Nina mimba na mtoto ana miezi minne, naomba ushauri wenu nifanyeje?

Daah kusema kweli hiyo ni shida ila yote hiyo ni mipango ya mungu kwahyo ww kubaliana na matokeo chamsingi nikumchukua huyo mtoto mpeleke kwa mama yako au Dada yako mana ukisema utazidi kukaa nae ndio utamumiza kiafya

Sent from my TECNO-M3 using JamiiForums mobile app
 
Ninachohitaji ni nifanyeje ili mtoto asidhulike kipindi hiki cha ujauzito? Maana hofu yangu ni juu ya huyu mtoto niliyenaye
Jaribu kuwa msafi mda wote na ikiwezekana mwachishe kunyonya mpe maziwa ya ng'ombe au ya dukani yale ya kopo mtoto atakuwa na afya njema kabisa ukishindwa mwone daktari yeyote atakupa ushauri. Pole sana dadangu.
 
mnyonyeshe mtoto tu hiyo hali itapotea hadi mimba ifike miezi 7 acha, ukiona bad o kadogo ukijifugua endelea tu kumnyonyesha haina shida, watu wanakosea katka unyonyeshaji ndio maana wanapata mimba
 
Mstopishe kunyonya huyo ulienae,kuna mirija ya kunyonyesha nenda kanunue then uwe unamnunulia maziwa na kumnyonyesha na endelea kulea mimba
 
Acha kumnyonyesha huyo mtoto anza tu kumpa maziwa ya ng'ombe bila hivyo utamkosa huyo mtoto maana maziwa yako yashaharibika tayari
 
ooops ,samehe mimi dada!
 
uuuuuuuuuwih SPERMS NA MAZIWA VINAKUTANA WAPI JAMANI!
WAAAPI FOR A START!/
Riwa HIVI KWANINI HUJI MPKA HAYA YANAFIKA HUKU!
pls say something
 
Kwanza kbs, usimruhusu tena mtoto kunyonya ayo maziwa!! kwan, si salama tena kwa afya y@ke bali n sumu!! zaid tembelea kituo ch@ afya kilicho karibu upate ushauri nasah@!!!!
 
Huku kubemenda watu hawaelewi inakuaje, mtoto andhoofika ni kutokana na kula uchafu ktk maziwa, uchafu haupoa ndani ya maziwa, uchafu upo nje ya maziwa.

Mnatoka kugegedana mmeshikana kila kona kisha mikono hiyo hiyo unashika ziwa na kumnyonyesha mtoto hapo ndio unapokula uchafu. Mi nakuhakikishia ikiwa mama baada ya kumaliza mgegedo anaenda kunawa mikono na sabuni vizuri, hakuna cha kubemenda. Mtoto hata kama analia usimpe ziwa nenda kanawe kwanza.

Kwa ww mama mtoto mi nakushari acha kumnyonyeha huyo mtoto, mtafutie vyakula mbadala ukiendelea kumnyonyesha afya yake haitakuwa vizuri, unajua kwa nn, huko mitaani wakubwa ukiwapinga wanamroga mtoto ili ionekane ubishi wako, fuata mila za hapo ulipo atakuwa poa.
 
Ninachohitaji ni nifanyeje ili mtoto asidhulike kipindi hiki cha ujauzito? Maana hofu yangu ni juu ya huyu mtoto niliyenaye
Acha kumnyonyesha mpatie maziwa ya kopo
 
Mnyonyeshe mtoto mpk mimba ifike miezi sita mpk saba hakuna shida,kwa maelezo zaidi muone gyno or paed.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…