Nina mtaji wa laki nne na nusu, naombeni ushauri nifaye nini?

Nilifanya biashara ya kuuza U-Fresh kwa kununua carton mbili zilikuwa zinauza 4,500 nadhani kama sijasahau kwa carton. Nauza moja mia mbili ikiwa imeganda zilikuwa zinapendwa sana mtaani.
Biashara hata kwa buku kumi unafanya.
Daaah kuna watu mna utani na biashara seriously
 
Nilifanya biashara ya kuuza U-Fresh kwa kununua carton mbili zilikuwa zinauza 4,500 nadhani kama sijasahau kwa carton. Nauza moja mia mbili ikiwa imeganda zilikuwa zinapendwa sana mtaani.
Biashara hata kwa buku kumi unafanya.
Ni kweli sema ukitaka faida unatengeneza mwenyewe .ila watoto wa shule wanazipenda kweli.ilakwenye caton faida haizidi 1500
 
Pesa ndefu hiyo unaweza toboa vizuri tu ukiamini unachokifanya.
Tengeneza karanga na kuzifunga kwenye vifuko then pita madukani na kuziuza kwa bei ya jumla.
Au njoo huku Dar ufanye biashara ya kuuza matunda- ndizi mbivu, parachichi, machungwa, matango, mananasi, mapapai na matikiti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…