Nina Milioni 270 TShs, Nifanye Biashara Gani?

Nina Milioni 270 TShs, Nifanye Biashara Gani?

IDEA ya Biashara ni moja ya mambo yanayo waumiza watu wengi sana, Na mara nyingi wazo la biashara linahitaji utafiti wa kina ili kuja na wazo lenye tija kwako na kwa jamii nzima,

HIZI NI MOJA YA NJIA ZA KUPATA WAZO LA BIASHARA


1. TUMIA UJUZI ULIONAO
Ujuzi ulionao ndo sehemu ya kwanza kabisa ya kupata wazo la Biashara, Mfano kama wewe umejiliwa na ni Fundi wa kushona Nguo, why usianze na wewe kuwa na biashara ya aina hiyo? Kama wewe ni fundi magari why usianzishe gereji yako?
Ujuzi ulianao ndo hazina ya kwanza nay a kipekee ya kupata wazo na mara nyingi wajasirimali wengi waliofanikiwa waliacha kazi wanazo fanya na kwenda kuanzisha za aina hiyo na kuzimiliki wenyewe


2. BADILISHA HOBY YAKO KUWA PESA

Hobby ni moja ya maeneo ambayo watu huja kutajilikia, kama wewe hobby yako ni kufuga mbwa kwa nini usianze hiyo biashara ya kufuga mbwa?
Kama Hobby yako ni Kuogelea, kwa nini usinzishe mabwawa ya kuogelea na wengine wakawa wankuja huko kuogelea?
Kam unapenda gardening unaweza anza biashara ya kufanya landscape gardening


3. NUNUA BIASHARA AMBAYO TIYALI IPO
Ukishindwa kabisa kupa wazo mwanana unaweza nunua biashara ya mtu mwingine na kuindeleza, siku hizu kuna biashara kibao zinauzwa kwa sababu mbalimbali so unaweza nunua nu kuendelea nayo


4. Kununua Franchise
Hii ni moja ya njiza zinazo tumika kwa sasa na sehemu nyingi sana, Unaweza nunua Popular Brand na kuifanyia kazi, Ingawa mara nyingi kuna mashariti ya kuambatana ikiwemo kuhakikisha unatoa huduma sawa na Brandi yenyewe, nah ii ni popular sana katika MAHOTELI/MIGAHAWA, MASUPERMARKET NA MADUKA MENGINE
Na usijalibu kutumia Brand ya Kampuni Fulani bila kuwapa Taarifa make inaweza kula kwako na ukajikuta unafilisiwa,
Na ilisha wahi kutokea kwa Kampuni ya Mabasi ya SABENA baada ya kutimia jina la Shirika la Ndege la Ubeligiji, Ila sijui walimalizana vipi, make jamaa bado wanalitumia


5. TUMIA PERSONALITY YAKO
Kuna watu unakuta either ni Mrembo sana, Handsome na kazalika, unaweza utumia huo urembo na uhendsaamu kufanya biashara, either za marketing na kazalika

.
6. NINI KINAKOSEKANA MTAANI?
Tazama ni kitu gani hakipo hapo mtaani and then geuza kuwa opportunity, inaweza isiwe ni mtaani ikawa ni kazini kwako, Kijijini kwenum au maeneo unayo enda kustalehe
-Ni kitu gani huwa kinaleta usumbufu kwako na kukuchukulia muda mwingi na pesa nyingi?
- Ni huduma zipi hazipo kabisa mtaani kwako? Na ambazo ni za muhimu?
-Ni bidhaa zipi ambazo ni vigumu kuzipata mtaani kwenu?
-Ni kitu gani, wewe, Ndugu, Majirini huwa wanakilalamikia sana mtaani hapo?


7. UTALII KATIKA MAENEO YAKO
Hii nayo ni moja ya wazo, so unaweza angalia furusa za utalii kwenye maeneo uliyopo au hata kwingine na kuyafanyia kazi.


