Mungu ni mwema sana noahism, ni jambo jema na la kumshukuru
Mungu huku tukizidi kuomba baraka zake Rich woman awe mke mwema kwako, naye mama mkwe shosti gfsonwin ametoa baraka zake!
Kuna mnuso gani tena jamani? Nna hamu na nguo mpya!
Mungu ni mwema sana noahism, ni jambo jema na la kumshukuru
Mungu huku tukizidi kuomba baraka zake Rich woman awe mke mwema kwako, naye mama mkwe shosti gfsonwin ametoa baraka zake!
umeshaanza pagawisha medula yangu tena... Wataka nirudie darasa la jana tena...!!!
asante sana best yangu Ruttashobolwa you are missed here....
Umeamka salama my Rich woman
me mzima.. Mbona unabadili hivyo
Ila wewe si ndio founder wa C.C.B kwanini unataka kimbia huko?
me mzima.. Mbona unabadili hivyo