dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Mm kaapartment Ninako kaha nalipia Mia 400 naNipo Dom, na hiyo mitaa unayoitaja nimepiga sana misele na kufanya tafiti.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm kaapartment Ninako kaha nalipia Mia 400 naNipo Dom, na hiyo mitaa unayoitaja nimepiga sana misele na kufanya tafiti.
Hahahaha!! Asante sana mkuu kwa ushauriKwa mshahara wako wekeza kwenye real estate!! Dodoma nyumba za kupanga anahama mtu saa 6 kamili then anahamia mwingine saa 6:05!! Jaribu kutafuta maeneo ya chuo haswaa ndo kuna hela!
Ndo bei zao aisee, mia 4 hadi mia 5.Mm kaapartment Ninako kaha nalipia Mia 400 na
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo zikae tu benki hadi lini? Nimetaja hizo ideas nne ambazo nazifikiria. Any thoughts?Kama hujui cha kuwekeza usiwekeze. Ni suala la muda tu, hiyo hela itapotea due to lack of Education and experience. Merry Christmas.
Jamaa yuko vizuri sana na ana account YouTube inaitwa Value farm na hii chini ni Instagram valuefarmug ndio account yaoNipe akaunti yake ya intagram
Mi mwnyw namshaur labda angekopa thn aongezee ndo ajenge lodge kaliYaan mil 64 ijenge Lodge kali ya kisasa..acheni masihara nyie
Kuna comments kama ya huyu uliem quote huwa naziona then naamua kuzipotezea tu mkuu. Wangejua bongo hii hii hata katika watu wanaolipwa hela nyingi sipo, pamoja na kulipwa 14+ per month. Kuna watu wanakunja mara mbili ya hiyo. Umasikini ni mbaya sana, ndo chanzo cha wivu na frustrations za hivi, kwa hiyo mimi huwa naelewa sana watu wa namna hii.
Mimi nimeweka nidhamu kubwa sana pia katika ku save. Na save 2/3 ya net income yangu, I live a very simple life. Kitu kikubwa kinachoniumiza kichwa ni namna ya kuizalisha hiyo pesa, kama nilivyosema awali sijawahi fanya biashara ya kuzalisha hata 500.
Sio kila biashara lazima uanzishe wewe kuna biashara zengine zishaanzishwa na watu wenye uzoefu…ongea nao muandikishane muwe washirika ule maisha kulingana na asilimia zako….
Mfano hyo ya maji umesema supply ni ndogo kuliko demand…ongea nao uwe mshirika….
KAMA HUNA UZOEFU KWENYE BIASHARA,INGIA USHIRIKA WENYE UZOEFU WAFANYE…
Utamuua mapema kabisaawekeza kwenye biashara ya usafirishaji wa mizigo.. nunua fuso
😂😂😂 Kwamba hiyo biashara lazima nikate moto kwa preshaUtamuua mapema kabisaa
Asante sana mkuu kwa ushauri mzuriUmasikini ni mbaya sana kila unacho ambiwa utaona ni chai, muhimu tuendelee kupambana.
Mkuu jaribu kupitia mawazo ya wadau ambayo wanakushauri ufanye, wazo utakalo liko poa basi liendee kwa haraka zaidi.
Mkuu binafsi yangu napenda nikuongezee mawazo mawili kama ikikupendeza unaweza chagua moja ama ukafanya yote mawili. Kuna mdau hapo juu ame kushauri ufungue duka la dawa za binadamu na uzuri zaidi amekutajia mpaka location, hii kitu iko poa sana. Sasa wewe ifanye kwa ukubwa zaidi fungua na maabara kabisa, mtu anapima na kupewa dawa hapo hapo. Hii kitu inalipa sana, kwa kuwa umeajiliwa muweke mkeo asimamie shoo.
Fungua duka la pembejeo za kilimo na dawa za mifugo, tafuta location kisha weka hii kitu. Ndani ya mwaka rudi kutoa ushuhuda wako.
Mkuu kila la kheri.
Sio muumini sana wa kukopa kibiashara mkuu, hasa ukizingatia kuwa bado sijawahi kufanya biashara hata ya shs 100, hivyo nina wasiwasi sana kusema nichukue mkopo then niuweke kwenye biashara mpya.Mi mwnyw namshaur labda angekopa thn aongezee ndo ajenge lodge kali
Yeah, mnakaa kuchambua na ku 'analaizi' tu bila kufanya vitendo, matokeo yake mnakwama kwenye ku analyse tu mnakuwa kama mmepalalaizi.Hahahaha...!! Kila biashara inshitaji utafiti mkuu.
Analysis paralysis😂😂
Naheshimu mawazo yako pia. Endelea kuamini hivyo hivyo tu, wala haina shida. Nina uwezo wa ku save 8milion kila mwezi, ambayo ni 2/3 ya my net-income.Mkuu unalipwa kiasi gani hadi uweze kisave M64 tena kuanzia April tu apo hii itakuwa chai ☕️
Ni kweli kabisa mkuu, nakubaliana na wewe 100%.Yeah, mnakaa kuchambua na ku 'analaizi' tu bila kufanya vitendo, matokeo yake mnakwama kwenye ku analyse tu mnakuwa kama mmepalalaizi.
Unachotakiwa ni kucalculate risk iliyopo, kama inahimilika unafanya utekelezaji bila kusita. Changamoto zingine utazikuta humohumo na utatafuta namna ya kuzitatua ukiwa tayari kwenye biashara.
Acha kusitasita anza biashara, kuna warembo wakigundua unazo hizo pesa watakupiga limbwata, hautajua kilichotokea hadi akaunti ikabaki na laki!Ni kweli kabisa mkuu, nakubaliana na wewe 100%.