Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 5,503
- 15,858
Hapaa hakikisha wajue kilimo Cha kisasa wale waliopo sehemu yenye aridhi yenye rutuba na hakikisha wajue uvuvi wa kisasa na hakikisha Kila mtoto atakaye onyesha kipaji chake apelekwe Kwenye njia hyo na c kulazimishana kwenda kukariri panzi aliyechorwa ubaoniiπ€π€π€Kuhakikisha kila mtoto anaanza maisha na fursa sawa: Maendeleo ya taifa huanzia kwa mtoto.
sawa gentleman,Ndugu wananchi,
Nimesimama mbele yenu kama mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2025, nikiwa na ajenda kuu inayogusa maisha ya kila Mtanzania wa kawaida: CHILD GRANT kwa watoto wa kaya masikini umri miaka 0 mpaka 5
HOJA YANGU KUU:
Tutakapofanikiwa kuingia Ikulu, tutaanzisha mpango wa kitaifa wa Child Grant β msaada wa kifedha wa kila mwezi kwa wanawake maskini wenye watoto wachanga hadi umri wa mpaka miaka 5. Huu siyo msaada wa huruma, bali ni uwekezaji kwa vizazi vyetu.
Kwa nini Child Grant?
(1) Kupunguza vifo vya watoto wachanga: Wanawake wengi vijijini hawana uwezo wa kuhudumia watoto wao kwa lishe, afya na makazi bora. Grant hii itasaidia kuinua hali zao.
(2) Kuhakikisha kila mtoto anaanza maisha na fursa sawa: Maendeleo ya taifa huanzia kwa mtoto.
(3) Kuwainua wanawake kiuchumi: Grant hii itawasaidia kuanzisha shughuli ndogo ndogo za kujikimu.
(4) Ushahidi wa mafanikio upo: Nchi kama Afrika Kusini, Mozambique na Argentina tayari zinatoa Child Grant, na matokeo ni makubwa.
Mpango huu utafadhiliwa kupitia:
(1) Marekebisho ya bajeti ya matumizi yasiyo ya lazima serikalini.
(2) Ushirikiano na mashirika ya maendeleo ya kimataifa.
(3) Kodi maalum kwa bidhaa za anasa (luxury tax) β matajiri wachache wachangie mustakabali wa taifa.
Wananchi wenzangu, huu siyo wakati wa ahadi za porojo. Ni wakati wa sera za kugusa maisha ya kila Mtanzania.
Huyu anaweza kufeli mapema sana!, ama anaweza kuwa mkopaji mzuri mpaka mtalia..πHoja zako mfu
Hakuna mpango hata mmoja wa kuinua pato la taifa na pato la serikali wala uzalishaji ambacho ndicho chanzo kikuu cha pesa za bajeti
Umejaza matumizi matupu bila mapato
Wewe ni bwana matumizi tu
Hufai hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi
Mtoto kwanza ndiyo sera yetu kuu.Huyu anaweza kufeli mapema sana!, ama anaweza kuwa mkopaji mzuri mpaka mtalia..π
Sasahivi tunahitaji watu ambao hawatakuja kuongeza deni la taifa bali kulipunguza!, hivyo sera zinatakiwa ziwe za namna gani ataongeza pato ila yeye anaongeza matumizi!.
Wananchi ndiyo watakaoamua.We timiza Haki yako ya kikatiba ila ifikapo mwezi October tunaenda na Dkt Samia.
Mkuu Asante sana.sawa gentleman,
Hongera,
kuthubutu ni jambo muhimu sana ingawa ni haki ya kila mtanzania mwenye sifa na vigezo vya kikatiba kugombea na kuomba kuchaguliwa,
karibu ukutane na Mzee Rungwe Spunda wa CHAUMA mzee wa ubwabwa tuone wananchi watapenda kuchagua nini π
Mkuu muda wa kampeni Bado itategemea pia na ushauri wenu Nini kifanyike na wapi tuboreshe.Hapaa hakikisha wajue kilimo Cha kisasa wale waliopo sehemu yenye aridhi yenye rutuba na hakikisha wajue uvuvi wa kisasa na hakikisha Kila mtoto atakaye onyesha kipaji chake apelekwe Kwenye njia hyo na c kulazimishana kwenda kukariri panzi aliyechorwa ubaoniiπ€π€π€
TANGAZA CHAMA NIKUPEE KURA UKAJARIBU BAHATI YK MBELE YA WEZI CCMπ€
Kwa pesa zinazopatikana toka wapi wewe?Mtoto kwanza ndiyo sera yetu kuu.
Mh! unahakika hilo ndilo tunalohitaji kwasasa..?Mtoto kwanza ndiyo sera yetu kuu.
