Nina milioni tano, naweza pata kiwanja upande huu wa Dar es Salaam?

Wilaya ya ilala ndio wapi ,hizo futi ndio mita ngapi kwa ngapi
 
ACHA KUAHANGAIKA NA NYUMBA ZA KUPANGA.
NJOO KIBAHA KWA MFIPA NIKUPE KIWANJA CHA 20*20 KWA MIL. 2.8
JENGA CHUMBA CHAKO MASTER NA SEBLE UNAANZA MAISHA.TOFARI 1000 NYUMBA IMEKAMILIKA. MCHANGA UKO HAPO HAPO UWANJANI KWAKO. TOFARI 1 UKU NI 850 MPAKA SITE
0789411234
 
Maeneo ya Mbopo, Mabwepande utapata 20x20 kwa 4,000,000. wasiliana na 0714432979 au 0768181907
 
Bado kipo
Specifications:
Ukubwa: ngapi kwa ngapi

Hali ya umiliki: wewe ndio mmliki, ndugu, dalali

Umbali: kutoka Morogoro road, kufikika kwake... Mfano kutokea Mbezi mwisho stand (Yan mtu akitaka kwenda kupaona anafikaje). NB Mbezi mwisho napajua, lakin Mpiji magoe sijawahi fika
 
Mkuu kama unafanya kazi maeneo ya Ubungo nipe mawasiliano yako tutajadili kuhusu kiwanja maeneo ya Msumi na MpigiMagoe.
Mimi kituo changu cha kazi ni karibu sana na Ubungo.
 
Tajiri njoo Kibaha utapata viwanja kwa bei rahisi sana ...Kibaha kongowe viwanja vipo bei nzuri sana ... afu soon barabara wataitanua mpaka chalinze ...fikiria 5years to come ...acha kujibana hapa dsm ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Viwanja bado vipo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…