru. Na wengine hata ukiamua kutuita majina hatujali sana mkuu.
 
Kama una mia tu, hyo haitoshi kabisa. Ushauri wangu jenga lodge, hata ikiwa 20k per room itakulipa vizuri sana.
 
Ukijitahidi kubana sana unaweza kujenga ya vyumba vitano
 
Haiwezekani[emoji120]
 
Mkuu.Nyumba Yako hipo Mkoa gani?hyo ya Million 24
 
Dar es salaam,..not funirshed lakin usi quote vbaya....
Sio kwelii.ww Nina Uhakika Una Nyumba kabisa na ujawai kujenga,Muwe mna washauli watu ukweliii
....
UMENIKUMBUSHA NILIWAI KUWA NA MAFUNDI MATAPELI..NILIWAAMBIA NINA KIASI CHA PESA FLANI NITAWEZA KUJENGA(KABLA SIJA ANZA UJENZI).WAKANIPA MOYO IYO PESA NI NYINGI..BASI NIKA ANZA UJENZI..PESA IMEFIKA KWENYE KUPAUA IKAKATA.WAO WANATAKA PESA ZAO NA MIMI PESA NIKAWA SINA..ILIBIDI TUPELEKANE PANAPO HUSIKA..

TUJITAIDI KUWASHAULI WATU UKWELI,KWENYE MASWALA YA UJENZI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…