TheCrocodile
JF-Expert Member
- May 31, 2021
- 1,199
- 3,307
- Thread starter
- #141
Watu kama hawa huwa wapo tu kwenye jamii mkuu, wasikuumize sana kichwa.Huu ni ushauri au ni bomu la mkononi!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu kama hawa huwa wapo tu kwenye jamii mkuu, wasikuumize sana kichwa.Huu ni ushauri au ni bomu la mkononi!?
Huenda mshahara wake ni 10mMimi kabla sijakupa ushauri naomba unifafanulie kwa namna ipi wewe, kama muajiriwa, ulivyoweza kusave 63m ndani ya miezi 8 tu.
Ili uweze kusave 63m ndani yra mieži 8, ni lazima ulikuwa unasave 8m kila mwezi.
Nipe akaunti yake ya intagramMkuu kuhusu hiyo ya mbuzi kwa kweli inalipa
Kuna jamaa alikuwa diaspora wa usa amerudi home Uganda kanunua eneo kubwa sana nje ya Kampala kama 70 miles
Jamaa kwa sasa yuko mbali namfuatilia sana kwenye account yao ya Instagram
Nilikuwa nahitaji mbuzi wale wakubwa wanaofika mpaka kilo 100 wanaoitwa Boer toka SA
Kwa sasa anao ndio nawafuatilia ila mpaka niende mwenyewe
Kwa sisi bado sana ufugaji kuliko wenzetu
Unaweza kujifunza kitu kwake
View attachment 2456407
Tafuta eneo weka guest house hata room chache za kuanzia kwa uko ulpo man utakuwa unaongezea kadiri siku ziendavo. Man hiyo hainaga mlolongo ni fulu fedha. Ila codes za kazi unapaswa kuzijua
Fanya hivyo na katika watu utakao waajiri basi ajiri na mtu aliyesomea ufugaji/ veterinarianAsante kwa mawazo yako mkuu. Ila kwa nilichokiwaza ni kufugia kwenye ranchi. Ambapo mbuzi wanakula humo humo (kunakua na eneo la malisho humo humo ndani ya ranchi). Hivyo, mbuzi hawatoki kupelekwa kokote. Ranchi inakua na camera eneo la kuingia/kutoka pamoja na fence kuntu.
Idea namba 4 hauhitaji kuinvest hata 100 kama una financial report nzuri.Habarini wakuu. Natumaini mnaendelea vizuri na maandalizi ya sikukuu.
Bila kuwachosha sana, nimeweza ku save jumla ya shilingi milioni 64 hadi sasa, kiasi hiki nimeweza kukisave kuanzia mwezi April mwaka huu kutoka kwenye mshahara wangu. Nipo mkoa wa Dodoma.
So far, nimefikiria kuwekeza katika mojawapo ya mambo yafuatayo:
1. Ninunue eneo la shamba kubwa maeneo ya Dodoma nje ya mji au Dodoma vijijini kisha nianzishe kama ranchi hivi ya ufugaji wa mbuzi.
Nimefikiria mbuzi kwa sababu kwa utafiti wangu wa muda mfupi nimeona kuwa mbuzi hawana complications nyingi kulinganisha na wanyama wengine wa kufuga, na pia kuna fursa zaidi kwa mbuzi nchini, na demand ambayo haijawa satsified.
Lengo la hii ni baadae niweze kuwa na kiwanda kabisa cha kuchinja na kuprocess nyama ya mbuzi, na kuweza hata kuuza ndani na nje ya nchi products za nyama ya mbuzi.
2. Nifungue park kwa ajili ya michezo ya watoto kwa Dodoma. Moja ya gaps ambazo nimeziona Dodoma ni kukosekana kwa eneo zuri la maana kwa ajili ya michezo ya watoto na watu kupumzika pia.
Hapa nafikiria ninunue eneo Dodoma then nilitengeneze vizuri na kuweka michezo ya watoto (indoor na outdoor) ya kutosha, pamoja na kutengeneza garden nzuri ya kuvutia kwa ajili ya watu na familia zao kupumzika na kupigia picha.
Kwa nje kwenye ukuta nawaza pia kuwe na frame kadhaa ambazo nitakodisha kwa watu waweke maduka ya vyakula, vinywaji, na vitu vya watoto.
3. Nifungue kiwanda cha maji ya kunywa yale ya kwenye dispenser kwa ajili ya matumizi ya majumbani na maofisini. Nimeona gap pia hapa kwa sababu makampuni yaliyopo hapa Dodoma kwa hii huduma hayatoshelezi mahitaji kwa kiasi kikubwa, mara nyingi sana unakuta yanapotea sokoni kwa muda fulani (no consistency of supply).
4. Ninunue kiwanja saizi ya kati maeneo ambayo sasa hivi ndo yanajengeka (eg Ilazo, NALA) halafu nipige vyumba vya low-cost (behewa style), niweke hapo vyumba kadhaa, then nipangishe nile kodi kila mwezi hata 50K kwa kila room. Baadae kadri ninavyopata mpunga zaidi, niongeze idadi ya vyumba zaidi na zaidi.
Wenye uzoefu wa biashara na ideas na mnaoifahamu Dodoma, niambieni hapo nianze na ipi kati ya hizo kwa mtaji huu nilionao (milioni 64), au hata idea nyingine ambayo sijaitaja hapo juu.
Mimi maisha yangu yote nimeajiriwa tu hadi sasa (nina umri wa miaka 35). Sijawahi kufanya buashara hata ya kuingiza shs 500. Nimeona ni bora pia niangalie upande huu wa business pia maana siwezi ajiriwa milele, na pia kama mjuavyo hizi ajira zetu, leo ipo kesho haipo hasa huku private sector.
