Nina nia ya kuwa Rais wa Tanzania

Nina nia ya kuwa Rais wa Tanzania

Kama una umri wa miaka 45+ ,ni mwanachama WA CCM, una Degree tatu ( sio za kupewa), ni Raia wa Tanzania bara ,karibu nafasi Iko wazi 2025.
 
Kama una umri wa miaka 45+ ,ni mwanachama WA CCM, una Degree tatu ( sio za kupewa), ni Raia wa Tanzania bara ,karibu nafasi Iko wazi 2025.
Hao wenye degree tatu wameisaidia nin nchi baada ya miaka 60+ ya uhuru huku nchi ikiwa na umaskini mkubwa
 
Another fresh from school ideas kubwa ila impractical dream big hongera kwa udhubutu
 
Another fresh from school ideas kubwa ila impractical dream big hongera kwa udhubutu
Kila kitu ni impractical in-fact kwenye maisha hakuna kitu kirahisi na sio kazi rahis kuitoa nchi kwenye umaskini ndo maana mpaka leo Tanzania ni nchi maskini

Maisha ni choice ukiwa unaamini kila jambo ni impractical utabaki hivyo hivyo miaka nenda rudi na hakuna jambo rahisi
 
Kuna point unapaswa kuambiwa ukweli kwamba
1. Huwezi kuwa rais wa tz nje mfumo wa vyama vya siasi
2. Huwezi wekeza pato 70% kwenye viwanda
3. Huwezi kua na viwanda huku huna ama una wataalamu watalaamu wachache
4. hiyo rawa material kuitoa nje uichakate then uuze kwa bei ya chini ni biashara kichaa
5. Kutengeneza chip ni uongo
6. Kufuta wilaya ni kutesa wananchi wako kupata huduma

kama ulikua unaandika eassy points unazo otherwise amka tujenge nchi
 
Kuna point unapaswa kuambiwa ukweli kwamba
1. Huwezi kuwa rais wa tz nje mfumo wa vyama vya siasi
2. Huwezi wekeza pato 70% kwenye viwanda
3. Huwezi kua na viwanda huku huna ama una wataalamu watalaamu wachache
4. hiyo rawa material kuitoa nje uichakate then uuze kwa bei ya chini ni biashara kichaa
5. Kutengeneza chip ni uongo
6. Kufuta wilaya ni kutesa wananchi wako kupata huduma

kama ulikua unaandika eassy points unazo otherwise amka tujenge nchi
Maskini waafrika wanaamini kila kitu hawawezi alafu mda huo huo unasema tujenge nchi siwezi jenga nchi na mtu anayeamini kila kitu hawezi
Unasafari ndefu sana kifikra
 
Faida ya viwanda vya kimkakati
  1. Kuongeza kodi ya moja kwa moja kwa serekali
  2. Bidhaa kuzalishwa from sratch mfano magari ya aina yote yatatengenezwa kutoka atua ya awali, pia tv, refrigerator, smartphone, ac, n.k vitazalishwa Tanzania from sratch na kwa wingi na kuuzwa kwa bei ya chini sana
 
FACTORIESCAPACITY
Large Gold refinery in east Africa-Mahali Geita mjiniProducts;- 24 carat pure gold
Quantity;- 1,000,000 tonnes bullion of gold


Smelting and refining
  • Cheapest in eastern africa
Large Pig iron smelter in Africa- Morogoro mjiniProduct- pig iron
Quantity;- 1,500,000 of green pig iron-

Uses
  • Steel making
  • Alloy making
  • Foundry
  • in automotive castings
  • Iron based castings
Price of pig iron
  • Cheapest in eastern africa
Large Aluminium smelter in Africa- Mbeya mjiniProduct;- aluminium coil sheet and coil wire, aluminium in re-melt ingot, billet, slab ingot, and liquid metal
Quantity
;-500,000 tonnes per year

Uses
  • Electrical cables
  • Cooking utensils
  • Food packaging
  • Beer kegs
  • Heat exchangers
Price of aluminium as a raw material
  • Cheapest in eastern africa
Large Copper smelter in Africa- Sumbawanga mjiniProducts; Copper wire coil, ETP and oxygen-free copper bus bars, profiles, strips, sheets/tapes, alloys, and magnet wires
Quantity; 1,000,000 tonnes per annum


Price of copper as a raw material
  • Cheapest in eastern africa
Large Spinning- shinyanga mjiniProduct;- Natural and artificial Yarn
Capacity;- 728,000 spinner,
Quantity ;-120 tonne per day

Uses
  • To make all type of fabrics
Price of yarn as a raw material
  • Cheapest in eastern africa
Large Semiconductor fabrication in Africa- Moshi mjiniProduct;- silicon wafer
Quantity;- 1,000,000 tons

Uses
  • Transistors
  • Circuit boards
  • Computer chips
  • Bank operations
  • Transportation
  • Communications
  • Medical
  • Security networks
  • Preservation of the global environment.
Price of wafer as a raw material
  • Cheapest in eastern africa
Large Oil refinery in East Africa- Tanga mjiniQuantity;- 600,000 barrel per day
Products;-
  • Gasoline
  • Diese
  • Kerosene
  • Jet Fuel
  • Heating Oil
  • Liquefied Petroleum Gas (LPG)
  • Asphalt
  • Petrochemical raw materials
Price
  • Cheapest in eastern africa
Large pure glass melting furnance plant- SongeaProduct;- Fused silica, fused quartz, and quartz glass
Quantity;- 20,000 tonnes of fused silica in 24 hours

Uses
  • Optical and optoelectronics devices,
  • Microwave
  • Dialectric materials
  • Refractory materials.
  • Commercial glass
  • Lighting systems
  • Chemical apparatuses
Price of pure glass as a raw material
  • Cheapest in eastern africa
Large petrochemical plant in Africa- Dar es salaamQuantity;- 100,000 metric tons of engineering plastic compounds
Product;-
  • Ethylene
  • Propylene
  • Benzene
  • Toluene
  • Xylenes
  • Ammonia
  • Methanol
  • Polyethylene, Polypropylene (Plastics)
Price of petrochemical as a raw material
  • Cheapest in eastern africa
Nobium and tantalum PowderProducts;- High purity and low-oxygen tantalum and niobium, nobium-tin alloy, tantalum pentoxide and nobium oxide
Uses
  • Manufacture capacitors and superalloys
  • Additives for improving the corrosion resistance
  • Superconducting magnets for medical imaging devices, particle accelerators and fusion reactors
  • Coating material for glass lenses
  • Solid electrolytic capacitors
  • Transparent conductive oxides
  • Photochromic devices
  • Memristors Dye-sensitized solar cells
Price of tantalum and nobium powder as a raw material
  • Cheapest in eastern africa
Large Installation of electricity in east africa15,000 Megawatts of electricity at first and target is 500,000 megawatts in long run

Price of electricity
  • Cheapest in eastern africa
 
Second phase
Awamu ya pili itajumuisha serekali kuwezesha waekezaji wakitanzania kujenga viwanda vifuatavyo;-
Megafactory
Battery
Motor
Inverter
Industrial hydraulic equipment
Leather
Compressor
 
Hongera ila kwa ushauri wangu anza kwanza na level za ubunge ndivyo siasa za taifa letu zilivyo..labda kama unatafuta huruma viongozi wakuone hapa ndani endelea kutushushia notes ulizokariri hivyo ...mambo sio rahisi hivyo...sekta binafsi ndo inayojenga taifa uchumi wa sasa si unaujua lakini
 
Back
Top Bottom