Nina Milioni 270 TShs, Nifanye Biashara Gani?

Ekeza katika kununua nyumba na uzipangishe
Nyumba utaijenga kwa Tshs 70Mil, na kupangisha kwa labda Tshs laki 7 kwa mwezi. So itachukua miezi (Tshs 70Mil/Laki 7) = Miezi 100 (miaka 8) kurudisha hela.

We bana ingia kwenye Kilimo kama vipi. Nunua mashamba au hata kodisha mashamba na ulime. mazao kama Mpunga na Ufuta yanalipa sana. Ufuta ukiuzia shambani ni Tshs 2,500/= kwa Kilo, na ukiuzia kwa wachina au wahindi wa kurasini ni Tshs 4,000/= kwa kg. Heka moja yaweza kutoa mpaka magunia 8 au 10, so utakua na hela yako ndefu tu.

Halafu hela kama hizo usizifanyie pupa. Kama ni hela "umepiga" mahali (sorry kama sio) hua zinakuaga na mzuka sana, but kama umezichanga kidogo kidogo utakua umezizoea, so zisikupe presha sana. Ukitulia unaweza ukazizalisha sana.

Otherwise angalia pia na sisi wanaume, wengine ukitupata tuta-act kama "mario", then hela zikaisha.

Ni hayo tu.
 
Mkuu biashara ya sembe inatatizo gani?
Ni lazima itakuhusisha usafiri nchi za wengine hasa asia fika kwenye viwanja vya ndege na ukiwa na hati ya kusafiria ya TZ acha utakavyo ambiwa vua nguo zote na kubinuliwa kila upande hayo ndio matatiozo yake makubwa.
 

asante sana mheshimiwa ur real a great thinker,,...ntafanyia kazi mawazo yako
 
Huku tuendaka hatutaki biashara wala mambo kufanywa kiushikaji! Madhara yatokanayo na mambo kufanywa kiushikaji na bila kuzingatia safety issues yametosha sasa. Kama mtu unataka kufanya biashara au shughuli yoyote ni lazima uzingatie kanuni na sheria zilizopo ikiwa ni pamoja nakutokuleta madhara kwa watumiaji au mazingira yanayokuzunguka.
Mpe ushauri utakaozingatia haya!

 
Ni lazima itakuhusisha usafiri nchi za wengine hasa asia fika kwenye viwanja vya ndege na ukiwa na hati ya kusafiria ya TZ acha utakavyo ambiwa vua nguo zote na kubinuliwa kila upande hayo ndio matatiozo yake makubwa.

hahahhahah aya bana
 

Japokuwa umeonyesha chembe ya dhihaka lakini sitosita kukushauri,

Kulingana na maelezo yako ya awali yanaonyesha wazi kuwa pesa hiyo kwako ndio pesa nyingi zaidi uliyowahi kuishika na mazingira ya upataji yalitia shaka kidogo uwezo wakowakuimiliki,

Vema, ushauri wangu nikuwa, endelea kuwekeza hapo kwenye biashara ya nyumba na upangishaji, vilevile biashara ya M-Pesa nk,

Ukitoka nje ya hapo siamini kama utafanikiwa,

Kwa mtanzania wa kawaida milioni 270 ni pesa nyingi sana, usishangae ndugu!

Mungu akutangulie,
 

asante mkuu
 

samahan kama nilikukwaza mheshimiwa but nilijitahidi kunyumbulisha ili uweze kunielewa,,....ubarikiwe milele....shukran sana
 
Renegade,,....asante sana Mheshimiwa naheshimu mawazo yako
 
Last edited by a moderator:
umetoa ushauri mzuri sana, haki tena hata mm ningemshauri ivyo.biashara ni kutoka moyoni,wala cyo kushauliwa.big up kwa ushauri wako mzuri.wengi huwa hata Mimi wananiuliza swali km hilo.na jibu langu ni km ulo mpa huyo Dada.w/end njema.
 
Chuki zako kwangu.....hazisaidii kitu.....ckujui hunijui.........lol piga kazi usikalie chuki na majungu
 
@EW GM's,,......ahsante saaana kwa mawazo yako mazur na yenye busara mheshimiwa,,...ntayafanyia kazi......shukran sana
 
michosho,,....ahsante sana mheshimiwa,,...naheshim mawazo yako
 
Last edited by a moderator:
@Ewgms asante sana mheshimiwa......nakubaliana nawewe......ubarikiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…