Dennis R Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 267
- 372
- Thread starter
-
- #121
Njia yangu ni tofauti na njia iliyozoeleka sitapitia mfumo uliopo ila ntakua Rais wa Tanzania sahivi ni ngumu kunielewa ila baadae utanielewaMimi nina ndoto kama ulizozonazo. Lkn kwa uoni wangu vinahitaji kuongezewa nyama.
Kwasasa nina miaka 50.
Tuungane, tutafute nafasi hizo kupitia vyama vilivyopo au tuanzishe kipya.
kama kipya una nguvu gani ya kupata wanachama 200 kwa mikoa 10 kwa wastani. Unai uwezo wa kupata walau kwa mikoa 5
Kisochoeleza kikaelewa ni miujiza pekee.Njia yangu ni tofauti na njia iliyozoeleka sitapitia mfumo uliopo ila ntakua Rais wa Tanzania sahivi ni ngumu kunielewa ila baadae utanielewa
Mabadiliko nchi hii hayatapitia mfumo uliopo yatakuja kwa mfumo mwingine kabisa
Mimi siamini kwenye hiyo approach yakoKisochoeleza kikaelewa ni miujiza pekee.
Nataraji sasa unaelewa kuwa nabii na mtume mpya sawa na imani yako
Mimi wazo la kuwa Rais ni la mda sana zaidi hata ya miaka 20 iliyopita ni kitu ambacho kimekua kikinisumbua au kunikereketa yaani kilikua kinanipa curiosity kubwa sanaKisochoeleza kikaelewa ni miujiza pekee.
Nataraji sasa unaelewa kuwa nabii na mtume mpya sawa na imani yako
Kama majority ya watanzania wanafanya kazi za bodaboda na machinga kwanini unaona kazi ya laki 3 kwa mwezi kama kianzio ni ndogo sio ndogoNi wazo na ndoto nzuri ila kumbuka wanaomaliza elimu ya juu hawaakisi kuja kuajiliwa kwa kazi za vibarua. Inahitajika skills.
Pili hata ukijaribu kuwapa wazawa/ familia kumiliki viwanda, wengi hawana mentality ya coorperate.
Ni vyema huo ujenzi wa viwanda uwe na muendelelezo. Na ungeainisha ni viwanda vya aina ipi na ukubwa wake.
Kuhusu makazi. Watu wa mipango miji wajipange kweli. Na fedha za kununulia viwanja zitumike ipasavyo wanajua kuweka beacons tu ila hawachongi barabara wala kupeleka maji. Miradi ya viwanja ingeenda sambamba na uwekaji wa miundombinu. Barabara zihusishe sehemu za watembea miguu na baiskeli. Viwanja vya mazoezi.
Tuanze matumizi ya pave za mawe na kokoto badala kusubiri lami za uarabuni.
Mtanzania yeyote ana-haki ya kugombea uraisKama magufuli aliweza kua rais,hii nchi hakuna anayeshindwa
Ahsante kwa kushirikiKWELI AFYA YA AKILI NI TATIZO MTAMBUKA