Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Safi kijana, mwenzio katengeneza movie 400 za hovyo! Hope wewe utakuwa director wa movies nzuri.Tangu uzi uanze ni wewe umeniuliza hvi..
Mkuu natamani kuwa DIRECTOR wa movies hapa afrika mashariki na kati.
Director mkubwa ambaye tabadilisha soko la bongowood...
Nataka nifanye makubwa kwenye hii tasnia ya film tanzania na afrika mashariki kwa ujumla
Uroda wa usiku unanifanya nachoka mnoo bestiKwanini unalala sana usiku wewe...?
baby kwanin unanisusa kiasi hichoHey baby
Baby n mahangaiko ya kimaisha tuu ila muda wote upo akilini mwangu babebaby kwanin unanisusa kiasi hicho
Najua ulichukia kisa sikukupa mbunye ila ntakuja tu dar my nikupe sawa baby wangu mbaga 😍😍Baby n mahangaiko ya kimaisha tuu ila muda wote upo akilini mwangu babe
Ndio nna hasira na ww kisa kuninyima mbunye na naitaka niipigeNajua ulichukia kisa sikukupa mbunye ila ntakuja tu dar my nikupe sawa baby wangu mbaga 😍😍
Nakupa mme wanguNdio nna hasira na ww kisa kuninyima mbunye na naitaka niipige
Japo sio lengo langu mybe niwe na deal na mashangaziUtakula sana mbunye za waigizaji 😂
Kwa kuswahili"..The world doesn't respond to wishes.."
Napoleon Hill
Mkuu mimi nataka nifanye mambo mzuri hapa nchniSafi kijana, mwenzio katengeneza movie 400 za hovyo! Hope wewe utakuwa director wa movies nzuri.
Madam hili jina hali reflect yaliyomo..Unajiita Poor Brain how it comes kuwa rich brain ?
Filamu za Kibongo.Utuletee filamu zenye maana sio haya maigizo yetu ya chumbani sebuleni.
Filamu zinazochambua mada ngumu.
Ndo hapo sasa.Filamu za Kibongo.
Chumbani, Beach, Supermarket ndio location zake sijui huyu Poor Brain ana idea gani mpya ?
Jina mara zote zinatoa image yako, badili jina utafanikiwa, I assure you.Madam hili jina hali reflect yaliyomo..
Ila nina ndoto madam maombi yako nayahitaji hapa
Inshaallah mkuu wangu mambo najua yatatimia tuuu...Poor Brain , unaambiwa Believe in yourself there is no limit to what You can achieve. Halafu Mariah Carey aliimba akasema there is a miracle when You believe. Kila la heri mdogo wangu la msingi kumbuka kuna vikwazo na magumu mengi lakini usikate tamaa maana bila magumu na vikwazo hauwezi uka grow.
Nothing comes easy, inahitahi commitment ya hali ya juu sana.
Inshallaah utafanikiwa tu.