Nina msongo wa mawazo, maisha hayana maana kwangu, msaada wa mawazo

Unayachukia maisha kwa sababu hizo tu ukizoandika hapa au kuna nyingine umeficha?

Mm nauza na kugawa bure sumu za aina mbalimbali(muuzaji wa pembejeo za kilimo nipo Koromije)
 
Pole sana. Achana na wanaokukejeli. Kikubwa ni kuamini. Yale usiyoweza Yesu Kristo anaweza! Mpe yeye atakufanikisha. Kikubwa kabisa omba neema ya Mungu, muite na atakuitikia. Kwa sababu wewe unaamini basi tamka kwa imani Mungu njoo sasa kwa sababu Yesu Kristo alipokufa msalabani yote yalikwisha na ufukara madeni vyote viliisha na nguvu zote za kunifanikisha kila jambo liliamriwa hapo msalabani, mruhusu Yesu afufuke na wewe!
 
Kuweni makini kuna watu wanatafutwa hapa, ili watume fwedha kwa mchungaji
 
Acha kulegeza macho huyo mchungaji hatumtaki na tunaendelea na mbanga zetu na maisha yanaenda
 
So you have a job
You have a wife

You had a car
You had a business
You had the capital to start multiple businesses, though they failed.

Brother count your blessings. You have too much and you don't see it.

Tuliambiwa turidhike na chakula na cha kujifunika. Yet you had all these!

Were you better in any way than those who don't? Do you have less sins than them? Maybe you work harder than them? Or you're smarter than them? Or the Lord just loved you more?

Would you still worship the Lord without all these things? Would you still say he is good?
 
""nina miaka 14 tangu nihitimu shahada lkn sijafanikiw kupanda cheo kazini.""

Kwanini hili unaruhusu litokee??
Utumishi @ Dodoma HUPAJUI???

#YNWA
#YANGA_BINGWA
namaanisha kupanda wadhifa/mamlaka sehemu ya kazi.

yale madaraja ya kawaida sawa kbs.
 
npo gizani,
nahisi kuna nguvu mbaya inaniharibia,
What you Invision is what happen,kinywa Huwa kinaumba acha hizo,kwanza miradi iliyokufa yote ni general lesson,anza Tena kwa soft loan za saccos ( Mikopo ya dharula) miezi mitatu mitatu na usiwaze kufurahisha wapambe be of your own
 
kila leo ni kupoteza tu pesa na fursa

Wako watu hapa Wana wagonjwa kila siku mazoezi hospital na wengine wanapata shoti makazini na hawasemi,wengine wanalia waende nje ya nchi na hawasemi,wengine hawana wanaume wa kuwaoa na hawasemi.

Furahia life, make a simple circle ya watu wa kushare nao weakness za life,alafu Majaliwa aliwahi sema ajira sio utajiri.Ni kwa ajiri ya sustainability.

Imagine,Kadogosa katoka haieleweki kastaafu au la, Waislael mpaka wanagundua drip irrigation tayari walishateseka Miaka kibao.

Wazungu mpaka wanakuja kuigundua Afrika tayari.majahazi kibao yashapinduka baharini huko zamani za kale.
Hiyo slave trade ilienda kiugumu kupambana na akina chief Mungungu ilikuwa sio much simple.Kila parten ya maisha inaanzia kwa wazazi na ancestors.

Tujitahidi kufanya mabadiriko kwa step maisha ya Mali sii ya wote,wengine lazima tuwe spectators.

Tuliza kichwa anza Tena na Tena mpaka ifike utakapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…