Dennis R Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 267
- 372
- Thread starter
-
- #101
Tuunde chama chetu. Mimi nina miaka 33 niwe tu waziri wa viwanda na biashara maana nawaza kama wewe tuNina miaka 32, elimu bachelor of science economics population and development chuo mzumbe, kazi nayojishughulisha kwa sasa mfanyabiashara
\
Kwasahivi sina mpango wa kuunda chama au kujiunga na chama chochote kileTuunde chama chetu. Mimi nina miaka 33 niwe tu waziri wa viwanda na biashara maana nawaza kama wewe tu
Wewe ni mwanajeshi ?Katiba naijua vizuri tu ila jua mimi ntakua rais
Nchi sio familia wala haina mahusiano ya kuoa wala kuolewa.Swali la msingi,umeoa/kuolewa? Je umeimudu familia Yako? Kama familia huimudu,nchi utakufa?
Hapana sio mwanajeshi na sina husiano wowote na jeshiWewe ni mwanajeshi ?
Unataka kujenga viwanda 20,000 wilaya ya Mwanga Kilimanjaro ni viwanda vya kusindika mawe au vumbi?Nina miaka 32, elimu bachelor of science economics population and development chuo mzumbe, kazi nayojishughulisha kwa sasa mfanyabiashara
Ahsante kwa kushirikiAlnacha
Ahsante kwa kushirikiUnataka kujenga viwanda 20,000 wilaya ya Mwanga Kilimanjaro ni viwanda vya kusindika mawe au vumbi?
Ahsante kwa kushirikiKipimo Cha kumudu uongozi ni kua na familia na kuweza kuuicontrol.... Ukishindwa control familia hufai hata kua Mwenyekitii wa mtaa.
UnazinguaHapana sio mwanajeshi na sina husiano wowote na jeshi
Mimi sitakua Rais kwa njia ya mapinduzi au any rebellion bali nitakua Rais kwa njia ya amani 100 it sound awkward bali itatimiaUnazingua
Mimi nina ndoto kama ulizozonazo. Lkn kwa uoni wangu vinahitaji kuongezewa nyama.Moja ya mambo ntakayofanya ni kuhakikisha informal sector zinaondoka kwa serikali kuwezesha ujenzi wa viwanda vingi na kuwaajiri watu ambao walikua wanajihusisha na informal sector na itawezesha watu wengi kuwa na account za bank sababu mishahara yao watukua wanalipwa kupitia account za bank
Faida za watu wengi kuwa na bank account
- Ku-facilitate cash-less economy
- Kukusanya kodi kirahisi
- Kupambana na utakatishaji fedha