grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,816
Chukua kiasi kidogo cha kuanzia kama milioni 50, wekeza kwenye soko la hisa kwa kununua hisa. Ukiona inalipa ongeza mtaji zaidi utaona faida yake.
Second option, wekeza kwenye ardhi. Unaweza kutafuta nyumba ya maana ukanunua na kuikarabati kidogo halafu unaopangisha makampuni makubwa au wafanyabishara wanaotafutia nyumba watumishi wao unakuwa unalipwa kwa mikataba minono. Achana na wapangaji wa kibongo kila siku kupigana chenga ya kulipa kodi.