Nina mpango wa kugombea urais kupitia chama kimoja wapo Cha kisiasa na hii ndiyo agenda yangu kuu.

Nina mpango wa kugombea urais kupitia chama kimoja wapo Cha kisiasa na hii ndiyo agenda yangu kuu.

Uko sahihi wanatoa kama motisha watu wazae wakati Tanzania kunahangaikiwa uzazi wa mpango kwani kuzaa sio issue
Maisha kule ni ghali hiyo dollar mia wanatoa kama motisha nakumpunguzia mtu gharama na ndio maana kule unakuta watu wazima kabisa ila watoto ndo kwanza wadogo! na watoto wenyewe wawili!.. kule huzai bila kujipata hata kama serikali itakupa support ya hiyo dollar mia ila bado unamzigo wa gharama
 
Masuala ya child grant ni promotion kwa nchi zinazotaka kuongeza birthrate, Tz inapaswa inapaswa kuondoa icentives kwenye ishu za kuzaa ili kupunguza birthrate. All in all, kwa nchi zinazoendelea hoja ya child grant haitoshi kushinda uchaguzi. Kuna ishu za ajira, matumizi ya rasilimali, uhuru wa watu, viwanda, kilimo na biashara, muundo wa Serikali + Bunge, huko ndiko Watz wengi waliko.
ndo jamaa namuambia na haelewi...😅
 
Maisha kule ni ghali hiyo dollar mia wanatoa kama motisha nakumpunguzia mtu gharama na ndio maana kule unakuta watu wazima kabisa ila watoto ndo kwanza wadogo! na watoto wenyewe wawili!.. kule huzai bila kujipata hata kama serikali itakupa support ya hiyo dollar mia ila bado unamzigo wa gharama
Msumbiji ni developed country ama Argentina?
 
Huwezi ku-fix matatizo yaliyopo bila kujua chanzo chake na kurebisha. Hii habari ya kusema ''kikubwa serikali ifanye.....'' ni haitasaidia Tanzania hata siku moja kwani haya ni maneno ya siku nyingi. Umejiuliza ni kwa nini ''hivyo vikubwa'' ambavyo mnavisema kila siku havifanyiki? Kuongoza nchi kunataka clear plan na uwajibikaji wa hali ya juu na siyo huu ''ujanja ujanja'' wa kina Samia wa kutumia ghilba ili kushinda uchaguzi.
Hakuna ambae hajui chanzo cha matatizo tuliyonayo. Ili kuwa na clear lazima uzingatie changamoto kubwa za nchi na watu wake, ndio uandae mpango mahususi wa kuzitatua bila kujali ni serikali au sekta binafsi. Kuna changamoto ambazo jina lake ni Serikali nyingine majibu ni kushirikiana kati ya serikali na sekta binafsi na mengine ni ya wananchi wenyewe.
 
Sasa wewe umechagua changamoto chache sana na ukajaribu kuzifanyia quick fix. Hili ni tatizo na kosa ambalo CCM wamekuwa wanalirudia. Au pengine nisema hizo anazosema ni changamoto, ni matokeo ya tatizo na siyo tatizo lenyewe. Tubomoe nyumba na kujenga msingi mpya kwani nyumba hairekebishiki tena.
 
Back
Top Bottom