Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 5,503
- 15,858
-----Update-------
Hoja zangu zimeshambuliwa na wananchi ambao Wanaona haiwezekani kwa kuwa serikali zingine zimeshindwa lakina ukweli ni kuwa sisi tutafanikisha Hili suala kwa kujua umhimu wa kuanzia fursa sawa kwa watoto wote wa Tanzania.
----------
Ndugu wananchi,
Nimesimama mbele yenu kama mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2025, nikiwa na ajenda kuu inayogusa maisha ya kila Mtanzania wa kawaida: CHILD GRANT kwa watoto wa kaya masikini umri miaka 0 mpaka 5
HOJA YANGU KUU:
Tutakapofanikiwa kuingia Ikulu, tutaanzisha mpango wa kitaifa wa Child Grant – msaada wa kifedha wa kila mwezi kwa wanawake maskini wenye watoto wachanga hadi umri wa mpaka miaka 5. Huu siyo msaada wa huruma, bali ni uwekezaji kwa vizazi vyetu.
Kwa nini Child Grant?
(1) Kupunguza vifo vya watoto wachanga: Wanawake wengi vijijini hawana uwezo wa kuhudumia watoto wao kwa lishe, afya na makazi bora. Grant hii itasaidia kuinua hali zao.
(2) Kuhakikisha kila mtoto anaanza maisha na fursa sawa: Maendeleo ya taifa huanzia kwa mtoto.
(3) Kuwainua wanawake kiuchumi: Grant hii itawasaidia kuanzisha shughuli ndogo ndogo za kujikimu.
(4) Ushahidi wa mafanikio upo: Nchi kama Afrika Kusini, Mozambique na Argentina tayari zinatoa Child Grant, na matokeo ni makubwa.
Mpango huu utafadhiliwa kupitia:
(1) Marekebisho ya bajeti ya matumizi yasiyo ya lazima serikalini.
(2) Ushirikiano na mashirika ya maendeleo ya kimataifa.
(3) Kodi maalum kwa bidhaa za anasa (luxury tax) – matajiri wachache wachangie mustakabali wa taifa.
Wananchi wenzangu, huu siyo wakati wa ahadi za porojo. Ni wakati wa sera za kugusa maisha ya kila Mtanzania.