8. TUMIA TECHINOLOGIA MPYA KUANZISHA BIASHARA
Angalia mfumo wa maisha wa sasa ulivyo, vitu vinavyo tumika kwa sasa na vinavyo tumiwa na watu wengi, so mfumo wa maisha wa watu kwa sasa unaweza kukuongoza kuja na wazo la Biashara


9. ANGALIA MAKAMPUNI MAKUBWA NA TAASISI ZINGINE WANAHITAJI NINI
Unaweza tumia uwepo wa makampuni Fulani au taasisi Fulani maeneo yako kutengeneza wazo la biashara, taasisi kama Shule, vyuo, Hospitali, Makampuni kama Viwanda Migodi na kazalika, angalia ni kipi hawa watu wanaweza kuwa wanahitaji kwa wingi


10. UNAWEZA KUANGALIA KUHUSU KUUZA BIDHAA ZA WENGINE
Unaweza ukawa unauza bidhaa za watu wengine, unachukua na kuuza


11. ANAGALIA NEWS NA MAKALA MBALIMBALI
Kunachaneli huwa zina makala mazuri sana ya kiuchumi na biashara, hata TBC huwa inamakala Fulani nzuri sana, na kuna chaneli za kimataifa siku huzi kazi yao ni hiyo tu, ni kuonyesja ubunifu wa wajasirimali, so TV, radio na magazeti yanaweza toa mchango w akutosha kwa wewe kupata wazo la biashara


12. CPY BUSINESS AIDEA AMBAYO IMEFANIKIWA KWINGINEKO
Hii ni moja ya njia zinazo tumika kwa sasa, unaweza copya aidea kutoka hata India, China, na kwingineko na ukaja kuifanyia kazi huku kwa kufanya marekebisho madogo kulingana na mahitaji ya eneo husika


13. TUMIA NJIZA ZOTE ZA KIUTAFITI KUPATA WAZO LA biashara- maonyesho ya biashara
-Magazeti,
- Kwenye taasisi za uma zinazo husika na biashara
-Kwa marafiki


14. UNAWEZA GUNDUA KITU?Unaweza ukaja na ugunduzi wako kama walivyo fanya wakina Thomas Edson Michael Dell na wengineo, na ikawa ndo mwanzo wa mafanikoa kwako


SO HIZO NI MOJA YA NJIA ZA KUTUMIA, INGAWA BADO KUNA NJIA NYINGI TU ZA KUFANYA ILI KUOATA WAZO LA BIASHARA LILILO BORA
 
chonga boti za uvuvi wa samaki baharini weka pale kunduchi zisizo zidi kama kumi tafuta msimamizi kila boti kima cha chini itakuletea laki nne kwa siku hapo unakuwa umeshatoa matumizi na posho za wavuvi na ya msimamizi wako ndo unabakiwa na hicho kiasi kwa boti kumi kwa siku ina maana kila siku unalaza milioni 4. Kwa mwezi piga mahesabu utajua utakuwa unapata sh ngapi....na kwa mwaka pia utajua unapata sh ngapi. Hyo ni biashara ambayo aumizi kichwa.
 
ahsante sana kwa kujali but kwa imani yangu siwezi kujenga guest wala bar,,....another option pls
Huwezi jenga gest kwa umani yako unaposafiri unalala wapi? Jenga gest ialipa ila weka masharti ya cheti Cha ndoa.
 
Duh,
Basi atakua anatuzuga. Maana hizo apartments ni investment tosha, labda ndio style ya "DONT STOP TILL YOU GET ENOUGH"
Hapo tu ndio na mimi kaniacha hoi,ukiwa na vitega uchumi vingi ni vema lakini vinatakiwa usifanye kazi nyingine yoyote kabana navyo kwenye kusimamia,wengi wanaibiwa hela hapohapo aongeze tu apartments zitamlipa.
 
Salaams Wapendwa wangu,,....!!

Poleni kwa majukum na mikiki mikiki ya hapa na pale katika jitihada za kutafuta rizki,,...!!

Sina mengi ila nahitaji ushauri wenu wenye busara,,....!!

