Nina shilingi milioni 64, niwekeze kwenye biashara gani kati ya hizi?

Nina shilingi milioni 64, niwekeze kwenye biashara gani kati ya hizi?

Daaaah umasikini ni mbaya mnooo.
Kuna watu wanachukizwa n salary y mtu.baada ya kujikita kwenye mada yenyewe.
Wivu
Wivu
Wivu

Tunachokijua:
 
Kuna rafiki yangu Mganda jana nilikuwa naongea naye akanisimulia hii stori ya huyu jamaa.
Amefikiria nje ya box
Huyo jamaa alikaa usa 15 years ila wenzetu wana bahati
Sisi kurudi bongo ni tumekuwa wahamiaji
Yaani diaspora tunaonewa na sheria zetu hazieleweki
JK alisema njooni muwekeze huku Lukuvi akasema hamuwezi kusogea kwenye ardhi
Kila mmoja na sheria zake tz sio katiba

Ila jamaa amejitahidi sana na amekaa mbali na watu kuogopa maradhi ya milipuko kwa mifugo

Bora nienda huko kuwekeza kwa kweli
Na bongo ni matembezi tu
 
Nimecheki jamaa video zake kwa Youtube channel yake, jamaa yuko njema aisee. Ila alianza na mtaji wa kutosha pia, na alikua na vision kubwa. Ameni inspire sana.
Umemuona ni balaa
Halafu anazingatia taratibu zote kwa utaalamu zaidi
Usafi wa hali ya juu
 
Huyo jamaa alikaa usa 15 years ila wenzetu wana bahati
Sisi kurudi bongo ni tumekuwa wahamiaji
Yaani diaspora tunaonewa na sheria zetu hazieleweki
JK alisema njooni muwekeze huku Lukuvi akasema hamuwezi kusogea kwenye ardhi
Kila mmoja na sheria zake tz sio katiba

Ila jamaa amejitahidi sana na amekaa mbali na watu kuogopa maradhi ya milipuko kwa mifugo

Bora nienda huko kuwekeza kwa kweli
Na bongo ni matembezi tu
Bongo sheria zao zimekaa kimajungu.
 
Safi.Mimi sishauri mtu awekezi kwenye viumbe hai iwe ni wanyama au kulima..kwanza unapaswa kujua 64M ni pesa ndogo inaweza isha hata kwa siku moja ukifanya uamuzi mbaya..

Pili kufungua biashara bila uzoefu ni high risk wewe huna hata ABC ya biashara yoyote..sasa tafuta uzoefu usipofanya hivyo utajifunza kwa uchungu sana.

Hiyo 64 gawa mara 2 ni kama 32M tafuta biashara ya mtaji wa 32m si vinginevyo kadri unavyoona trend unaongeza kiasi kilichobaki

Pia wazo zuri ni ambalo unaweza kureturn chochote biashara ikifeli
Kuna mdau amekupa biashara ya vitu vya kukodi hilo ni bonge la idea na risk ndogo fanya utafiti vizuri inalipa.
Mawazo mengine

I. Nafaka boresha na kuwa na ghala lako
II. Biashara ya kutengeneza tofali inabdi uwe na malor
III. fanya car accessories & spears
 
Sema hii ya mbuzi ingekulipa fasta pamoja ungeobgeza kondoo. Ajiri mtu umjengee nyumba full suit ama slope aishipo na familia take kabisa. Unamuwekea na ng'ombe wa kuwa anakunywa maziwa. Baadaye utafungia gps baadhi ya mbuzi ama unamnunulia simu unakuwa unamu track. Umlipe vizuri. Chukua mtu mzima tokea kkwenu ama unayemfahamu a to z. Omba ushauri wa mtu gani kwa mzazi wako. Funga kamera mifugo wakiwa wanaingia unawachekimuwekee na Sola.
Kama umepata Lori kubwa chonga na mizinga wekamo. Ama Kama vipi chukua ardhi inayofaa zabibu na zenyewe hazina uangalizi. Nyumba wanazikimbilia Mana Ni low risk and low return. Risk and profit ziko direct proportion. Sasa nature ya human being hatupendi risk and kitu chenye uncertainties outcome. Tunapenda chenye certainty outcome na ndio Mana biashara nyingi Ni copy and paste

Awekemo au sio [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Awekemo au sio [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ni nature pia ya binadamu kuona negative na sio positive. Yaani iko hivi author mwenye 5*star review Kama 1000 akipata 1* review nakuambia atawewesekaje mkuu atajiona Kama Hana thamani. Ama wewe Ni kipa daka ama okoa goli 99 lile 100 ufungwe ndilo watu watakumbuka na wataku disi kuwa hufai kuwa kipa wao.

Ama poteza 100M ukiipata kesho yako bado hutakuwa umetulia emotionally bado utakuwa na maumivu ya kutosha so ili utulie inabidi upate 250M ndipo utapata mental or emotional stability.

