Nina milioni 25, naweza kuwekeza kwenye nini ili nipate pesa nzuri kwa muda mfupi?

Kwanza kabisa zenj ndio chimbo la vyombo wengi wanachukulia kule,Kuna kila aina vyombo na vizur haswa 👌👌na Bei ni nzuri Sana yani rahisi tu ,nasisi wamama tunapenda vitu vizur vizur hivo soko uhakika kikubwa usiwe na bei kubwa ili uwe na mzunguko mzuri wa kuuza haraka haraka,zenj utachukua vyombo vya udongo na mashine ndogo ndogo za kupikia halafu vyombo vya plastic utazama dar viwanda vya plastic sjui cello etc...ushuru kwasasa sijui upoje Ila sio mkubwa khvo ,zaman tulikua tunachajiwa kwa box na ukienda kuuza faida unapata nzur tu,,pia unaweza kutanguliza mizigo yako kwa kuituma itangulie na boti utaipokea dar.ushuru wakawaida tu kulingana namzgo wako mkubwaje halafu ukienda usivae ili kipedeshee😅😅watajua unahela nenda kisela tu watajua huna hela watakuuzia kwa Bei za muonekano wako😅na ukiwazoea wauzaj kule zenj wanaroho nzur mno watakuuzia kwa Bei rafiki mno ili urud tena...kila la heri
 
Kama upo serious nitafute kwny 0782719980 tufanye kazi utahitaji only 10 mil
 
Asante kwa shule hii. Ila tatizo la Zenj nadhani kufahamu yale masoko kwenye hiyo mizigo kwani kuna kipindi nilikuwa hapo mjini kwa muda mfupi nikazungukia masoko kule Mji Mkongwe na hapo mjini karibu na bandari. Ni kweli kuna vitu vizuri na bei mzuri, asante kwa taarifa, ngoja tuendelee kujifunza na kufanya utafiti.
 
Vyombo chimbo ni kwa haji tumbo mkuu huo ndo mtaa wa vyombo kila namna na kila bei ukifika zurura maduka yote nunua nunua ata vya elfu hamsin kumfurahisha muuzaj alafu pigapiga nae story kwa ukarimu kua unataka vingi kwa jumla mdadisi sio wachoyo wa machimbo ya jumla atakuonesha chimbo la maana au atakupeleka kwenye stoo zao ,,chimbo la vyombo ya mtumba wanapofungua nikule mtaa wa Mombasa kwa mchina zaman walikua wanafungulia huko vitu vya mitumba sjui sahv..kila la heri
 
Asante Luvh kwa maelekezo mahimu kwenye suala hili na matamanio yangu ya hiyo biashara.
Asante Luvh kwa maelekezo haya muhimu kwenye suala hili na matamanio yangu ya hiyo biashara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…