Natanguliza shukrani.
Jamiiforum bwana,mtu ameamka na usingizi wake anatuletea ndoto za kumiliki mill 64,kwa kuangalia mwandiko wako tuu hamna company itaweza kukulipa salary ya 10mill kwa mwezi mtu kama ww ambaye hata kuzitumia hujui,je kuwa na akili ya kulipwa 10mill unayo?
Hii na kahawa iliyozidi tangawizi
Asante sana mkuu kwa huu uchambuzi ulioshiba.Kushauriwa ni Bure kuchukua au kuacha ni maamuzi binafsi.
Biashara ya Kukodisha Vitu
TV size KUBWA
Nunua Tv size kubwa kuanzia 65inch na 75 uwe nazo hata 11
65inch inauzwa 1.9m x 4 = 7,600,000
75inch 2.8m x 6 = 16,800,000
85inch 6.5m x 1 = 6,500,000
TOTAL : 30,900,000
Bei za Kukodisha TV kwa Event
65inch 100,000 per day
75inch 150,000 per day
85inch 200,000 per day
Kwa siku 65inch zikitoka zote = 400,000
75inch = 900,000
85inch = 200,000
Total per day = 1,500,000 per day
Kumbuka TV ulitumia mtaji wa 30,900,000 kwenye ule mtaji wako utakua umebaki na 33,100,000.
Hiii utaipunguza kidogo kununulia Standa za TV zako ambazo
Stand 1 ina cost 350,000 x 11 = 3,850,000
kwenye 33,100,000 - 3,850,000 = 29,250,000
Kuna Nyaya za kununua extension na vikorokoro vingine weka 1.25m utabaki na 28m.
Usafiri,na hidden cost ambazo hatujaweka Weka 1m.
Mfukoni utabaki na 27m (huu ni mtaji wa biashara ingine)
Kwahyo kwa biashara yako hiyo ya TV una uwezo wa kupiga pesa zaidi ya 10m kwa mwezi.
TV zitakua busy Alhamis,ijumaa,jmos na Jpli siku 4 ambapo kwa siku 4 utakusanya 6m.
ukipiga 6m kwa wiki 4 upate mwezi = 24,000,000 income ya mwezi mmoja.
Kwa miezi yako 6 tu,income utayokua umeipata Calculate mwenyewe.
Hii ninBiashara 1 unaipga huku huna stress umejificha zako ndani unaendelea kula Korosho unazitupia mdomoni moja moja tu. (watu wanaendelea kukuita muuza madawa ya kulevya)
Hii Clip Hapa chini ni 1 ya kati ya zile zinazoendelea kupiga kazi niliyoiongeza...
View attachment 2456518
Nakuja na idea nyingine ya ile hela ilobaki, ngoja niangalie kati ya ninazofanya ipi itakufaaa..
Mimi huwa napata maswali mengi kichwani nikiona mawazo ya namna hii, yaani unashangaa mtu kulipwa milioni 10.!? Huwa naona mna wivu kupita kiasi, kuna binamu yangu wa mbali sana anakunja million 17 kwa mwezi.
Achana na hi biashara ya fuso utakufa kwa presha hi biashara inahitaji roho ngumu Kama hujawai fanya biashara means hujui risk za biashara achana nayo kabisa.Asante kwa wazo.
64m napata Fuso la kuanzia? Na je, Fuso moja inaweza nipa return nzuri ya kuonekana? Unaweza nipa insights zaidi?
Haina haja ya Frem mkuu,wanaokupa kazi ni event planners,Mc,Dj's.. Tv weka homeAsante sana mkuu kwa huu uchambuzi ulioshiba.
Kwa hiyo hizi unakua unakodishia watu ambao wanapiga events kama ma MC, wapambaji, event planners, si ndio? Na unachukua goli (frame) maeneo ya mjini ndo inakua kama base waru waone huduma na pia kujitangaza. Si ndio?
Hii kibongo bongo ambapo uaminifu ni F, na watu wanacheza sana na vitabu vya biashara anaweza akawa anaripoti TRA kila mwaka hasara wakati in fact anatengeneza hela, naweza ishia kupata hasara na kugombana na watu juu.Sio kila biashara lazima uanzishe wewe kuna biashara zengine zishaanzishwa na watu wenye uzoefu…ongea nao muandikishane muwe washirika ule maisha kulingana na asilimia zako….
Mfano hyo ya maji umesema supply ni ndogo kuliko demand…ongea nao uwe mshirika….
KAMA HUNA UZOEFU KWENYE BIASHARA,INGIA USHIRIKA WENYE UZOEFU WAFANYE…
Asante sana mkuu, wacha nifuatilie pia hii.Haina haja ya Frem mkuu,wanaokupa kazi ni event planners,Mc,Dj's.. Tv weka home
Asante sana mkuu kwa ushauri huu.Achana na hi biashara ya fuso utakufa kwa presha hi biashara inahitaji roho ngumu Kama hujawai fanya biashara means hujui risk za biashara achana nayo kabisa.
Kuna watu wana hasira aisee humu😂😂Jamiiforum bwana,mtu ameamka na usingizi wake anatuletea ndoto za kumiliki mill 64,kwa kuangalia mwandiko wako tuu hamna company itaweza kukulipa salary ya 10mill kwa mwezi mtu kama ww ambaye hata kuzitumia hujui,je kuwa na akili ya kulipwa 10mill unayo?
Hii na kahawa iliyozidi tangawizi
Fisadi 🏃🏃Habarini wakuu. Natumaini mnaendelea vizuri na maandalizi ya sikukuu.