Mimi ni mwanamke mwenye umri kati ya miaka (20-30),,...sina uzoefu sana wa biashara ila nimeajiriwa kwenye kampuni flani ya Wafaransa+Wataliano ni Sharing Company,,...!!

Katika harakati za kutafuta Pesa nina kiasi kidogo cha Milioni 270 za KITANZANIA yakwangu Binafsi ambayo nafikiria nii ingize kwenye Biashara huku nikiwa naendelea kupiga kazi kama kawaida,,...!!

Sasa naombeni mnishauri nifanye biashara gani ambayo itamudu kiasi icho cha pesa na kunii ingizia faida,,...??

N.B. Sina uzoefu katika Biashara
ahsanteni,,....Eid Njema,,...!!

Kiasi hicho ni kikubwa sana aisee as a working capital, nitakupm kesho tukae sehemu nikupe idea kwenye mining industry. Huku ni cash cow
Tutatumia not more than 20M as a working capital. Zingine utajua mwenyewe cha kufanyia .
 
chonga boti za uvuvi wa samaki baharini weka pale kunduchi zisizo zidi kama kumi tafuta msimamizi kila boti kima cha chini itakuletea laki nne kwa siku hapo unakuwa umeshatoa matumizi na posho za wavuvi na ya msimamizi wako ndo unabakiwa na hicho kiasi kwa boti kumi kwa siku ina maana kila siku unalaza milioni 4. Kwa mwezi piga mahesabu utajua utakuwa unapata sh ngapi....na kwa mwaka pia utajua unapata sh ngapi. Hyo ni biashara ambayo aumizi kichwa.

asante sana mheshimiwa....ntakuPM
 
zamlock......naheshim sana mawazo yako,,....ntayafanyia kazi
 
Last edited by a moderator:
Chasha,,.....shukran sana....
Pamoja saana
 
Last edited by a moderator:
Eberhand,,......pamoja saana
nayafanyia kazi mawazo yako asante sana
 
Last edited by a moderator:
Vonix,,......pamoja saana
ntayafanyia kazi mawazo yako
dah,,....asante sana
 
Last edited by a moderator:
Mimi nakushauri ununue mashine ya kutengeneza sabun za miche mfano mashne ya m.10 pale sido inatengeneza carton 30 zenye miche kumi so kwa siku ni miche 300 ambayo kwa bei ya jumla kama anavyouza yule JAMAA LAUNDRY SOAP ya 1880 utaingiza Tsh.564,000 kwa siku ila ikumbukwe hiyo ni mashine moja kuhusu raw materials na gharama nyingine plz ni cheki 0717539573 kwan ni biashara ambayo nina ujuz nayo naweza saidia zaidi ki mawazo .Mungu akubariki ''pull up your socks''
 
Huku tuendaka hatutaki biashara wala mambo kufanywa kiushikaji! Madhara yatokanayo na mambo kufanywa kiushikaji na bila kuzingatia safety issues yametosha sasa. Kama mtu unataka kufanya biashara au shughuli yoyote ni lazima uzingatie kanuni na sheria zilizopo ikiwa ni pamoja nakutokuleta madhara kwa watumiaji au mazingira yanayokuzunguka.
Mpe ushauri utakaozingatia haya!

Mkuu ushauri unaanza kwanza mambo ya EIA ni lazima na yanafata baadaye kabla ya implementation. Hizi issue za safety zina wenyewe.
 
Marnah
Kuna uzi humu unaitwa mtaji wa milion 10 una mawazo mazuri sana jaribu kuupitia ila kama utaufanyia kazi ushauri wangu wa kuwa mbunge ukiingia mjengoni usinisahau kwenye ufalme wako mi ntakua dereva wako na kidumu chako tu
 
Ni kweli kabisa zina wenyewe. Na wenyewe hao ni mimi na wewe!
Mkuu ushauri unaanza kwanza mambo ya EIA ni lazima na yanafata baadaye kabla ya implementation. Hizi issue za safety zina wenyewe.
 
Marnah Kuwa makini sana.Pesa hiyo ni nyingi lazima matapeli wakuundie kamati.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom