Mkuu mbona unapiga ngumi hewani? siungemtaja basi huyu mtuhumiwa.Naamini wewe hauna pesa tena waweza kuwa mpiga mzinga wenzio tu kitaa based on the following: Mosi=umejidai hufanyi biashara lkn unajichetua una tigo,voda pesas business, pili= umepangisha wazungu majumba wapokea dola: Back to the point kama wewe kweli ndiye umeonja fedha kutoka vyanzo hivyo umekomaa usingekuja kutafuta kick mara oooh ----------usipotezee wenzioo muda halafu hasira kama mpiga debe kadhulumiwa 100 lol
Naamini wewe hauna pesa tena waweza kuwa mpiga mzinga wenzio tu kitaa based on the following: Mosi=umejidai hufanyi biashara lkn unajichetua una tigo,voda pesas business, pili= umepangisha wazungu majumba wapokea dola: Back to the point kama wewe kweli ndiye umeonja fedha kutoka vyanzo hivyo umekomaa usingekuja kutafuta kick mara oooh ----------usipotezee wenzioo muda halafu hasira kama mpiga debe kadhulumiwa 100 lol
Salaams Wapendwa wangu,,....!!
Poleni kwa majukum na mikiki mikiki ya hapa na pale katika jitihada za kutafuta rizki,,...!!
Sina mengi ila nahitaji ushauri wenu wenye busara,,....!!
Mimi ni mwanamke mwenye umri kati ya miaka (20-30),,...sina uzoefu sana wa biashara ila nimeajiriwa kwenye kampuni flani ya Wafaransa+Wataliano ni Sharing Company,,...!!
Katika harakati za kutafuta Pesa nina kiasi kidogo cha Milioni 270 za KITANZANIA yakwangu Binafsi ambayo nafikiria nii ingize kwenye Biashara huku nikiwa naendelea kupiga kazi kama kawaida,,...!!
Sasa naombeni mnishauri nifanye biashara gani ambayo itamudu kiasi icho cha pesa na kunii ingizia faida,,...??
N.B. Sina uzoefu katika Biashara
ahsanteni,,....Eid Njema,,...!!
Quick and simple advice mdogo wangu, chukua pesa yako kafungue fixed account endelea kupiga kazi mpaka pale utakapokuwa tayari kufanya biashara. Au kanunue fixed asset kama nyumba tena nakusistizia siyo kiwanja. Nasema hivyo sababu ya hizi sentensi zako mbili "Binafsi ambayo nafikiria nii ingize kwenye Biashara huku nikiwa naendelea kupiga kazi kama kawaida,,...!!
Sasa naombeni mnishauri nifanye biashara gani ambayo itamudu kiasi icho cha pesa na kunii ingizia faida"
Lakini pia kumbuka biashara inahitaji hashiki, shauku na matamanio ya kile kitu unachokwenda kufanya ili hata pale utakapoangua hivi vitu vitatu vitakushawishi uamke na ujipanguse na kuanza tena vita upya. Pia inataka kujitoa lakini usipokuwa makini hiyo 270 milioni utazitia mtaroni mdogo wangu halafu utajuta. Mwisho, huu ushauri wangu utakuwa hauna maana kwenye biashara yoyote ile kama wewe mwenyewe hauna shauku navyo hivyo vitu vine nilivyosisitizia hapo juu. Mshauri wa biashara atakushauri jinsi ya kufanya biashara lakini si aina gani ya kuafanya hii yote sababu biashara inaanzia moyoni mdogo wangu.
Mbona unajicontradict, Si umesema hujui kufanya biashara?
Swali lako liko kinadharia zaidi kwa sababu jibu lake ni rahisi tu: fanya vilevile ulivyofanya ukapata hizo mil. 270,just do it again and again, it seems to be working quite well...