Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Ndo maana wazee wa zamani ukizaa unakwenda kwenu kwa muda mrefuDo ile theory ya kuwa ukiwa unanyonyesha mimba haiwezi kushika si kwa wote, wengine wakijaribu tu ni kitu na box. Kula vizuri na kufanya mazoezi, jitahidi kutembea hata kwa nusu saa kila siku kama utaweza.
Jitahidi kubalance mapenzi kati ya hawa watoto wote, kwasababu wako karibu huyu aliyetangulia pia atahitaji kupendwa kama mwenzake. Wazazi wengi wanajisahau na attention yote inahamia kwa mtoto mchanga.
Mpe vyakula vya lishe kwa wingi ila uwe makin maana iyo miezi mi nne aliyonayo mfumo wake wa chakula bado mlaini sana hivyo unatakiwa kuhakikisha kama ni chakula au juice juice inakua blended well ili kusiwe na vijinyuzi nyuzi, ondoa hofu atakua tu vyemaBado nina maziwa ya kutosha sana, hawezi hata kuyamaliza ... Sasa labda cjui huo utapiamlo unatokana na nini?
Ampe tu maziwa ya ng'ombe ambayo hayajachanganywa na Maji kuepuka ayo maziwa Fake ya kopoKuharisha kwa mtoto huyo wa miezi minne ni effect inayotokana na kunyonya maziwa yasiyo bora na nimachafu hayafai kwa mtoto kunyonya, kwasababu ya ujauzito ulionao.... Yote ni dhambi kutompa mtoto maziwa chakula kisicho mfaa na kudhorotesha afya yake na pia kuwaza kutoa mimba nayo ni dhambi.....mwanzishie mtoto maziwa ya kopo lactogen ambayo hayajachakachuliwa maana fake zipo nyingi, au SMA usiwaze kutoa mimba...
Wataalamu hutuambia hivyo, ila kuepuka hofu ya kuhusisha maziwa anayonyonya mtoto na hali yake ya kiafya namshauri aache tu kumnyonyesha!MAZIWA YANAHARIBIKAJE JAMANI!?
hakuna hicho kitu!
AENDELEE KUNYONYESHA MWANAE!
Usidharau watu Mkuu! Hao ma Daktari unaowaamini wanatumia uzoefu wa vitabu tu, ndo Yale yale unaambiwa usimpe mtoto chochote ndani ya miezi 6 wakati unaishi Dar joto kalii mtu mzima tu huwez kuvumilia kuto kunywa Maji lakini mtoto unaambiwa usimpe hata robo kijiko, ila cha ajabu sasa watoto wao majumban wanawalea nje ya wanavyokushauriNenda Hospitali tafuta daktari mwaminifu na mcha Mungu muombe ushauri...atakachokushauri kitekeleze....usiombe ushaur JF kwa watu ambao wengi hatuna utaalam huo.
Wee unamshaurije MTU aache kunyonyesha? Nani kakwambia MTU akiwa mjamzito kunyonyesha ndo basi? Mafunzo ya wapi hayo? Acha kukurupuka na kutoa mafundisho dhoofu na potofu. Mjamzito anaruhusiwa kunyonyesha mpaka mtoto mwenyewe akatae. Virutubisho vya maziwa viko pale pale na havina madhara yoyote .
Mtoto hawez haribika mi ilisha nitokea nilibeba ujauzito mtoto akiwa na miez mitano nikashauriwa na daktar kuwa ninyonyeshe hadi mimba ikifika miez saba nimuachishe na wala mtoto hakuharibika nilimnyonyesha mimba ilipofikisha miez saba nikamuachisha
Kuna mila hasa kule TaboraNinachohitaji ni nifanyeje ili mtoto asidhulike kipindi hiki cha ujauzito? Maana hofu yangu ni juu ya huyu mtoto niliyenaye
Hamna hicho kitu kinachoitwa kubemenda, Anatakiwe aendelee kunyonyesha na azingatie kula lishe kamili na supplement ya vitamin na Zinc,atafute unga wa mbegu za maboga ili kuongeza kiwango cha maziwa ,Ww ndo umekurupuku mm nampa ushaur kutokana na niliyoyashahudia akiendelea kumnyonyesha mtt atakua anaharisha mara kwa mara na uwezekano wa kumbemenda mtt ni asilimia kubwa sana anachotakiwa kufanya n kumuanzishia maziwa yale ya kopo na lishe iliyokua imara. Halaf usipende kujifanya mjuaji sana vingine si lazma usomee au uambiwe na mtu mazingira ninayoishi ni elimu tosha.
