Nina shilingi milioni 64, niwekeze kwenye biashara gani kati ya hizi?

Na mimi nimeshangaa, sijawahi kuona hiyo rate ya 30%. Watu wote wangepeleka mahela huko.
 
Hao pia si kuna mgao au asilimia watahitaji kwa kukuletea kazi?.
Hapana mkuu. Hiyo ni biashara, unakuta hao labda ni MC ana kazi sehemu na ana PAS ila hana TV na ukumbi hauna, so ili aweze kupiga kazi vizuri lazima akodi TV.
 
Sure mkuu
UTT kuna plan ambayo ina interest ya 30% mkuu? Are you sure?
Nina uhakika ila siyo plan ya muda mfupi, ni ya miaka kumi na kuendelea.
Mfuko huu unaitwa Wekeza maisha .Mimi nipo humo mkuu.
Pia upo mwingine wanatoa 12-14% kwa mwaka.
 
Mkuu usibishe kitu usichokijua
Wapigie UTT watakuelekeza.
Wengi hawawekezi huko kwa kuwa ni mkataba wa miaka isiyopungua kumi.
Pia Wana mfuko mwingine unaitwa Liquid wanatoa faida ya 12-14% kwa mwaka.
 
Jenga vibanda-umiza vya kuonesha mpira kila wilaya mpaka Zanzibar. Utakuja kunishukuru.
 
Sure mkuu
Nina uhakika ila siyo plan ya muda mfupi, ni ya miaka kumi na kuendelea.
Mfuko huu unaitwa Wekeza maisha .Mimi nipo humo mkuu.
Pia upo mwingine wanatoa 12-14% kwa mwaka.
Hiyo 30% ni kwa mwaka (per annum), sio kwa mwezi, right?
 
Kwa mazingira hayo nakushauri kufanya kitu ambacho unaujuzi nacho, hii itakusaidia usiyumbe kwa sababu ya kutokuwa na uzoefu. Tena uache kazi ili ufanye mradi wako la sivyo jipe muda zaidi huku ukitafuta biashara yenye risk ndogo ila faida kidogo zaidi
 
Idea ya sehem ya kupumzka wtt naona iko vizur
 
Sure mkuu
Nina uhakika ila siyo plan ya muda mfupi, ni ya miaka kumi na kuendelea.
Mfuko huu unaitwa Wekeza maisha .Mimi nipo humo mkuu.
Pia upo mwingine wanatoa 12-14% kwa mwaka.
Okaay mkuu, thanks for the insight
 
Sio kwa mwezi mkuu
Kwa mwaka na pia ukiwekeza pesa zako uzitoe si chini ya miaka kumi
Mkuu hakuna kitu kama hicho cha kutoa 30% interest per year..ingekuwa hivyo hata bank wangewekeza UTT au tungechukua mikopo bank tukawekeza UTT na kuilipa bila shida. BOT yenyewe wanatoa 12.56% kwa bond ndefu ya 25yrs sasa hao UTT ndio wawe vizuri kuliko BOT?Big NO
 
Thanks mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…