Nina mpango wa kugombea urais kupitia chama kimoja wapo Cha kisiasa na hii ndiyo agenda yangu kuu.

Tena automatically
Uchumi wa watu wote ni unevenly Kuna familia masikini sana kiasi ni vigumu kuwafulia ila kupitia hii sera tutathanini maisha ya Kila mtoto na kutoa fursa sawa.
 
Familia maskini sana wanazaliana ili iweje mkuu?
 
Mkuu nijielimishe kivipi sera inaeleweka na mitizamo ikitofautiana ndipo suluhu Bora zaidi hupatikana.
Shida ni hujui kipi chakuanza kutatua!, kukuambia ujielimishe ni ili uweze kuona vyema njia nayo kuambia mimi ni nzuri zaidi na haitaipa serikali mzigo unaotaka kuubeba!, utanufaika zaidi ukija na sera nzuri za kiuchumi zitatatua mambo mengi kushinda unavyofikiri!.
wacha pesa i flow kwenye mifuko ya watu!, watoto watakula vizuri,watasoma na watu haohao watawekeza hizo fedha kwenye nchi yao wewe utakusanya mapato nakufanya vitu vikubwa vikubwa nakuacha kuangalia hayo mambo madogo madogo!.
 
FUngu la vijana tu linaliws sembuse child support
Huyu anafikiria jamii yetu imekuwa na elimu kihivyo kama nchi za ulaya watu wanalipwa kuzaa!, unakuta mtoto analipiwa dollar mia kila mwezi na hapo kuzaa ndo kwanza hawana muda!, hiyo offer ukiweka huku watu watazaa tu na sio kufanya kazi tena!..😂
elimu
elimu
elimu.
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Tafakuri tunaweza kuifikia wote kwa pamoja kipi kimepungua kiboreshwe ndugu?
Kwa sasa tuna Sheria ya Bima ya Afya kwa wote ambayo utekelezaji wake ndio umeanza, hivyo huduma za afya sio hoja tena, kikubwa Serikali isaidie kuweka mkono kusaidia wale maskini kabisa. Vile vile, halmashauri zinatenga 10% ya mapato yake kwa ajili ya wanawake na vijana. Vile vile, tuna mikakati na avenues nyingi za women empowerment katika ngazi zote. Labda utuambie ni sera gani utakuja nayo ili kuitoa nchi hapa ilipo na kusonga mbele. Hoja za grants za watoto sioni kama ni nzito za kushinda uchaguzi hasa kwa nchi ambayo inapaswa kupunguza ongezeko lake la watu.
 
Shida ni hujui kipi chakuanza kutatua!, kukuambia ujielimishe ni ili uweze kuona vyema njia nayo kuambia mimi ni nzuri zaidi na haitaipa serikali mzigo unaotaka kuubeba!, utanufaika zaidi ukija na sera nzuri za kiuchumi zitatatua mambo mengi kushinda unavyofikiri!.
wacha pesa i flow kwenye mifuko ya watu!, watoto watakula vizuri,watasoma na watu haohao watawekeza hizo fedha kwenye nchi yao wewe utakusanya mapato nakufanya vitu vikubwa vikubwa nakuacha kuangalia hayo mambo madogo madogo!.
Mkuu mataifa karibia yote ulaya yanatoa child support Sasa hoja Yako ya kusema uchumi kwanza Haina mashiko kwani suala la uchumi ni la mhimu ila shida IPO kwenye wapi pa kuzipeleka pesa. Hii itasaidia kupunguza bajeti ya afya kwa kuimarisha afya ya mtoto.
 
Ndugu wananchi,
Nimesimama mbele yenu kama mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2025, nikiwa na ajenda kuu inayogusa maisha ya kila Mtanzania wa kawaida: CHILD GRANT kwa watoto wa kaya masikini umri miaka 0 mpaka 5

HOJA YANGU KUU:
Tutakapofanikiwa kuingia Ikulu, tutaanzisha mpango wa kitaifa wa Child Grant – msaada wa kifedha wa kila mwezi kwa wanawake maskini wenye watoto wachanga hadi umri wa mpaka miaka 5. Huu siyo msaada wa huruma, bali ni uwekezaji kwa vizazi vyetu.

Kwa nini Child Grant?

