Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
- Thread starter
-
- #61
Haijalishi, ishu ni ID fake... Mi nataka mtu real.
Okey, nitamtuma afisa wa takukulu akuletee
Tafuta sasa, ila mshirikishe Mungu kuna The secretary , Kipipi na Suprise wote hao bado una hangaika
Namtuma Beki3 wa jirani anakuja fata stendi
Shh... Mi thihangaiki.... Nasoma mchezo tu
Soma tu mchezo! Wenzako tunaingia kuyavaa majukumu
Habari zenu...kila la kheri!!! ngoja niandae kitani safi ya urujuani, pilipili, ndimu pamoja na ndizi mbivu kwa ajili ya huu mshike mshike...
Hapo tu kwenye red...
My Rich woman twende tukalale kwanza kesho 2tarudi.
Habari zenu...kila la kheri!!! ngoja niandae kitani safi ya urujuani, pilipili, ndimu pamoja na ndizi mbivu kwa ajili ya huu mshike mshike...
njema kwanza nakusakasaka hata sikuoni....anyways jiandae tu wewe tena ni muhimu uwepo
Dah kweli siku zinaenda. . . . mpaka na wewe wa juzi tu umeoa??? loh . . .harereeee harereee!!!!!My Rich woman twende tukalale kwanza kesho 2tarudi.
Dah kweli siku zinaenda. . . . mpaka na wewe wa juzi tu umeoa??? loh . . .harereeee harereee!!!!!
Oooh! moyo mweupe sasa Rich woman
Sijaona maswali ya "yes" na "no" hapo! hehehUnashangilia za watu tuu Kipipi ... Sema yes na yeye atushangilie bana...
Sijaona maswali ya "yes" na "no" hapo! heheh
Kwani hilo darasa la jana lilikuwa linasemaje??umeshaanza pagawisha medula yangu tena... Wataka nirudie darasa la jana tena...!!!
njema kwanza nakusakasaka hata sikuoni....anyways jiandae tu wewe tena ni muhimu uwepo