mik van vex
Senior Member
- Jan 13, 2018
- 101
- 170
Wasukuma na wadada weupe kwani mmelogewa?Cheki wazo la huyu mdau Naona limo konki pia mno. Ujue biashara Ni eneo, mtaji na msimamizi. Eneo Ni market. Hasahasa msimamizi ndio kila kitu. Sasa wewe upo jobu kaloji kwenye mikoa ambayo Ni municipal like Mpanda. Unakomaa hata na self tano room za Mana. Nadhani kila room unaweka 10-15/20 hukosi milioni kwa mwezi.
Loji iko POA pia uangalizi wake Ni kamera. Chumba Cha show time kuwepo, uza na gandomu ikiwezekana weka dada mzuri mweupe mwenye nyamanyama na sio kimbaumbau, yaani ambaye anafanya mtu anaenda kualalapo.