Dennis R Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 267
- 372
- Thread starter
-
- #141
Wewe huna tofauti na CCM. Tena unaweza kuwa mbaya kuliko CCM. Tatizo la Tanzania litatuliwa na kuweka mfumo sahihi wa kuongoza nchi kwanza. I mean unatakiwa kufumua mfumo wote na kuanza kusuka upya ukizingatia kuwa nchi yetu ni kubwa sana na haiwezi kuendeshwa kutoka sehemu moja. Na pia uwe na mfumo mzuri wa kupata viongozi na kuwawajibisha.Nina miaka 32, elimu bachelor of science economics population and development chuo mzumbe, kwenye uzi huu ntaelezea maono, mipango na sera niliyonayo juu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mfumo imara alafu unakua ombaombaWewe huna tofauti na CCM. Tena unaweza kuwa mbaya kuliko CCM. Tatizo la Tanzania litatuliwa na kuweka mfumo sahihi wa kuongoza nchi kwanza. I mean unatakiwa kufumua mfumo wote na kuanza kusuka upya ukizingatia kuwa nchi yetu ni kubwa sana na haiwezi kuendeshwa kutoka sehemu moja. Na pia uwe na mfumo mzuri wa kupata viongozi na kuwawajibisha.
Hayo mapato hutaweza kuyapata na kuya-hold kama mfumo ni mbovu. Nyumba nzuri hujengwa kwenye msingi imara. Kwani kusuka mfumo inachukuwa muda gani? Miezi sita umeshasuka na kazi inaanza. Hivi hujui moja ya udhaifu mkubwa wa mfumo wa sasa ni kuwa kudhibiti mapato na matumizi inakuwa ngumu sana?Mfumo imara alafu unakua ombaomba
Kinaanza mfumo imara wa mapato ili nchi iache utegemezi wa mikopo, misaada na tozo zisizokua na kichwa na miguu
Na hakuna sehemu nimesema kwamba sitaweka mifumo imara
Nikisaidie kuthibiti mapato hapa Tanzania sio ngumu hakuna utayari na nia ya dhati ya kufanya hivyoHayo mapato hutaweza kuyapata na kuya-hold kama mfumo ni mbovu. Nyumba nzuri hujengwa kwenye msingi imara. Kwani kusuka mfumo inachukuwa muda gani? Miezi sita umeshasuka na kazi inaanza. Hivi hujui moja ya udhaifu mkubwa wa mfumo wa sasa ni kuwa kudhibiti mapato na matumizi inakuwa ngumu sana?
Ahsante kwa kushirikiUshaamka mkuu
Ahsante kwa kushirikiDuniani siku zote unacho kitaka huwezi kukipata...Dunia inakupa unacho stahili sio unacho kitaka...!
Sio kweliAhadi kama za mwenda zake
Ni ngumu kwa sababu hata wewe rais uwe mkali namna gani, chini wanaunda mitandao kwa sababu wanakuogopa wewe tu uliye Dar. Ukiwapa wananchi nguvu ya kuchagua na kudhibiti viongozi wao locally, hali ya udhibiti inakuwa nzuri zaidi.Nikisaidie kuthibiti mapato hapa Tanzania sio ngumu hakuna utayari na nia ya dhati ya kufanya hivyo
Kazi ngumu sana ni kuifanya nchi iendelee kwa kutegemea vyanzo vyake vya mapato pasipo kutegemea misaada, na mikopo ya kausha damu na yenye masharti kandamizi
Nimeongelea upande tu wa uchumi sitaki kuongelea upande wa uongozi kwa sababu nazojua ila baadae ntaongeleaNi ngumu kwa sababu hata wewe rais uwe mkali namna gani, chini wanaunda mitandao kwa sababu wanakuogopa wewe tu uliye Dar. Ukiwapa wananchi nguvu ya kuchagua na kudhibiti viongozi wao locally, hali ya udhibiti inakuwa nzuri zaidi.
Uchumi mzuri = uongozi mzuri.Nimeongelea upande tu wa uchumi sitaki kuongelea upande wa uongozi kwa sababu nazojua ila baadae ntaongelea
Ni mbinu (strategy)tu
Siyo kweli, Uongozi mzuri ndiyo utaleta uchumi mzuri not vice versaUchumi mzuri = uongozi mzuri.
Na kinachokufanya udhani kuwa formula yangu haiendani statement yako ni nini? Kama a=b, haiwezi kuwa pia b=a?Siyo kweli, Uongozi mzuri ndiyo utaleta uchumi mzuri not vice versa
Nchi zetu ukiwa na uongozi mzuri huku nchi ikiwa inategemea misaada na mikopo ili i-finance budget yake ni rahisi sana kwa hiyo nchi viongozi kuingia mikataba ya hovyo kwa mwavuli wa kuvutia waekezajjUchumi mzuri = uongozi mzuri.