Hakuna kitu kinachoitwa kubemenda elimu ya mtaani inaponza sana.kabemenda mtoto tayari hana swali hapo, miezi mi nne sasa, kama uli nani? na mtumwingine tofauti na mzee mwenyewe ndo madhara hayo cha msingi wanasema acha kumnyonyesha mtoto tena mtafutie maziwa ya kopo na matunda uanze kumpa ila kwa ushauri zaidi muone dokta. maana nakubuka tatizo lako ni kama la mama mdogo wangu lilikuwa hivyo hivyo sema mtoto wa kwanza kawa mbilikimo namaana mfupi
Ndgu yangu hiyo ni biingoo....nenda kwa washauri wa afya wakushauri vyema lea mimba hiyo kwa age hiyo fyatua tu ukipumzika umepumzika isitoshe uko kwenye ndoa sio kesi watoto kbao mimba zao zinaongozana...Bado sijaenda hospitali , nimeolewa, nina mtoto mmoja tu, umri wangu ni 29 yr,
Elimu za mitaani hizo mjomba zisikuchanganye. Idara za afya , ustawi wa jamii/watoto na Ma Dr n.k Hakuna MTU atakushauri kuachisha kunyonyesha mtoto mama akiwa mjamzito.Ww ndo umekurupuku mm nampa ushaur kutokana na niliyoyashahudia akiendelea kumnyonyesha mtt atakua anaharisha mara kwa mara na uwezekano wa kumbemenda mtt ni asilimia kubwa sana anachotakiwa kufanya n kumuanzishia maziwa yale ya kopo na lishe iliyokua imara. Halaf usipende kujifanya mjuaji sana vingine si lazma usomee au uambiwe na mtu mazingira ninayoishi ni elimu tosha.
Usitake kuleta ubishi hapa, soma uelewe !! Sasa bora kipi? Maziwa ya ng'ombe ambayo hayajachanywa yaliyoondolewa utando wa mafuta mafuta au maziwa fake ya formula?Aisee maziwa ya ng'ombe yasiyotiwa maji? Content ya maziwa ya ng'ombe aliyoandaliwa ndama ,mtoto ndiyo ayanywe hivyohivyo? Ni bora formula kuliko maziwa ya ng'ombe kwa mtoto mdogo maziwa ya ng'ombe yanasababisha allergy tena ni mtoto mdogo ambaye kinga ya mwili bado ni ndogo.
KUNA WATU HUMU NDANI MNAJIFANYA KAMA KUZAA MMEZAA NYIE TU WENGINE WAMEZAA MATUFE HAYALELEWI, USIDHARAU HATA SIKU MOJA ELIMU YA MTAANI NDIYO IMETUKUZA MIMI NA WENGINE NA KUNA WAKATI TUNA i- Apply kwenye maisha ya watoto wetu! Ni Chaguo la mtoa post kuchukua ushauri unaomfaa kutokana na anayoyapitia mwanae na si vinginevyo!Hakuna kitu kinachoitwa kubemenda elimu ya mtaani inaponza sana.
Na wasiwasi ulikuwa humsikilizi muuguzi wakati wa somo clinic huwa wanatuelimisha zikifika siku 40 unapoenda kumfulia mtoto kadi la maendeleo ya ukuwaji pia tujiunge na mzazi wa mpango.Habar zenu wana jf!! Samahani sana kwa usumbufu, naombeni msaada wenu nifanyeje mwenzenu yamenikuta nipo njia panda sina cha kufanya.
Mwanangu bado mdogo miezi minne tu sasa na tayari nina ujauzito. Mtoto kashaanza kuhara kila siku na anazidi kunyong'onyea tuu. Hospitali walimpima hana tatizo, je nifanyeje? Nawaombeni sana mnisaidie ili niokoe afya ya mwanangu.
Najua kuna watu watanitukana ila yote sawa nastahili, ushari wako ni muhimu.
Asanteni.
Zingatia lishe dada tena hao watakuwa mapacha wa nje wakikuwa utafurahi sana,mie ilishanitokea lakini hakuwa mapema kiasi hicho ilikuwa miezi tisa nililea mimba na mtoto sasa wamekuwa boyz tena najiona mjanja.ila ujiandae kwa miaka miwili si kazi rahisi sana.Sina operation, Ila. Hofu yangu ni juu afya yangu mimi na mtoto, maana kiukweli kupata ujauzito saivi sikupanga kabisa,