Nina msongo wa mawazo, maisha hayana maana kwangu, msaada wa mawazo

Kuwa na saa moja la kuomba kila siku PEKEE yako
 
Kutoa sadaka ni jambo jema lakini kuna hatari ya kutoa sadaka kama hongo.
Huyo jamaa alipokuambia kwamba aliinenea sadaka ungemuuliza imeandikwa wapi kwamba unapotoa sadaka unatakiwa uinenee? Yesu anasema "yoyote mtakayoyaomba katika sala mkiamini, mtapokea."(Mathayo 21:21-22). Hajasema yoyote mtakayonena wakati wa kutoa sadaka mtapewa. Kama huyo alitoa akafanikiwa huo sio ushahidi kwamba ukiinenea sadaka unapata unachokitaka. Mungu huwanyeshea mvua wema na waovu. Be careful, hizi ni nyakati za mwisho. Kuna mafundisho ya mashetani(1 Timotheo 4:1) na pia kuna manabii wa uongo wanaofanya ishara za kuwapoteza yamkini hata wateule(Mathayo 24:24).
 
Kunywa nyagi acha uboya
 
Nakazia ujumbe wako mkuu upo sahihi kbsa
 

Hahami Imani. Hahami Thehebu.
Anaenda kubadilisha mazingira ya kuelewa na kuamini neno la Mungu wake.
 
mwaka 2022 nilihudhuria mkutano wa mwamposa bukoba, baada ya hapo nilifanikiwa kuacha pombe, pia nilipata nafasi ya kwenda semina moja adhimu sana.

Hii akiiona ndugu yangu yangu kabisa min -me . Dah bas hatakubali twende kwenye haya makongamano.

NB
Kuna Ulevi.
Kuna Unywaji.

Na kuna utofaut wa hayo.
 
Tatizo kubwa la wakiristo mmefanya dini kuwa biashara utapeli na uchawi juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…