Nina shilingi milioni 64, niwekeze kwenye biashara gani kati ya hizi?

Wasukuma na wadada weupe kwani mmelogewa?
 
Mkuu naomba kuona jins ya kuandaa iyo excel ambayo unatumia kuweka rekod ya wapangaj wako, mana nam nina wapangaji weng ila ninakosa namna nzur ya kuweka rekod zao.
 
Asante kwa wazo.
64m napata Fuso la kuanzia? Na je, Fuso moja inaweza nipa return nzuri ya kuonekana? Unaweza nipa insights zaidi?
Mmmm ni nzuri lakini biashara ya magari inahitaji uzoefu sana na usimamizi wa kina, mm nipo dodoma nilikuwa nafanya kazi za mkataba nikasema nikope niweke mkono wapili nikanunu haice ilichonifanya sitakuja kusahau, kwasasa kazi sina na deni limesimama yaani sina pakushika.
 
Wazo langu la Pili

Kama hutojali, Nunua ng'ombe mikoani nenda kawauzie wacomoro huko mkuu wangu kuna faida.

Au nunua kauze kenya huko
Wakenya ni wazurumati Sana wa biashara.watanzania kila uchao wanazurumiwa pesa . Mkenya sio mtu mzuri kwenye business
 
Ulinunua Hiace used ?
 
Ulinunua Hiace used ?
Used na hiyo hela yako fuso unaloweza kupata ni used, kwa biashara ya gari chakwanza upate mpya, chapili bima kubwa muhimu kupunguza risk, chatatu uwe na mtu wakaribu wakusimamia ndugu awe na dreva kila safari. Ile haice ilinitesa,polis niliwekwa, mahakamani nilienda, nasikuwahi fikiria kama ningefika hizi sehemu.
 
Pole mkuu, kwa hiyo lakujifunza hapo ni kununua mpya sio used za Tz pia usimamizi mzuri, ukifanikiwa hivyo unapata kitu.
 
Daah tupambane sana wanangu yaani nikiona mtu ananiambia ana ml64 kwenye acc daaah najihis kufa tu apa anyway ngoja nikaze sana huu mwaka nione nitafika wapi asee
 
Ila kiukweli umaskini ni mbaya sana sana aseee yaani jmaskin haufai kabisa!!
 
Sema.mwanangu hongera sana kwa kuweza kutengeneza icho kiasi cha peaa hongerano!!
 
Ila bip unaweza kutupa mrejesho wa wazo uliloamua kulifanyia kazi
 
Pole mkuu, kwa hiyo lakujifunza hapo ni kununua mpya sio used za Tz pia usimamizi mzuri, ukifanikiwa hivyo unapata kitu.
Yap na bima kubwa, na uzoefu wa magari ww au msimamizi au mtu uliye mwamini ukiambiwa cutout imekufa ujue ni nn na ikifa inakuwaje,udanganyifu ni mwingi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…