Nina mpenzi mpya ila mpaka mimi nimtafute

Bado mapambano yanaendelea. Huo ni uhuru wa bendera tu bado uhuru kamili!
 
Huyo hana mapenzi na wewe, anakupa matukio ili ujiongeze mwenyewe uachane naye. Soma alama za nyakati mkuu, usipo angalia ipo siku atakutolea uvivu tu na kukuambia ana matatizo, anataka pango la nyumba la milioni 6 ili tu akukimbize.
Kabsa kwasb uwa anapenda kulia lia shida
 
Nilidhani ni demu analalamika kumbe jamaa, aisee...
 
Au kwakuwa ni muajiriwa serikalin nn mie napiga issue za dukan ila nikiangalia kifedha naona kabsa namzid japo mie muuza duka
Hilo siyo tatito,shida ni kwamba na yeye ana mtu wake anayempenda sana, ishu inaweza kuwa si kipato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…