Jiunge chama tawala mkuuNdugu wananchi,
Nimesimama mbele yenu kama mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2025, nikiwa na ajenda kuu inayogusa maisha ya kila Mtanzania wa kawaida: CHILD GRANT kwa watoto wa kaya masikini umri miaka 0 mpaka 5
HOJA YANGU KUU:
Tutakapofanikiwa kuingia Ikulu, tutaanzisha mpango wa kitaifa wa Child Grant β msaada wa kifedha wa kila mwezi kwa wanawake maskini wenye watoto wachanga hadi umri wa mpaka miaka 5. Huu siyo msaada wa huruma, bali ni uwekezaji kwa vizazi vyetu.
Kwa nini Child Grant?
(1) Kupunguza vifo vya watoto wachanga: Wanawake wengi vijijini hawana uwezo wa kuhudumia watoto wao kwa lishe, afya na makazi bora. Grant hii itasaidia kuinua hali zao.
(2) Kuhakikisha kila mtoto anaanza maisha na fursa sawa: Maendeleo ya taifa huanzia kwa mtoto.
(3) Kuwainua wanawake kiuchumi: Grant hii itawasaidia kuanzisha shughuli ndogo ndogo za kujikimu.
(4) Ushahidi wa mafanikio upo: Nchi kama Afrika Kusini, Mozambique na Argentina tayari zinatoa Child Grant, na matokeo ni makubwa.
Mpango huu utafadhiliwa kupitia:
(1) Marekebisho ya bajeti ya matumizi yasiyo ya lazima serikalini.
(2) Ushirikiano na mashirika ya maendeleo ya kimataifa.
(3) Kodi maalum kwa bidhaa za anasa (luxury tax) β matajiri wachache wachangie mustakabali wa taifa.
Wananchi wenzangu, huu siyo wakati wa ahadi za porojo. Ni wakati wa sera za kugusa maisha ya kila Mtanzania.
Tena automaticallyMh! unahakika hilo ndilo tunalohitaji kwasasa..?
ukiweza kubadilisha uchumi wa wazazi basi umebadili hali za watoto pia!.
Huyu asijiunge chama chochote kwanza ajielimishe kwanza... anataka kutuendesha kama tupo Germany...πJiunge chama tawala mkuu
Mkuu maoni Yako yamezingatiwa, uzuri siasa siyo uadui.Jiunge chama tawala mkuu
Kajitafakari upya, kuna mengi yanahitajika kabla ya kufika huko.Ndugu wananchi,
Nimesimama mbele yenu kama mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2025, nikiwa na ajenda kuu inayogusa maisha ya kila Mtanzania wa kawaida: CHILD GRANT kwa watoto wa kaya masikini umri miaka 0 mpaka 5
HOJA YANGU KUU:
Tutakapofanikiwa kuingia Ikulu, tutaanzisha mpango wa kitaifa wa Child Grant β msaada wa kifedha wa kila mwezi kwa wanawake maskini wenye watoto wachanga hadi umri wa mpaka miaka 5. Huu siyo msaada wa huruma, bali ni uwekezaji kwa vizazi vyetu.
Kwa nini Child Grant?
(1) Kupunguza vifo vya watoto wachanga: Wanawake wengi vijijini hawana uwezo wa kuhudumia watoto wao kwa lishe, afya na makazi bora. Grant hii itasaidia kuinua hali zao.
(2) Kuhakikisha kila mtoto anaanza maisha na fursa sawa: Maendeleo ya taifa huanzia kwa mtoto.
(3) Kuwainua wanawake kiuchumi: Grant hii itawasaidia kuanzisha shughuli ndogo ndogo za kujikimu.
(4) Ushahidi wa mafanikio upo: Nchi kama Afrika Kusini, Mozambique na Argentina tayari zinatoa Child Grant, na matokeo ni makubwa.
Mpango huu utafadhiliwa kupitia:
(1) Marekebisho ya bajeti ya matumizi yasiyo ya lazima serikalini.
(2) Ushirikiano na mashirika ya maendeleo ya kimataifa.
(3) Kodi maalum kwa bidhaa za anasa (luxury tax) β matajiri wachache wachangie mustakabali wa taifa.
Wananchi wenzangu, huu siyo wakati wa ahadi za porojo. Ni wakati wa sera za kugusa maisha ya kila Mtanzania.
Mkuu nijielimishe kivipi sera inaeleweka na mitizamo ikitofautiana ndipo suluhu Bora zaidi hupatikana.Huyu asijiunge chama chochote kwanza ajielimishe kwanza... anataka kutuendesha kama tupo Germany...π