ππππππππUmenikumbusha mbali sana hii biashara ione kwa mwenzako nilimuweka Dogo muha mara kuku na mishkak inabaki hadi ina chacha, gas inaisha kila wiki faida inakuwa ya kununulia gas, mara kodi.
Nikakuta jiko na kabati nmerudisha geto nikaja kuyauza kwa hasara.
Ila ajaribu aone
Kagera afanye biashara ya Macover ya simu na protectorTafuta sehemu nzuri centre
Anza kuwekea watu macover ya simu na protector
Protector za kawaida jumla ni sh mia.tano
Mteja mmoja bei chini Sana utamuwekea kwa elfu 5.
Cover nazo unatafuta za Mia nane jumla .utawauzia elfu 5
Kwa ushauri zaidi nicheki saa 5 usiku nikiwa free.hapa Niko busy
Kabisa Na mind you mimi niliifungua pale Mabibo mwisho kuna population lakini ilinishinda.ππππππππ
Kuna mtu nilimfungulia hiyo biadhara, kweli isikie tu kwa mtu, sasa hana chochote na kodi anadaiwa ananitegemea mimi wakati na mimi sina kitu
Kwaiyo kagera unawaonaje?Kagera afanye biashara ya Macover ya simu na protector
Ushaur mwingine tuangaliage
Biashara ina mambo mengi sana, mimi nilimfungulia mbele kidogo ya kibozone, dadeki mwanzoni alianza vizuri na faida alikuwa anaiona ila baada ya muda kashindwa na kafunga anasubiri nimpe mtaji tena wakati sina kitu kwa sasaKabisa Na mind you mimi niliifungua pale Mabibo mwisho kuna population lakini ilinishinda.
Ila wengine wanauza tu
Hata usijali mkuu, nathamini wazo lako.Mi sijaja kutania hapa mkuu
Laki 4 inatosha sana, ubaya tu ni kua yeye hana idea yoyote ndo tabu inaanzia hapo...Blaza mi nina idea kinoma NOMA..
Na nachosema nina uhakika nacho..
Unaweza ukachukulia poa ila mi sina mengi mpeni hilo wazo afanye mi nipo hapa...
Hauwezi kuelewa kabisa bro.....Ingekua rahis hivyo walimu si wangeshatoboa maisha mana ndo biashara yao
π€π€Wauza mifuko masokoni wana mtaji gani wale?? Wauza maji , wauza matunda , wauza alkasusu mitaani humo wana mtaji kiasi gani??
Mtaji afya, commitment na akili tu.
πππ kudaaadeki.....Milioni 2 au 1.5
Ndo nakupanga hvo..πππ kudaaadeki.....
Daaah bro tuendelee tu kutafuta mishangazi na mimjomba πΉNdo nakupanga hvo..
Ukiwa na malengo ya kitu unachotaka kufanya uwezi pata kielea kidgo ukakurupukia biashara utazingua tuu...
Au utatumia mda mrefu ku pambana mpaka kufikia hatua fulani.
Wengi wanaelezea biashara in simple way na kwa bahati bahati tu...
Nyie mnataka mwenzenu aingie loss et laki nne biashara daaah
Mbona unakata tamaa mapema hvo ππππππDaaah bro tuendelee tu kutafuta mishangazi na mimjomba πΉ
Tutafute mishangazi na mimjomba tu ituwezeshe πΉMbona unakata tamaa mapema hvo ππππππ
Tujadili uchumi wa kati kwa faida ya wote
Mkuu jamaa ameomba ushauri wa biashara ya laki4 na nusu, sasa mbona wewe unampa wazo la mtaji wa elfu 35.Kiongozi kwanza pole.
mimi nakushauri kwamba cha kwanza kamwe usitumie hela yako yote kwenye kufungua biashara.
Anzisha biashara yenye kutumia mtaji mdogo kabisa na ambayo haitakusumbua hata kidogo ili kuweza kuhifadhi kiasi kingine cha pesa.
Tumia hela kidogo sana kiasi kisichozidi elfu 35,000 fungua biashara ya kukaanga chapati.
Mtaji Mkuu:
Huu ni mtaji usiorudisha faida. Ni msingi wa biashara yako.
Hotpot-10,000
Kaangio ya chapati-4,000
Sukumio la chapati-7,000
Jiko la mkaa-4,000
Baking Powder-1,000
Chumvi-1,000
Tafuta stuli hapo nyimbani.
Jumla kuu-27,000
Mtaji endeshi:
Huu ni mtaji unaokurudishia faida. Hii itaendesha biashara yako kila siku na ndio wenye kukupa faida.
Ngano kilo 1-2,000
Mkaa-500
Mafuta-1000
Jumla kuu-3500/=
Maelekezo:
a. Katika kilo moja ya chapati toa chapati 20 za chapati na kishauza chapati 2 kwa sh. 500(20Γ·2Γ500)=5,000 ambayo ni mauzo yote kwa kilo moja.
b. Chukua 5,000 ya mauzo -3,500 ya mtaji = utabakiwa na 1,500 kama faida.
c. Amka asubuhi na mapema sana saa 12 hakikisha unakaanga chapati zako mbele ya unapoishi hapo barabaran wanapopita watu.
d. Hakikisha chapati zako ni nzuri, tamu na yenye kuvutia.
e. Hii biashara inafanywa na jinsia zote. So usiome Soo kuwa wewe ni mwanaume.
Matokeo:
a. Ukifanya vema kwa siku nakuhakikishia kilo 2 za chapati kuisha ni uhakika in which utapata faida ya 3,000 kwa siku.
b. Ukifanya hivo kwa 26 katika mwezi utakuwa na faida ya Tsh. 78,000/=
e. Endelea hivyo hivyo mpka uweze kuuza kilo 4 per day. Hii itategemea ubora wa bidhaa yako, location ya biashara na customer service yako kwa mtaji.
Asante.
Weee kuna siku ulinikunja shart nakujua properly sitaki kujichanganya kukupa babu yangu ππππTutafute mishangazi na mimjomba tu ituwezeshe πΉ
Ntumie namba ya babu yako nkutumie ya bibi yangu tujikwamue.
Arsenal anacheza na United Leo. Weka yote mpe arsenal, itakuwa almost 1 Million, then come back for the adviceWakuu nimefukuzwa kazi
Niko na mtaji wa Laki nne na nusu (450,000/-) naombeni ushauri nifaye nini na hiyo hela
Sema kubeti sio.kazi ππππArsenal anacheza na United Leo. Weka yote mpe arsenal, itakuwa almost 1 Million, then come back for the advice