(1) Kupunguza vifo vya watoto wachanga: Wanawake wengi vijijini hawana uwezo wa kuhudumia watoto wao kwa lishe, afya na makazi bora. Grant hii itasaidia kuinua hali zao.

(2) Kuhakikisha kila mtoto anaanza maisha na fursa sawa: Maendeleo ya taifa huanzia kwa mtoto.

(3) Kuwainua wanawake kiuchumi: Grant hii itawasaidia kuanzisha shughuli ndogo ndogo za kujikimu.

(4) Ushahidi wa mafanikio upo: Nchi kama Afrika Kusini, Mozambique na Argentina tayari zinatoa Child Grant, na matokeo ni makubwa.

Mpango huu utafadhiliwa kupitia:

(1) Marekebisho ya bajeti ya matumizi yasiyo ya lazima serikalini.

(2) Ushirikiano na mashirika ya maendeleo ya kimataifa.

(3) Kodi maalum kwa bidhaa za anasa (luxury tax) – matajiri wachache wachangie mustakabali wa taifa.

Wananchi wenzangu, huu siyo wakati wa ahadi za porojo. Ni wakati wa sera za kugusa maisha ya kila Mtanzania.
Rais yeyote atayeingia Tanzania na kujifanya kuendeleza mtindo wa CCM wa kutoa ahadi hatafanikiwa. Nchi yetu tatizo lake ni zaidi ya ''ahadi'' au sera. Tuna tatizo kubwa la mfumo na kukosa vision ya muda mrefu. Hivyo basi jambo la kwanza kabisa rais yeyote anayetakiwa kulifanya ni kukusanya makundi yote na kukubaliana mfumo na vision nzuri inayolifaa taifa letu kwa kurejea makosa tuliyofanya tangu tupate uhuru. Viti kama raslimali kuu za taifa letu ni lazima zipangiwe vision ya muda mrefu ambayo kiongozi yeyote atakayeingia inabidi azifuate na kama kuna haja ya kurekebisha basi kuwe na utaratibu wa kuhusisha taifa lote. Hili tatizo la huyu anaona bandari inafaa kuuzwa, anayefuatia anaona bandari haifai kuuzwa, halitatufikisha popote.
 
Ili taifa liwe taifa lazima liwe na watu, Sasa kulaumu watu kuzaa ni kukosa uelewa pia.
Watu maskini sana wawezeshwe kupata kipato mkuu, kuendekeza watu wazaliane tu wakati hali ni ngumu ni kuleta matatizo
 
Huyu anafikiria jamii yetu imekuwa na elimu kihivyo kama nchi za ulaya watu wanalipwa kuzaa!, unakuta mtoto analipiwa dollar mia kila mwezi na hapo kuzaa ndo kwanza hawana muda!, hiyo offer ukiweka huku watu watazaa tu na sio kufanya kazi tena!..😂
elimu
elimu
elimu.
Masuala ya child grant ni promotion kwa nchi zinazotaka kuongeza birthrate, Tz inapaswa inapaswa kuondoa icentives kwenye ishu za kuzaa ili kupunguza birthrate. All in all, kwa nchi zinazoendelea hoja ya child grant haitoshi kushinda uchaguzi. Kuna ishu za ajira, matumizi ya rasilimali, uhuru wa watu, viwanda, kilimo na biashara, muundo wa Serikali + Bunge, huko ndiko Watz wengi waliko.
 
Huyu anafikiria jamii yetu imekuwa na elimu kihivyo kama nchi za ulaya watu wanalipwa kuzaa!, unakuta mtoto analipiwa dollar mia kila mwezi na hapo kuzaa ndo kwanza hawana muda!, hiyo offer ukiweka huku watu watazaa tu na sio kufanya kazi tena!..😂
elimu
elimu
elimu.
Hizo hela zitapigwa vibaya mno, bima tu sahivi ni vita kubwa nhif huko hospitali
 
