Nina milioni tano, naweza pata kiwanja upande huu wa Dar es Salaam?

Ongezea M1 Njoo nkupe kiwanja kikubwa kiluvya ambacho hakina longolongo
Kiluvya maeneo gani mdada...
Umbali gani kutoka Morogoro road, au upande gani kama unatokea Kibamba
 
Njoo kitonga wilaya ya ilala nakuuzia kiwanja ukubwa 88*45 kwa mil 4
 

Kuna kiwanja Mpiji Magoe-Mbezi

Bei atleast 6ml
 
Unapata mkuu
 
Nipigie 0766961129
 
Kwanini usichukue chanika au mvuti ,ni Bei nzuri tu
 
Kiluvya kipo kama unahitaji
 
Uongo huu
 
Hiyo pesa huku kwetu unapata shamba ekari 5 baada ya miaka 10 utauza 20m uamuzi ni wako tu mkuu hii Tanzania ni kubwa mnoo si lazima mjazane DSM.
Yaani aweke million 5 leo baada ya miaka 5 apate 20Million?
Mbona tuhela tudogo sana?
At least ingekuwa million 50 kwenda juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…