Dennis R Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 267
- 372
- Thread starter
-
- #161
Nina miaka 32, elimu bachelor of science economics population and development chuo mzumbe, kwenye uzi huu ntaelezea maono, mipango na sera niliyonayo juu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ukiona mtu anataka vyeo vya kisiasa jua anataka vitu vya bure bure bila kujishughulisha, ungemshauri aanzishe kiwanda chake iwe mfano.Nchi zote zilizoendelea wala hazikuedekezwa na wanasiasa.Dogo, kwa hiyo utasubiri mpaka utimize hiyo ndoto yako ya kuwa rais ndipo kisha uanze tena kutaka kutimiza ndoto zako zingine za mipango ya maendeleo pamoja na vyanzo vipya vya kodi!
Kwa umri wako huo wa miaka 32 kwa nini usianze sasa kujitolea katika kazi za jamii ikiweno kugombea uongozi katika ngazi za chini ili uanze mapema kujipambanua na kujidhihirisha umahiri wako katika jukwaa la siasa, ili kuwajengea watu imani kuwa una uwezo, mtazano mbadala, maono mapya na chanya yaendanayo na matakwa ya nyakati, vilevile pamoja kichocheo cha uwakala wa mabadiko ya tabia hasa kwa makundi ya vijana wa rika lako!?
Bado mtoto ukikua utaelewa na kujiona mjinga na ujinga wako utauona waziWatu wengi wananiuliza unawezaje kugombea na wakati una miaka 32 huku katiba ikitaka mtu awe na miaka 40, na wengine wanasema nina ndoto za alinacha
Jibu ni kwamba hii movement ina-malengo ya mda mrefu nikimaanisha itachukua mda ili itimie sio jambo la leo au kesho na mimi sina uhusiano wowote na chama cha siasa
Ahsante sana siku njemaBado mtoto ukikua utaelewa na kujiona mjinga na ujinga wako utauona wazi
Ahsante kwa maoni yakoDogo kwa umri wako inafaa ukawa na kiwanda chako ulichokibuni mwenyewe, hayo macopy and paste uliyotuwekea yalishashindikana kwa waliokutangulia, fikiria vitu vinavyoweza kukusaidia vinginevyo tutaona hizo ni bangi tu.
Kwa sasa una 32..siku ukifika 40 ...hiyo mipango ....itakuwa -au+Nina miaka 32, elimu bachelor of science economics population and development chuo mzumbe, kwenye uzi huu ntaelezea maono, mipango na sera niliyonayo juu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Utainua vipi vyanzo yamakusanyo ya kodi,na je hii sii wale waliolifikisha taifa hapa mnatafuta mawazo ya jinsi ya kujinusuru na hasira za raia wa hanga wa sera mfu zilizokwisha zikwa ila zinajinadi kuwa hai ili kuwalaghai walalahoi wa taifa hili ili wote wazikwe na mbaki hilo kundi nyonyaji kutawala wenyewe.?Na na kama sio ipi mpango wako wa kubabiliana na sheria mbovu zenye kuhakikisha maslahi ya walio refusha kamba za kuwapatia mlo?Nina miaka 32, elimu bachelor of science economics population and development chuo mzumbe, kwenye uzi huu ntaelezea maono, mipango na sera niliyonayo juu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
]
Bila shaka ni wale wale wanapima upepo kama watatoboa au watamwagwa mbilinge linalokuja🤸♂️🤸♂️🤸♂️Unataka kuwa rais kupitia chama gani?
Niko tayari kwa kukabiliana nao kwa akili na sio nguvu na lazima niwashinde sababu situmii nguvu bali ni akiliUtainua vipi vyanzo yamakusanyo ya kodi,na je hii sii wale waliolifikisha taifa hapa mnatafuta mawazo ya jinsi ya kujinusuru na hasira za raia wa hanga wa sera mfu zilizokwisha zikwa ila zinajinadi kuwa hai ili kuwalaghai walalahoi wa taifa hili ili wote wazikwe na mbaki hilo kundi nyonyaji kutawala wenyewe.?Na na kama sio ipi mpango wako wa kubabiliana na sheria mbovu zenye kuhakikisha maslahi ya walio refusha kamba za kuwapatia mlo?.Je fitna za siasa zetu za kiafrika na wanufaika na wezi wakutoka nje kwenye rasilimali zetu,umejipangaje kuweza kukabiliana nao kabla ya kuikata mirija yao ili uweze kuota ndoto yako hiyo?.Je vipi mtazamo wako kuhusu katiba mpya?je yapi maoni yako kuhusu mfumo wetu wa siasa kuanzia demokrasia tunayoinadi hata mfumo wetu wa kutunga sheria na yapi maoni na maono yako kuhusu mfumo wa utoaji haki?
Wenyewe wanatumia vyote nguvu,akili fitna na mlungula vile vile ama kwako ama kwa gange linalo kuzunguka ama litakalo kuzunguka na je vipi kuhusu hoja zingine?Niko tayari kwa kukabiliana nao kwa akili na sio nguvu na lazima niwashinde sababu situmii nguvu bali ni akili
Ukiwa mwoga sana kuna mambo mengi hutaweza kufanyaWenyewe wanatumia vyote nguvu,akili fitna na mlungula vile vile ama kwako ama kwa gange linalo kuzunguka ama litakalo kuzunguka na je vipi kuhusu hoja zingine?
Wajasiri sana nao huwa wanavurunda haina mfano😅Ukiwa mwoga sana kuna mambo mengi hutaweza kufanya
Fahamu mambo mengi kwenye maisha ni magumu marais ni machache
Uongo wamapema asubuhi kabla hapajakucha,ila hujasema kama mabomba yatatoa maziwa🤣Baada ya kuboresha vituo vya afya na shule za msingi na serekali kinachofuata ni kupiga lami kwenye mitaa na pavement kwenye maeneo ya makazi ya watu ili kusiwe na vumbi