Kwa sasa tuna Sheria ya Bima ya Afya kwa wote ambayo utekelezaji wake ndio umeanza, hivyo huduma za afya sio hoja tena, kikubwa Serikali isaidie kuweka mkono kusaidia wale maskini kabisa. Vile vile, halmashauri zinatenga 10% ya mapato yake kwa ajili ya wanawake na vijana. Vile vile, tuna mikakati na avenues nyingi za women empowerment katika ngazi zote. Labda utuambie ni sera gani utakuja nayo ili kuitoa nchi hapa ilipo na kusonga mbele. Hoja za grants za watoto sioni kama ni nzito za kushinda uchaguzi hasa kwa nchi ambayo inapaswa kupunguza ongezeko lake la watu.
Huwezi ku-fix matatizo yaliyopo bila kujua chanzo chake na kurebisha. Hii habari ya kusema ''kikubwa serikali ifanye.....'' ni haitasaidia Tanzania hata siku moja kwani haya ni maneno ya siku nyingi. Umejiuliza ni kwa nini ''hivyo vikubwa'' ambavyo mnavisema kila siku havifanyiki? Kuongoza nchi kunataka clear plan na uwajibikaji wa hali ya juu na siyo huu ''ujanja ujanja'' wa kina Samia wa kutumia ghilba ili kushinda uchaguzi.
 
Huyu anafikiria jamii yetu imekuwa na elimu kihivyo kama nchi za ulaya watu wanalipwa kuzaa!, unakuta mtoto analipiwa dollar mia kila mwezi na hapo kuzaa ndo kwanza hawana muda!, hiyo offer ukiweka huku watu watazaa tu na sio kufanya kazi tena!..😂
elimu
elimu
elimu.
Uko sahihi wanatoa kama motisha watu wazae wakati Tanzania kunahangaikiwa uzazi wa mpango kwani kuzaa sio issue
 
Mkuu mataifa karibia yote ulaya yanatoa child support Sasa hoja Yako ya kusema uchumi kwanza Haina mashiko kwani suala la uchumi ni la mhimu ila shida IPO kwenye wapi pa kuzipeleka pesa. Hii itasaidia kupunguza bajeti ya afya kwa kuimarisha afya ya mtoto.
sasa huku ni ulaya..?
ndio maana nasema unafaa ujielimishe wewe!, uchumi wetu na wao haulingani we sisi mvua za msimu mmoja zikiyumba tayari njaa mara umeme wakati wenzetu wanauwezo wakukaa miaka hata mitano hawateteleki..!
sasa hao wakitoa hata child support sio issue!, sera yako ya child support sio mbaya ila kwasasa hatujafikia huko bado kuna mazingira unatakiwa uandae kwanza na ndio hayo nayokuambia mimi..

kwasasa ukianzisha hiyo sera ni dhahiri utayumba sana!.
 
Ndugu wananchi,
Nimesimama mbele yenu kama mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2025, nikiwa na ajenda kuu inayogusa maisha ya kila Mtanzania wa kawaida: CHILD GRANT kwa watoto wa kaya masikini umri miaka 0 mpaka 5

HOJA YANGU KUU:
Tutakapofanikiwa kuingia Ikulu, tutaanzisha mpango wa kitaifa wa Child Grant – msaada wa kifedha wa kila mwezi kwa wanawake maskini wenye watoto wachanga hadi umri wa mpaka miaka 5. Huu siyo msaada wa huruma, bali ni uwekezaji kwa vizazi vyetu.

Kwa nini Child Grant?

(1) Kupunguza vifo vya watoto wachanga: Wanawake wengi vijijini hawana uwezo wa kuhudumia watoto wao kwa lishe, afya na makazi bora. Grant hii itasaidia kuinua hali zao.

(2) Kuhakikisha kila mtoto anaanza maisha na fursa sawa: Maendeleo ya taifa huanzia kwa mtoto.

(3) Kuwainua wanawake kiuchumi: Grant hii itawasaidia kuanzisha shughuli ndogo ndogo za kujikimu.

(4) Ushahidi wa mafanikio upo: Nchi kama Afrika Kusini, Mozambique na Argentina tayari zinatoa Child Grant, na matokeo ni makubwa.

Mpango huu utafadhiliwa kupitia:

(1) Marekebisho ya bajeti ya matumizi yasiyo ya lazima serikalini.

(2) Ushirikiano na mashirika ya maendeleo ya kimataifa.

(3) Kodi maalum kwa bidhaa za anasa (luxury tax) – matajiri wachache wachangie mustakabali wa taifa.

Wananchi wenzangu, huu siyo wakati wa ahadi za porojo. Ni wakati wa sera za kugusa maisha ya kila Mtanzania.
HAUNA AKILI YA KIUONGOZI
 
Back
Top Bottom