Ile Russian roulette or Ile spin Ni unabeti 1000tzs unalipwa 1000tzs ukipatia Kama Ni red,black,odd or even. Mfano nikiweka 1000 kwa black ikija black nalipwa ama napata faida 1000 na Ile capital yako iko pale pale ,nikikukosea buku langu linaenda.

Ila pale wanakuambia kuwa tunakulipa 2times kuwa tutakulipa 1000*2= 2000tzs Ni uwongo wanacheza na human cognitive thinking ya kupenda kupata zaidi.

Mfano Kuna tafiti moja ilifanyika ya kuhusiana kuuza gari. Sasa tafiti ya kwanza bwana ukipewa kwanza pagale tupu uanze kusema vitu vya kuwekea so ikaonekana kuwa wateja walinunua kwa wastani $13,461 iyo gari.

Tafiti ya Pili ya kuuza iyo iyo gari iliwekewa kila kitu so ikawa na gharama kubwa wateja wakaambiwa kuwa punguza vitu ili ilifiti bajeti yako Mana kila kitu kiliwekewa Bei Ni sawaa na kwenye nyumba Kuna Bei ya kila zaga.

So kwa hii second option selling gari Ile Ile ilionekana wateja walinunua kwa $14,578 kiwastani Mana kupunguza iliuma zaidi ilikuwa Kama wanapoteza, so we hate loss a lot than anything.
Na ndio Mana hata watu wanafanya biashara due to loss aversion influence mentality.

So ahsante kwa kuzidi kunipa maarifa mkuu yaani field yangu Ni humu humu mitandaoni kucheki how our mind is working
 
Fanya mojawapo kati ya hivi
1. Anza kununua vigari kwa watu aina ya IST VITS SPACIO PRIMIO ALLION and the like kisha unavirekebisha kama vile kuweka tairi mpy na kufut michubuko kisha unaviuza . Mfano ukichukua gari kwa mil 6 unaiwekea mil 1 inakua sawa kisha itangaze kwa mil 8/9 utanishukuru badae

2. Tafuta site nzuri weka huduma za kifedha zote za mitandao ya simu pamoja na bank zote lakini usiweke hel yote utanishukuru one day

3. Tafuta uwakala wa ving'amuzi vyote azam zuku dstv star times ting and the like. Hapo pia utakua na duka la vifaa vya electronics

4. Tafuta eneo funga ng'ombe wa kuboesha /kunenepesha kisha uza baada ya kila miezi sita
 
64 milioni ni pesa nyingi, ila utakapoiingiza kwenye uwekezaji itaonekana ndogo. Ukiwekeza kwenye lodge kama ulivyoshauriwa hiyo pesa itaisha kabla ya kumaliza. Lodge yenye vyumba 12 hiyo pesa haitoshi. Ni kuanzia 100+

Kwenye magari, Fuso hizi kwa sasa zinazolipa sio zile single. Kuna zile double dif au almaarufu tandam hiyo pesa haitoshi. Tandamu moja kwa sasa ni zaidi 100+

Hardware hapa ndio naweza kukushauri. Maana kwa sasa ujenzi kwa mkoa wa dodoma umeshika kasi. Hiyo pesa unaweza kuanza nayo. Na kwa kuwa umeweza kuseve 64 mln kwa mwaka 1. Basi mshahara wako unakupa nafasi ya banki kukuamini na kukukopesha. Angalao uanze na 100mln.

Anza na Mabati geji 28, 30,32, nondo size zote cement za makampuni yote. Dsm Tanga na Dangote. misumari size zote. Mbao na mazagazaga mengine. Baada ya mwaka m1 huo mtaji utakuwa umedouble kama sio mara mbili yake.

Hakuna sekta inayoinua kama sekta ya ujenzi.
 
Hardware =100%
Uzuri wa bidhaa za hardware iko hivi
1. Bei unajipangia mwenyewe na faida ni kubwa yaani hata mara 2 ya bei uliyonunulia, kwa mfano mbao uliyonunua 7500 unaweza kuiuza kwa 15000 na hakuna atakayehoji wateja wananunua.

2. Bidhaa hata zikikaa mwaka bila kununuliwa haziozi, hazina expire date.
 
Wife kusimamia ni ngumu kiukweli. Hapo kwenye usimamizi ni changamoto hasa. Na kama hii idea ya ufugaji wa MBUZI inahitaji usimamizi wa karibu hasa, ndio kinachonirudisha nyuma kwenye hii idea.
Kama huwezi simamia mwenyewe, baso jenga nyumba pangisha
 
Mipango ya namna hii haiongeleki jf ww kama vipi tafta bar moja safi kaa agiza beer zako 5 alaf angalia angalia mtu mzima mmoja wa heshma mualike mpige maji alaf anzisha stor sasa utaona asubuhi kama hauamki na plan nzuri
Hii inafanya kazi pia
 
Back
Top Bottom