Nina shilingi milioni 64, niwekeze kwenye biashara gani kati ya hizi?

Nina shilingi milioni 64, niwekeze kwenye biashara gani kati ya hizi?

Wife kusimamia ni ngumu kiukweli. Hapo kwenye usimamizi ni changamoto hasa. Na kama hii idea ya ufugaji wa MBUZI inahitaji usimamizi wa karibu hasa, ndio kinachonirudisha nyuma kwenye hii idea.
Sema hii ya mbuzi ingekulipa fasta pamoja ungeobgeza kondoo. Ajiri mtu umjengee nyumba full suit ama slope aishipo na familia take kabisa.

Unamuwekea na ng'ombe wa kuwa anakunywa maziwa. Baadaye utafungia gps baadhi ya mbuzi ama unamnunulia simu unakuwa unamu track. Umlipe vizuri. Chukua mtu mzima tokea kkwenu ama unayemfahamu a to z. Omba ushauri wa mtu gani kwa mzazi wako. Funga kamera mifugo wakiwa wanaingia unawachekimuwekee na Sola.

Kama umepata Lori kubwa chonga na mizinga wekamo. Ama Kama vipi chukua ardhi inayofaa zabibu na zenyewe hazina uangalizi. Nyumba wanazikimbilia Mana Ni low risk and low return. Risk and profit ziko direct proportion. Sasa nature ya human being hatupendi risk and kitu chenye uncertainties outcome.

Tunapenda chenye certainty outcome na ndio Mana biashara nyingi Ni copy and paste
 
Hii biashara ya lodge ni nzuri sana na inalipa vizuri kweli hata mimi nashauri hili ingawa sina taarifa sahihi ya bei za viwanja huko.

Lakini kwenye hayo maeneo tajwa na mwandishi anaweza kuangalia ni wapi kumechangamka na kuanza na lodge moja kali ya kisasa na ikamlipa vizuri sana kisha baada ya miaka mitatu akafuangua park kali sana hadi ukashangaa..
 
Mipango ya namna hii haiongeleki jf ww kama vipi tafta bar moja safi kaa agiza beer zako 5 alaf angalia angalia mtu mzima mmoja wa heshma mualike mpige maji alaf anzisha stor sasa utaona asubuhi kama hauamki na plan nzuri
😂😂😂😂Sawa mkuu, umesikika.
 
Sema hii ya mbuzi ingekulipa fasta pamoja ungeobgeza kondoo. Ajiri mtu umjengee nyumba full suit ama slope aishipo na familia take kabisa. Unamuwekea na ng'ombe wa kuwa anakunywa maziwa. Baadaye utafungia gps baadhi ya mbuzi ama unamnunulia simu unakuwa unamu track. Umlipe vizuri. Chukua mtu mzima tokea kkwenu ama unayemfahamu a to z. Omba ushauri wa mtu gani kwa mzazi wako. Funga kamera mifugo wakiwa wanaingia unawachekimuwekee na Sola.
Kama umepata Lori kubwa chonga na mizinga wekamo. Ama Kama vipi chukua ardhi inayofaa zabibu na zenyewe hazina uangalizi. Nyumba wanazikimbilia Mana Ni low risk and low return. Risk and profit ziko direct proportion. Sasa nature ya human being hatupendi risk and kitu chenye uncertainties outcome. Tunapenda chenye certainty outcome na ndio Mana biashara nyingi Ni copy and paste
Asante sana mkuu kwa mawazo kuntu. Ni kweli kabisa kuwa the higher risk, the more the return.
Nitaangalia na kufanya consideration ya haya mawazo yako kuhusiana na hii biashara ya Ufugaji wa MBUZI & Kondoo. Shukrani.
 
Hii biashara ya lodge ni nzuri sana na inalipa vizuri kweli hata mimi nashauri hili ingawa sina taarifa sahihi ya bei za viwanja huko lkn kwenye hayo maeneo tajwa na mwandishi anaweza kuangalia ni wapi kumechangamka na kuanza na lodge moja kali ya kisasa na ikamlipa vizuri sana kisha baada ya miaka mitatu akafuangua park kali sana hadi ukashangaa..
Asante mkuu, nitaingia field kwa utafiti, maana mimi pia sina taarifa za kutosha kuhusiana na biashara ya lodge.
 
Vidole havilingani mkuu.
Hiyo milioni 64 uliyoisave kuanzia mwezi April mwaka huu kwenye huo mshahara wako wa mamilioni, yaani ni sawa na mafao ya mfanyakazi wa kima cha chini aliyeitumikia serikali hii hii kwa miaka zaidi 30!

Halafu bado serikali hii kandamizi inakuja na sheria mbovu ya kikokotoo cha kumlipa mfanyakazi huyo huyo mnyonge eti 33% ya mafao yake!!!

Bora kujiajiri kudadek!!
 
Tafuta eneo weka guest house hata room chache za kuanzia kwa uko ulpo man utakuwa unaongezea kadiri siku ziendavo. Man hiyo hainaga mlolongo ni fulu fedha. Ila codes za kazi unapaswa kuzijua
Asante sana mkuu kwa wazo lako. Unaweza kunifafanulia zaidi kuhusu, "codes za kazi" ambazo napaswa kuzijua?
 
Hiyo milioni 64 uliyoisave kuanzia mwezi April mwaka huu kwenye huo mshahara wako wa mamilioni, yaani ni sawa na mafao ya mfanyakazi wa kima cha chini aliyeitumikia serikali hii hii kwa miaka zaidi 30!

Halafu bado serikali hii kandamizi inakuja na sheria mbovu ya kikokotoo cha kumlipa mfanyakazi huyo huyo mnyonge eti 33% ya mafao yake!!!

Bora kujiajiri kudadek!!
Kujiajiri ndo kitu kizuri zaidi mkuu. Hata hii kazi niliyonayo, kesho na keshokutwa inaweza isiwepo pia mkuu maana ni ya mkataba. Ndio maana nataka walau nianzishe kitu ambacho kitanipatia faranga kadhaa cha kwangu, ili hata baada ya miaka 2 nisipopewa mkataba basi nisilale njaa.
 
Hii biashara ya lodge ni nzuri sana na inalipa vizuri kweli hata mimi nashauri hili ingawa sina taarifa sahihi ya bei za viwanja huko lkn kwenye hayo maeneo tajwa na mwandishi anaweza kuangalia ni wapi kumechangamka na kuanza na lodge moja kali ya kisasa na ikamlipa vizuri sana kisha baada ya miaka mitatu akafuangua park kali sana hadi ukashangaa..
Yaan mil 64 ijenge Lodge kali ya kisasa..acheni masihara nyie
 
Back
Top Bottom